Shukuru kuwa kila mtu ana kipawa chake cha kuweza kuhimili magumu. Wapo ambao walizidiwa na madhila wakaona kwa nini wajiue wakati wanaweza kuwa mashoga? jee hao waweza kuwa sifu kuwa bora umekuwa shoga hukujiua?Hunijui sikujui. Tunao au tuliopitia hali ngumu tuko wengi mno. Muhimu afya kamili. Mkuu acha kutetea ujinga.
Kama hivyo hata mimi ningeshaga jiua muda sana.
HayaPale kichwa kinapobaki na kazi ya kuvaa mawigi badala ya kufikiri.
Uchumi mbovu angekuwa na pesa za kulewa hivyo? Mtu mwenye uchumi mbovu aweza kuwa chapombe hivyo?Watu wanalaumu matokeo (kujiua)
Wanasahau kisababishi (hali mbaya ya uchumi wa TZ,utawala mbovu,udikteta uchwar ,unyonyaji wa raia wanyonge,n.k)
Msijadili matokeo jadilini vyanzo vya hayo matokeo .
Iko hivyo mkuu.Aisee
Hahahahaha nakuelewa kamandaMkuu kuna wadada wadangaji ukiwaanbia ugumu wa maisha hawaelewi kabisa. Kazi kunanga watu mitandaoni. Ukute anachomiliki ni Tako, Simu ya tecno au G-Tide na Danga la ambalo ni mume mtukufu wa MTu.
Usiongee hivyo mamiiChupi ulinihonga wewe mkuu? Hlf hata nifulie vipi siwezi tumia tecno kuku wewe.
Marehemu ni mpuuzi akarest in hell..
Iko hivyo mkuu.
Sawa kaka yanguUsiongee hivyo mamii
nakubaliana nawew kabisa...kuna baadhi ya binadamu jinsi walivyo akipata matatizo anajiona completely mkosaji hafai kabisa huku duniani yani haoni sababu ya kuishi bora afe kabisa ndio huyo jamaa, wana uwezo mdogo sana wa kukabiliana na changamoto na rafiki kama huyo nilikuwa nae chuoni aliishia kupata matatizo tuHuwezi jua hiyo hela ya pombe labda alikopa??? Ungekuwa umekabili hali ngumu bhasi ungeelewa kuwa kuna watu hawana uwezo wa kukabili stress kali so wanaona kifo ndo solution.. Ungeelewa hali aliyokuwa nayo marehemu mpaka akafikia hatua hiyoo..
Hii nchi kila kona watu tunalia tu
Aisee ni hatari sana mkuu..!! Stress zinahitaji moyo mgumu sana kuzikabli.. Akili inakuwa imestuck kabisaanakubaliana nawew kabisa...kuna baadhi ya binadamu jinsi walivyo akipata matatizo anajiona completely mkosaji hafai kabisa huku duniani yani haoni sababu ya kuishi bora afe kabisa ndio huyo jamaa, wana uwezo mdogo sana wa kukabiliana na changamoto na rafiki kama huyo nilikuwa nae chuoni aliishia kupata matatizo tu
Na bado Mheshimiwa Rais anatwambia watanzania tutembee vifua mbele kwa kuwa we are in the right track!
Hii damu isiyo na hatia inayomwagika itaendelea kumlilia Jiwe kizazi na kizazi!
Kuna siku atakuwa ni Mwanaoo... Labda awe wa kike kama wewe...!! Haya maneno yakumbukee...Chupi ulinihonga wewe mkuu? Hlf hata nifulie vipi siwezi tumia tecno kuku wewe.
Marehemu ni mpuuzi akarest in hell..
kwel kabisa[emoji23][emoji23]wanajiona mataita mjini kumbe frame wamepangishiwa wakisoma habari kama hizi wanadiss kwanini asingechimba hata mtaro apate pesaUnahongwa chupi na tecno utajuaje ugumu wa maisha kwa kukosa ajira.
Shwauni wewe.
Shauri yako.nyokolo
kwel kabisa[emoji23][emoji23]wanajiona mataita mjini kumbe frame wamepangishiwa wakisoma habari kama hizi wanadiss kwanini asingechimba hata mtaro apate pesa