Mhe. Waziri wa Afya, umepata malalamiko juu ya maziwa mapya ya Lactogen?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Yapo malalamiko ya ubora wa maziwa mapya ya Lactogen ambayo yanatoka nchi jirani au yanatengenezwa kwa ubia na viwanda vya jirani yetu.

Je, ubora wa maziwa haya ya watoto umeangaliwa vyema? Nini kimebadilika kwenye maziwa hayo? Kwanini maziwa ya Lactogen manufacturer France yamepotea sokoni ghafla? Hayajafichwa kuruhusu haya Kenya yaingie sokoni? Mbadala wa haya ambayo yemeonyesha kusumbua watoto ni nini?

Madaktari na wataalam wa afya wanaogopa kutolea ufafanuzi jambo hili, wape kibali.
 
Unaweza kuthibitisha kwanini una mashaka na hayo maziwa?

Au unapiga propaganda kuharibu biashara za watu?
 
Cut t throat system in business.
 
Kwanza haya maziwa sijui ya unga sina imani nayo kabisaaaa. Bora nikomae na maziwa ya ng'ombe zetu hizhiz wanazoziita jazina tija kuliko kufakamia matatizo.
Kwani umelazimishwa?
 
Maziwa ya kopo ni maziwa ya mabeberu.

Mabeberu hawana nia njema na sisi, huenda wanataka kuharibu watoto wetu. Tunyonyeshe watoto wetu maziwa ya mama!

Huo ndio msimamo wa Jiwe.

Na waziri atasimamia hapo.
 
Wanawake wa kisasa mnakwama wapi?
Kwanini msiwanyonyeshe watoto kwa maziwa mazuri mliyojaaliwa nayo?
Kama unakwenda ofisini, kwanini usikamue kwenye chombo Safi dogo akaendelea kufaidi ukiwa kazini?
Siku zote mnaambiwa avoid processed foods nyie ndio kwanza mnawapa malaika sumu katika umri mdogo.
Mnataka maziwa yenu yanyonywe na Nani? Au mnadhani dogo asiponyonya utaendelea kuwa kijana. Wear and tear iko pale pale, hata ufanye plastic surgery uzee unakusubiri.
Ushauri wangu kwako.
Achana na maziwa ya kopo, mnyonyeshe mtoto sio baba zake.
 
Maziwa ya kopo ni maziwa ya mabeberu.
Mabeberu hawana nia njema na sisi, huenda wanataka kuharibu watoto wetu. Tunyonyeshe watoto wetu maziwa ya mama!!!

Huo ndio msimamo wa Jiwe.
Na waziri atasimamia hapo.
Yeye ana maziwa Tena mazuri tu lakini kwa sababu za ushamba anataka amlishe dogo maziwa ambayo yametengenezwa Ulaya. Hivi unafikiri MABEBERU wanakutakia mema.

Processed food zao zote wanafanyia majaribu kwa ma zombie wa Africa at a profit. Baadae mtoto anakuja kuwa bonge akiwa darasa la pili kwa sababu ya ushamba wa mama mtu.

Siku hizi kwenye shule za English medium Kuna mitoto mibonge mingi kwa sababu ya lishe wanazopewa na wamama washamba wanaodhani kila Cha Ulaya Ni Bora.

Ukiona huna maziwa kifuani kwa sababu za kiafya, mpe dogo maziwa ya ASAS au TANGA FRESH
 
Wewe MUONGO SANA. HALAFU HUJUI KITU.
 
Yanga fresh Ni taka taka tu. Maziwa ukichemsha yanakuwa ya kijani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza haya maziwa sijui ya unga sina imani nayo kabisaaaa. Bora nikomae na maziwa ya ng'ombe zetu hizhiz wanazoziita jazina tija kuliko kufakamia matatizo.
Tena mara 100 hayo ya unga, Raw Milk sio za kuamini saba
 
Back
Top Bottom