Kama mbunge ana akili ya kuishusha timu yake kwa ajili ya mayele,basi akili hana kabisa.Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja.
Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio.
Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio uanamichezo bali ni ushenzi kutaka kutumia cheo chako kupata matokeo
Ratiba haikuwa upande wetu maana tulikuwa na mashindano mengi.Na nyie mli struggle kwasababu gani?
💩Je mleta mada kaambatanisha picha kama ushahidi? [emoji777]
Je mleta mada kaambatisha hata video kuthibitisha hoja yake? [emoji777]
Je mleta mada kaambatanisha hata voice record kuonesha akisemacho kina chembe chembe ya ukweli? [emoji777]
Kama vyote hivyo hakuna kwanini tusihitimishe kuwa mleta mada kaleta uzushi?
Ndio maana jamaa kaanza keanza kwenye mzizi wenyewe ambalo ni vigezo vipi vinaifanya iitwe dhaifu ndipo mtafikiana muafakaKwa akili za kitopolotopolo ni kwamba Man City ni timu dhaifu ndio maana imetolewa nusu fainali,au naongopa wana utopolo [emoji851]?
Lipuli wako wapi pia, African sports wako wapi??Wako wapi Toto Africa,walikuwa na ujinga kama huu
Hivi Kwa nini mashabiki wa Simba Tu ndo Wajinga wajinga?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Wajinga ni wale wanaoendaga Airport kupokea timu pinzani na kuishabikia badala ya kuweka utaifa kwanza. Mbaya zaidi hiyo timu ikifungwa pale kwa mkapa huwa hawawasindikizi wifi zao kama walivyo wapokea!! Sijataja timu/ kikundi cha wanawake wajasiriamali chochoteHivi Kwa nini mashabiki wa Simba Tu ndo Wajinga wajinga?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kwa sababu ni wajingawajinga🤣🤣🤣🤣Hivi Kwa nini mashabiki wa Simba Tu ndo Wajinga wajinga?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Haya, ameuza sasa, na matokeo yameonekana! Kunywa sumu ufe.Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja.