Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Kwani umekatazwa kujiua siujiue tu.

Utakuwa umetupunguzia mazezeta yanatotumalizia hewa ya oksijeni.
Tatizo lenu machadema mnataka kila mtu amlaumu Magufuli,

Upumbavu kama huu utaukuta pale ufipa tu
 
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua kwa kujichoma moto baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia, kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga (street vendor) kutokana na kukosa ajira, tukio liliopelea maandamano ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Mkuu nadhani dictator mmja toka taifa fulani lililoko afrika mashariki ambalo wengi wao wanaongea swahili, ambaye huyu didcator hasafiri mataifa ya nje, na sababu anasema ni kutuza hela za walipa kodi ila sisi tunajua sababu kuu ni kuwa hawezi ongea english, anasoma hii maadiko umeadika, next arab spring atakuwa moja wa kungolewa
 
Wenye mamlaka wanaendelea na siasa za kipuuzi za kujitekenya na kucheka wenyewe kwamba hali ni NZURI SANA halafu wanapigiana makofi na kusifiana. Hakuna lolote linaloonesha matokeo chanya kwenye maisha ya masikini katika yote wafanyayo na ukisema vyuma vimebana wewe ni kama MHAINI. Sasa kama wameanza kutojali kujitoa uhai kitu chenye thamani kupita vyote anavyoweza kumiliki binadamu, ipo siku hawataogopa lolote na chakula chao kitakuwa yeyote wanayehisi alipaswa kutatua matatizo yao. Muda utasema.
 
Sikubaliani kwamba tatizo ni ajira. Ajira kweli hamna lakini sio kwa kiwango cha kuamua kujiua. Huyu mtu ana shahda ya Sayansi ya Compyuta bado anatafuta ajira kweli?
Itakuwa alikuwa na vyeti lakini uwezo hana. Alifaulu darasani na huenda alikuwa the best kwenye mitihani kwa sababu vyuo vyetu Tz vinakuandaa kuwa na uwezo wa kukariri na ukikariri vizuri unaitwa the best ila kichwani hakuna kitu.
Mie naomba kama kuna kijana anataka kujiua na amesoma kompyuta hasa na uwezo anao aje nimwambie cha kufanya, niko serious, nataka nimuoneshe huyu kijana ajira ilipo. Haya njooni hapa nyie wa Computer science mnaotaka kujiua kwa sababu hamuoni ajira.
Niko dsm ila kwa sikukuu hizi niko mwanza
Huna lolote wewe.porojo tu
 
Shida watu wa mikoani wanauonaga wakifika UDSM ndo wamemaliza kila kitu..mmoja wao ni huyu hapa ambae hua hakomi kuwananga watu waliosoma vyuo tofauti na UDSM, maisha mtaani hayaangalii umesoma wapi chuo kwa hio kozi aliosoma huyu bwana ingemuwesesha kufanya mambo mengi mazuri mazuri sema ndo vile amekosa exposure...
Kawaiyo wewe kuishi dar unajiona mjanjaa? Eti
 
Lala mahala pema peponi Ally.
Nashukuru nnasomea fani isiyo na ulazima wa kuajiriwa nishatengeneza direction .

Ila kuna wabongo wamepewa mioyo ya kishetani kweli,huwezi kumhukumu marehemu na hali ushaambiwa sababu ya kifo chake.

Kazi kuishia kuropoka tu eti "kuna sababu nyingine",unaijua?

Shwaini muendelee kukaririshana tu msuburi yawakute ndugu zenu ndo akili ije
 
Huyu alikuwa member wa jf, jukwaa la kazi na ajira
 
RIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.

Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.

Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Very true my brother, lakini shinda iko hapa pascal, ukiangalia katika vyuo vingi hapa tz na hata kenya utakuta vinafundisa watu ambao huo mfumo wa elimu ni wa kufanya mtu aajiriwe, wala sio ajiajiri au atengeneza ajira, in short we are training people and producing graduates who can neither THINK or REASON, and these are the 2 critical things needed in todays world,we dont have critical thinkers among many graduates, hence matokeo ndio haya,Sasa niambie mtu ako na degree ya computer science YET he is waitting to be hired by someone instead of thinking how he can not only hire himself but aslo hire others,And this explains as to why in tz we are not seeing a rise in STARTUPS, people are only looking to be hired,That era of going to uni thinking you will be hired is GONE, and yes in germany the education system here allows even one to study while working, aslo here no one bothers if she or he gets admission to uni, most companies hires you, you train while they pay you and then after say 3 years you graduate and you now work for that firm, and thats why you find german is a market leader in most products, but question is can you sell such an idea to a regime that only want to show the world they can do without anyones advice?But aslo our uni lecturers i think are not teaching students how to think, analyis and be strategic in their day to day life, finally where was this young man getting money to buy alchol, my point morals are aslo lacking, alchol taking solves NO problem
 
Mie nashangaaga hata kama hawana watu waku wa advice vizuri huko serikalini,kwa nini wasitumie JF ushauri unaotolewa humu?...Napata picha kila mtu anawaza tumbo lake huko…...haya unayoyaandika trust me wanayajua sana...kuyatekeleza ndio ishu,..sijui nani afanye nini..
 
So sad aiseee....

Hizi damu zitamlilia Jiwe maisha yake yote...

Apumzikekwa amani kijana yatima...
Ni kweli kwani ni awamu hii tu watu wameanza kujiua kwa ajili ya matatizo binafsi! Miaka ya nyuma watanzania walikuwa hawajiui na hakuna aliyekuwa na tatizo lolote!
 
Back
Top Bottom