Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Jiwe anasema hawezi kuajiri wakati hajamaliza kujenga miladi ya maendeleo. R. I. P. Ally.
 
Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
We unachukulia easy sana haya maisha eeh! Leo hii aliesoma na ku graduate degree hana tofauti na mtu wa la saba. Kazi hamna lazima u hustle sana kupata chochote kitu. Ikibidi kwa kazi ambazo sio proffession yako kabisa
 
Haya yanaweza kuwa n matokeo ya mitaara ya theory tu mtu kasoma ict hawezi multmedia mfano video editing , haruhusiw kupost youtube au kuwa na blog pia jamii imeaminishwa na wanasiasa kuwa lazima kusoma sana ndo ufanikiwe. Lakin pia hata wanachuo bum linawazingua hadi wanajiona hadhi hvi ..
 
RIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.

Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.

Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Ndugu Pasko Tema mate Chini, Sio Kiraisi hivyo!!!! unajua kuwa Wagonjwa wa TB na Ukimwi na wale wa Madawa ya Kulevya Dawa hutolewa Bure??? unajua lakini bila elfu 10 uwezi pimwa TB??? na wapo wanaokufa kwa kukosa elfu 10 ya kuweza pimwa TB??? (ni
liwai mlipia mtu 10 elfu na akapona ) japo wengi wana angamia .. ni ni sheria ya nchii....Mwenyezi Mungu amrehemu kijana
 
Mtu unasoma Computer ukifungua Blog wanataka uilipie Kodii... Ukifanya biashara online wanataka Kodiii.. Mwisho wa siku Unaanza kuiba sasa na kutuma zile msg za mpesaa sijui Ile hela tuma kwenye namba hii.. Non sense...
Haya yanaweza kuwa n matokeo ya mitaara ya theory tu mtu kasoma ict hawezi multmedia mfano video editing , haruhusiw kupost youtube au kuwa na blog pia jamii imeaminishwa na wanasiasa kuwa lazima kusoma sana ndo ufanikiwe. Lakin pia hata wanachuo bum linawazingua hadi wanajiona hadhi hvi ..
 
Ana matatizo ya akili asisingizie ajira
Kweli mkuu, graduate wa chuo kikuu, tena computer science, kwa nini asijiajiri hata yeye mwenyewe? Kama std vii wanaweza kujiajiri, huko chuo kikuu wanafundishwa kutegemea kuajiriwa tu?
 
Kujiua kiboya hivyo ni kukwepa majukumu tu,Ulaya kwenyewe kuna graduates ambao ni jobless! Nini bongo
 
Back
Top Bottom