Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Hunijui sikujui. Tunao au tuliopitia hali ngumu tuko wengi mno. Muhimu afya kamili. Mkuu acha kutetea ujinga.


Kama hivyo hata mimi ningeshaga jiua muda sana.
Shukuru kuwa kila mtu ana kipawa chake cha kuweza kuhimili magumu. Wapo ambao walizidiwa na madhila wakaona kwa nini wajiue wakati wanaweza kuwa mashoga? jee hao waweza kuwa sifu kuwa bora umekuwa shoga hukujiua?
Hapana, tuombeane heri na yale yaletayo msongo wa mawazo kwa vijana wetu tuyapinge wote
 
Watu wanalaumu matokeo (kujiua)
Wanasahau kisababishi (hali mbaya ya uchumi wa TZ,utawala mbovu,udikteta uchwar ,unyonyaji wa raia wanyonge,n.k)

Msijadili matokeo jadilini vyanzo vya hayo matokeo .
Uchumi mbovu angekuwa na pesa za kulewa hivyo? Mtu mwenye uchumi mbovu aweza kuwa chapombe hivyo?
 
Huwezi jua hiyo hela ya pombe labda alikopa??? Ungekuwa umekabili hali ngumu bhasi ungeelewa kuwa kuna watu hawana uwezo wa kukabili stress kali so wanaona kifo ndo solution.. Ungeelewa hali aliyokuwa nayo marehemu mpaka akafikia hatua hiyoo..
nakubaliana nawew kabisa...kuna baadhi ya binadamu jinsi walivyo akipata matatizo anajiona completely mkosaji hafai kabisa huku duniani yani haoni sababu ya kuishi bora afe kabisa ndio huyo jamaa, wana uwezo mdogo sana wa kukabiliana na changamoto na rafiki kama huyo nilikuwa nae chuoni aliishia kupata matatizo tu
 
nakubaliana nawew kabisa...kuna baadhi ya binadamu jinsi walivyo akipata matatizo anajiona completely mkosaji hafai kabisa huku duniani yani haoni sababu ya kuishi bora afe kabisa ndio huyo jamaa, wana uwezo mdogo sana wa kukabiliana na changamoto na rafiki kama huyo nilikuwa nae chuoni aliishia kupata matatizo tu
Aisee ni hatari sana mkuu..!! Stress zinahitaji moyo mgumu sana kuzikabli.. Akili inakuwa imestuck kabisaa
 
Kuna kitu nina niambia kizazi cha sasa kina madhaifu na uwezo mdogo sana wa kudeal na magumu ya maisha.....

Sasa kama vijana wameanza ku'commit suicide katika umri huu mdogo unategemea nini kitaendelea baadae katika maisha....

Dah serikali kupitia wizara ya ustawi wa jamii na maendeleo ya jamii hebu tafiti zianze mara moja kujadili mustakabali wa hii jamii....
 
Dah vijana wanapewa elimu za nadharia na kukosa plan B serikali ijipange upya katika hili
 
Ac
Na bado Mheshimiwa Rais anatwambia watanzania tutembee vifua mbele kwa kuwa we are in the right track!

Hii damu isiyo na hatia inayomwagika itaendelea kumlilia Jiwe kizazi na kizazi!


Acha uzwazwa ndugu.
 
Polisi wa bongo hawaaminiki kabisa.....
hiyo barua wanajuaje kama kaanduka yeye na je kama aliwekewa tu kabla ya kusukumwa?
.
.
Hawaoni haja ya kuendelea na uchunguzi wa kina kabla ya kuhitimisha hivyo.
 
Chupi ulinihonga wewe mkuu? Hlf hata nifulie vipi siwezi tumia tecno kuku wewe.
Marehemu ni mpuuzi akarest in hell..
Kuna siku atakuwa ni Mwanaoo... Labda awe wa kike kama wewe...!! Haya maneno yakumbukee...
 
Wanawake wengine laana tu yani...!!
kwel kabisa[emoji23][emoji23]wanajiona mataita mjini kumbe frame wamepangishiwa wakisoma habari kama hizi wanadiss kwanini asingechimba hata mtaro apate pesa
 
Back
Top Bottom