Ingia CCM jishughulishe sana na mambo ya chama, fursa kibao.
Hujawa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa unataka kuruka kwenye ubunge? Mambo hayaendi hivyo.Nipo tangu 2005, ukiwa mtumishi mfumo au majukumu yanakubana kujishughulisha na siasa za vyama.......ukiingia kwenye mchuano wa kuwania ubunge unakutana na figisu kibao, mara utaambiwa umetoroka kazini na maneno kibao ili mradi usifurukute, balaa...
Hujawa ahata mwenyekitiwa serikali ya mtaa unataka kuruka kwenye ubunge? Mambo hayaendi hivyo.
Kama huna muda wa kutumikia jamii hutopata kazi zinazohusiana na jamii.
Labda anawatangazia wabunge biasharaKwakuwa wewe umezoea kutangaza biashara unadhani wote wanafanya hivyo hivyo. Mind set za hovyo hovyo tu.
NAKAZIAWavae hijab, nikabu, suti au hata bikini watajua wenyewe...mie naangalia contents ya wanachokijadili.
Si hamgombei hizo nafasi.kama na sisi wasomi tunatakiwa tuanze kuwa wenyeviti wa mtaa kabla ya kuwa wabunge! bila shaka bunge litaendelea kusheheni vilaza wa ngumbaru.....wazee wa ndioooooooooooooo, na hili ndo linatugharimu pakubwa, akili ndogo kuongoza akili kubwa.