Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Dah jamaa kachukua maamuzi magumu sana asee mbona wenzie tupo kitaa tu hatuna ajira.
R.I.P mzee dingi, tuandalie makao
R.I.P mzee dingi, tuandalie makao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri tu mkuuHabari za siku bushland
asee umeongea ukweli hyo hali ni hatar mi nafikir tusikuhum kwa haya maisha ya sasa ni stress tupuHujawahi pata stress na depression mkuu... ogopa sanaa hiyo mambo!
kula kulala huwa mna maneno ya kejeli sana.Ana matatizo ya akili asisingizie ajira
Wewe mbwa umekariri kila aliyepo Mwanza ni msukuma...R.I.P Msukuma
factSame problem...same status..Differnt Desicion...
Usifikiri kujiajiri ni kazi nyepesi.Ndio ujiue jamani? Usomi wake umemsaidia nini, alikuwa anatambua kabisa kuwa ajira ni ngumu..ameshindwa kujiajiri mwanaume mzima?
We unachukulia easy sana haya maisha eeh! Leo hii aliesoma na ku graduate degree hana tofauti na mtu wa la saba. Kazi hamna lazima u hustle sana kupata chochote kitu. Ikibidi kwa kazi ambazo sio proffession yako kabisaHivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Jamaa amenifurahisha anavyohisi maisha ni mtelezo kiasi hicho! Hio kazi ya laki 3 tu watu 500 wanaipangia foleni kusubiria interview na bado wanakosa.Hamna trust me. Yani pakujishikiza ni kwenye vibarua ambako naamini mwanaume hachagui kazi.
Ndugu Pasko Tema mate Chini, Sio Kiraisi hivyo!!!! unajua kuwa Wagonjwa wa TB na Ukimwi na wale wa Madawa ya Kulevya Dawa hutolewa Bure??? unajua lakini bila elfu 10 uwezi pimwa TB??? na wapo wanaokufa kwa kukosa elfu 10 ya kuweza pimwa TB??? (niRIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.
Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.
Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Haya yanaweza kuwa n matokeo ya mitaara ya theory tu mtu kasoma ict hawezi multmedia mfano video editing , haruhusiw kupost youtube au kuwa na blog pia jamii imeaminishwa na wanasiasa kuwa lazima kusoma sana ndo ufanikiwe. Lakin pia hata wanachuo bum linawazingua hadi wanajiona hadhi hvi ..
Kweli mkuu, graduate wa chuo kikuu, tena computer science, kwa nini asijiajiri hata yeye mwenyewe? Kama std vii wanaweza kujiajiri, huko chuo kikuu wanafundishwa kutegemea kuajiriwa tu?Ana matatizo ya akili asisingizie ajira
Thank you tunaelekea hukoHii inikumbusha Mohammed Bouaziz alivyojichoma moto na Ku spark mabadiliko ya utawala wa kidikteta na kishenzi pale Tunisia. One day yes!
Sio tu kuishi Dar, na kusoma hapo UDSM bila kua na frustrations najiona mjanja sanaKawaiyo wewe kuishi dar unajiona mjanjaa? Eti
Mkuu hiyo avatar poa sana!kula kulala huwa mna maneno ya kejeli sana.