Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Shukuru kuwa kila mtu ana kipawa chake cha kuweza kuhimili magumu. Wapo ambao walizidiwa na madhila wakaona kwa nini wajiue wakati wanaweza kuwa mashoga? jee hao waweza kuwa sifu kuwa bora umekuwa shoga hukujiua?Hunijui sikujui. Tunao au tuliopitia hali ngumu tuko wengi mno. Muhimu afya kamili. Mkuu acha kutetea ujinga.
Kama hivyo hata mimi ningeshaga jiua muda sana.
Hapana, tuombeane heri na yale yaletayo msongo wa mawazo kwa vijana wetu tuyapinge wote