Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Yapo malalamiko ya ubora wa maziwa mapya ya Lactogen ambayo yanatoka nchi jirani au yanatengenezwa kwa ubia na viwanda vya jirani yetu.
Je, ubora wa maziwa haya ya watoto umeangaliwa vyema? Nini kimebadilika kwenye maziwa hayo? Kwanini maziwa ya Lactogen manufacturer France yamepotea sokoni ghafla? Hayajafichwa kuruhusu haya Kenya yaingie sokoni? Mbadala wa haya ambayo yemeonyesha kusumbua watoto ni nini?
Madaktari na wataalam wa afya wanaogopa kutolea ufafanuzi jambo hili, wape kibali.