MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 07 Machi, 2024 amesaini MOU na Kampuni ya Jaribu Investment kwa lengo la kushirikiana katika kuwainua Wanawake na Vijana kiuchumi ambao ni wakulima wa zao la Mwani Tanzania Bara.
 

Attachments

  • GKyY2BkXUAAuxd_.jpg
    535.3 KB · Views: 22
  • GKyY2BiWIAAWeYR.jpg
    341.5 KB · Views: 22
  • GKyY2BiXgAAgLzK.jpg
    440.2 KB · Views: 24
Huyu ndio mke wa waziri Mchengerwa?

Royal family.
 


Kwenye mifuko hiyo ndio wanakofanyia mambo eti?!
JPM naona hakutaga kabisa mambo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…