Kama mbunge ana akili ya kuishusha timu yake kwa ajili ya mayele,basi akili hana kabisa.Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja.
Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio.
Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio uanamichezo bali ni ushenzi kutaka kutumia cheo chako kupata matokeo
Ila wagogo zamani walikuwa wagagagigikoko,wanaweza kufanya ujinga huo wala sishangai.Kwani wachezaji wanatoa siri ya kinachoendelea