Mheshimiwa Spika na Naibu Spika tazameni "Dress codes" za bungeni

Ingia CCM jishughulishe sana na mambo ya chama, fursa kibao.
Nipo tangu 2005, ukiwa mtumishi mfumo au majukumu yanakubana kujishughulisha na siasa za vyama.......ukiingia kwenye mchuano wa kuwania ubunge unakutana na figisu kibao, mara utaambiwa umetoroka kazini na maneno kibao ili mradi usifurukute, balaa...​
 
Hujawa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa unataka kuruka kwenye ubunge? Mambo hayaendi hivyo.

Kama huna muda wa kutumikia jamii hutopata kazi zinazohusiana na jamii.
 
Hujawa ahata mwenyekitiwa serikali ya mtaa unataka kuruka kwenye ubunge? Mambo hayaendi hivyo.

Kama huna muda wa kutumikia jamii hutopata kazi zinazohusiana na jamii.
kama na sisi wasomi tunatakiwa tuanze kuwa wenyeviti wa mtaa kabla ya kuwa wabunge! bila shaka bunge litaendelea kusheheni vilaza wa ngumbaru.....wazee wa ndioooooooooooooo, na hili ndo linatugharimu pakubwa, akili ndogo kuongoza akili kubwa.​
 
Wengi hawana elimu ya mavazi sababu ya malezi mabovu.
Unakuta mtu mavazi ya disco picnic beach anaenda nayo kanisani,msibani, ofisin
 
kama na sisi wasomi tunatakiwa tuanze kuwa wenyeviti wa mtaa kabla ya kuwa wabunge! bila shaka bunge litaendelea kusheheni vilaza wa ngumbaru.....wazee wa ndioooooooooooooo, na hili ndo linatugharimu pakubwa, akili ndogo kuongoza akili kubwa.​
Si hamgombei hizo nafasi.
 
Back
Top Bottom