Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kwani umelazimishwa?Kwanza haya maziwa sijui ya unga sina imani nayo kabisaaaa. Bora nikomae na maziwa ya ng'ombe zetu hizhiz wanazoziita jazina tija kuliko kufakamia matatizo.
Yeye ana maziwa Tena mazuri tu lakini kwa sababu za ushamba anataka amlishe dogo maziwa ambayo yametengenezwa Ulaya. Hivi unafikiri MABEBERU wanakutakia mema.Maziwa ya kopo ni maziwa ya mabeberu.
Mabeberu hawana nia njema na sisi, huenda wanataka kuharibu watoto wetu. Tunyonyeshe watoto wetu maziwa ya mama!!!
Huo ndio msimamo wa Jiwe.
Na waziri atasimamia hapo.
Wewe MUONGO SANA. HALAFU HUJUI KITU.Yeye ana maziwa Tena mazuri tu lakini kwa sababu za ushamba anataka amlishe dogo maziwa ambayo yametengenezwa Ulaya. Hivi unafikiri MABEBERU wanakutakia mema.
Processed food zao zote wanafanyia majaribu kwa ma zombie wa Africa at a profit. Baadae mtoto anakuja kuwa bonge akiwa darasa la pili kwa sababu ya ushamba wa mama mtu.
Siku hizi kwenye shule za English medium Kuna mitoto mibonge mingi kwa sababu ya lishe wanazopewa na wamama washamba wanaodhani kila Cha Ulaya Ni Bora.
Ukiona huna maziwa kifuani kwa sababu za kiafya, mpe dogo maziwa ya ASAS au TANGA FRESH
Yanga fresh Ni taka taka tu. Maziwa ukichemsha yanakuwa ya kijaniYeye ana maziwa Tena mazuri tu lakini kwa sababu za ushamba anataka amlishe dogo maziwa ambayo yametengenezwa Ulaya. Hivi unafikiri MABEBERU wanakutakia mema.
Processed food zao zote wanafanyia majaribu kwa ma zombie wa Africa at a profit. Baadae mtoto anakuja kuwa bonge akiwa darasa la pili kwa sababu ya ushamba wa mama mtu.
Siku hizi kwenye shule za English medium Kuna mitoto mibonge mingi kwa sababu ya lishe wanazopewa na wamama washamba wanaodhani kila Cha Ulaya Ni Bora.
Ukiona huna maziwa kifuani kwa sababu za kiafya, mpe dogo maziwa ya ASAS au TANGA FRESH
Astaghafirulaaah. Sasa una maana MABEBERU Ni watu wema sana kwetuWewe MUONGO SANA. HALAFU HUJUI KITU.
Kijani ndio rangi yetu pendwa.Yanga fresh Ni taka taka tu. Maziwa ukichemsha yanakuwa ya kijani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mara 100 hayo ya unga, Raw Milk sio za kuamini sabaKwanza haya maziwa sijui ya unga sina imani nayo kabisaaaa. Bora nikomae na maziwa ya ng'ombe zetu hizhiz wanazoziita jazina tija kuliko kufakamia matatizo.
Unaamini yaliyotengenezwa kiwandani ubeberuni kuliko haya yetu natural?Tena mara 100 hayo ya unga, Raw Milk sio za kuamini saba
Achana nayo kaka
Achana nae huyo chizi muache ajiue mwenyeweUnaamini yaliyotengenezwa kiwandani ubeberuni kuliko haya yetu natural?