Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
May be. Lkn miaka 25 unakata tamaa ya maisha kihivyo, hata familia hajaanzisha Bado. Mimi sikubaliani na hiyo sababu labda Kama kuna mengine zaidi ya tuliyoelezwa.Mkuu kuna kipindi life linapinda hatar had unatafuta kaz ya kuuza mandaz bado mambo hayakai poa, usimlaumu sana marehemu huenda amejaribu kila njia akashindwa, alaf kibaya zaid akakosa washauri wa karibu... nasikia jamaa ni yatima, hana baba wala mama