Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

Mshaanza kurukaruka kwa hofu? [emoji1][emoji1] We pambana ujihakikishie nafasi yako ya pili.
 
Bahasha hazina nafasi ndiyo maana mnahangaika. Timu zote ukiondoa utopolo na Simba yyte anaweza kushuka daraja. Kila timu inapambana isishuke daraja.

Zile milioni 300 mlizotenga tunajua hazijaisha lkn KWA Sasa hazina nafasi.

Acheni uwezo uamue matokeo.

Km nyie Ni bora mnahangaika nn?
Sasa hapa anayehangaika ni nani, Yanga au Makolo?

Mtu amekaa kavimbiwa anaanza kuja na thread hapa, kama ana uthibitisho wowote si atume uonekane hapa?

Hamuamini kama Ubingwa hampati? [emoji1][emoji1] Yani sahau
 
Mashabiki wa timu iliyo kileleni hawaamini kwamba wako kileleni. Hii ni hatari Sana kwa afya zao.
 
Mamelod wameishia robo,ni timu dhaifu? comment kwa kutumia akili zako sio Utopolo
Ni kigezo kipi ambacho kinatumika ku categorize kuwa timu A ni dhaifu au sio dhaifu? Tusnzie hapo kwanza ndipo itajulikana Mamelod atakuwa kundi lipi
 
Ni kigezo kipi ambacho kinatumika ku categorize kuwa timu A ni dhaifu au sio dhaifu? Tusnzie hapo kwanza ndipo itajulikana Mamelod atakuwa kundi lipi

Kwa akili za kitopolotopolo ni kwamba Man City ni timu dhaifu ndio maana imetolewa nusu fainali,au naongopa wana utopolo [emoji851]?
 
Kwa akili za kitopolotopolo ni kwamba Man City ni timu dhaifu ndio maana imetolewa nusu fainali,au naongopa wana utopolo [emoji851]?
Sasa Wewe Kolo Wangekuwa Sio Timu Dhaifu Mbona Wametolewa Sasa? Tena Kijinga Kabisa Na Madrid [emoji1787], Au Basi Wangekuwa Na Vikombe Vya Ulaya Hata Kadhaa Kwa Sasa.
 
Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja.

Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio.

Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio uanamichezo bali ni ushenzi kutaka kutumia cheo chako kupata matokeo
Magoli ya mechi ya kagera yote ya offside.Hovyo kabisa pambana na Hali yako.Huyooooo
 
Back
Top Bottom