6Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani ni kusema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishima sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.
Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na kimataifa kwa kiasi cha kupewa tuzo basi lazima akili pia kuwa maneno aliyosema kwenye hotuba yake ya no reforms no election, tutazuia uchaguzi , tutaasi na tutakinukisha vibaya sana Oct29 yaliwashawishi watu kufanya vurugu October 29 na baada ya Oct29 kwakuwa yalitolewa na mtu anaeheshimika sana ndani na nje ya nchi.
Watu wanaoheshimika sana kwenye jamii ni watu ambao hawapuuzwi kwenye kila kitu. Watu watamtii, watamuiga hata kuvaa, kusema, kutembea hata kula na kunywa.
Sifa hii ya kuheshimika aliyojipa kwenye utetezi wake inaweza kumtia matatani kwenye kuwashawishi wale wanaomtii, mheshimu na muamini kufanya vurugu zile zilizotokea siku ile. Na kama uchaguzi wa Kikatiba ukivurugwa maana yake umevunja Katiba, umehujumu fedha zote zilizotumika kuandaa uchaguzi, ingesababisha viongozi walioko madarakani kuendelea kubaki madarakani kinyume na katiba au nchi ingebaki bila na Rais, wabunge na madiwani halali kwa mujibu wa katiba.
Ningekuwa mimi ningesema kuwa mimi ni raia tu wa kawaida kwenye jamii nisieweza kumshawishi mtu yeyoyote kufanya kama walichofanya.
kavulata naomba uzi wako wowote, au comment yako yoyote uliyowahi kumsema Tundu Lissu kwa wema.Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani ni kusema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishima sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.
Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na kimataifa kwa kiasi cha kupewa tuzo basi lazima akili pia kuwa maneno aliyosema kwenye hotuba yake ya no reforms no election, tutazuia uchaguzi , tutaasi na tutakinukisha vibaya sana Oct29 yaliwashawishi watu kufanya vurugu October 29 na baada ya Oct29 kwakuwa yalitolewa na mtu anaeheshimika sana ndani na nje ya nchi.
Watu wanaoheshimika sana kwenye jamii ni watu ambao hawapuuzwi kwenye kila kitu. Watu watamtii, watamuiga hata kuvaa, kusema, kutembea hata kula na kunywa.
Sifa hii ya kuheshimika aliyojipa kwenye utetezi wake inaweza kumtia matatani kwenye kuwashawishi wale wanaomtii, mheshimu na muamini kufanya vurugu zile zilizotokea siku ile. Na kama uchaguzi wa Kikatiba ukivurugwa maana yake umevunja Katiba, umehujumu fedha zote zilizotumika kuandaa uchaguzi, ingesababisha viongozi walioko madarakani kuendelea kubaki madarakani kinyume na katiba au nchi ingebaki bila na Rais, wabunge na madiwani halali kwa mujibu wa katiba.
Ningekuwa mimi ningesema kuwa mimi ni raia tu wa kawaida kwenye jamii nisieweza kumshawishi mtu yeyoyote kufanya kama walichofanya.
Alichokisema kabla ya kukamatwa kilichochea kilichotokea Oct29, hasa kutokana na heshima aliyonayo kitaifa na kimataifa kama alivyokiri mwenyewe kuwa heshima hiyo anayo kubwa.kwa yaliyotokea octoba29 lissu hakuwepo uraiani mlishamfunga tayari hivyo mungu kumuepusha na hila zenu mbaya itoshe kusema Mungu huwa yuko mbele ya muda siku zote kama tu mna mu implicate kwa hayo wakati alikuwa ndani vipi kama angekuwa nje? si ajabu hata mngemuuwa tena kwa mara ya pili.
Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani ni kusema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishima sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.
Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na kimataifa kwa kiasi cha kupewa tuzo basi lazima akili pia kuwa maneno aliyosema kwenye hotuba yake ya no reforms no election, tutazuia uchaguzi , tutaasi na tutakinukisha vibaya sana Oct29 yaliwashawishi watu kufanya vurugu October 29 na baada ya Oct29 kwakuwa yalitolewa na mtu anaeheshimika sana ndani na nje ya nchi.
Watu wanaoheshimika sana kwenye jamii ni watu ambao hawapuuzwi kwenye kila kitu. Watu watamtii, watamuiga hata kuvaa, kusema, kutembea hata kula na kunywa.
Sifa hii ya kuheshimika aliyojipa kwenye utetezi wake inaweza kumtia matatani kwenye kuwashawishi wale wanaomtii, mheshimu na muamini kufanya vurugu zile zilizotokea siku ile. Na kama uchaguzi wa Kikatiba ukivurugwa maana yake umevunja Katiba, umehujumu fedha zote zilizotumika kuandaa uchaguzi, ingesababisha viongozi walioko madarakani kuendelea kubaki madarakani kinyume na katiba au nchi ingebaki bila na Rais, wabunge na madiwani halali kwa mujibu wa katiba.
Ningekuwa mimi ningesema kuwa mimi ni raia tu wa kawaida kwenye jamii nisieweza kumshawishi mtu yeyoyote kufanya kama walichofanya.
Lakini amekubali mahakamani kuwa amesema no reforms no election, tutazuia uchaguzi, tutakinukisha na tutaasi. Kama yeye ni mtu maarufu na anaeheshimika sana bila shaka wafuasi wake hawakumpuuza bosi wao, hivyo walikwenda kuchoma masanduku ya kura ili kuzuia uchaguzi kwakuwa hizo reforms alizotaka zifanywe ili uchaguzi ufanyike hazikufanyiwa, na wala yeye hakwenda mahakamani kudai zifanyike kabla ya uchaguziKesi ya maelekezo kutoka juu hiyo, hakunaga mhaini mmoja peke yake duniani...na haijawahi kutokea!.
Yaliyotikea October 29 yana uhusiano na case ya Lissu? How