May be. Lkn miaka 25 unakata tamaa ya maisha kihivyo, hata familia hajaanzisha Bado. Mimi sikubaliani na hiyo sababu labda Kama kuna mengine zaidi ya tuliyoelezwa.Mkuu kuna kipindi life linapinda hatar had unatafuta kaz ya kuuza mandaz bado mambo hayakai poa, usimlaumu sana marehemu huenda amejaribu kila njia akashindwa, alaf kibaya zaid akakosa washauri wa karibu... nasikia jamaa ni yatima, hana baba wala mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Ajira ngumu balaaa...siku hizi hata kufanya kazi bure wanakataa
sana mkuu, huwa hawakosi hela ya kula hao, K zinagongwa hatar wanapata mkwanja, hata kaz hawakos kirahis kama sis[emoji1] [emoji1]Kei zinawatia kiburi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke kukosa Kazi amejitakiaa... Hapo vipi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sana mkuu, huwa hawakosi hela ya kula hao, K zinagongwa hatar wanapata mkwanja, hata kaz hawakos kirahis kama sis[emoji1] [emoji1]
Hivi nyie huwa mnahonga mkuu? Yaani mwanamke akiwa anashida unamgharamia kila kitu? Au mna maana gani? Hlf mbona kuna wanaume humu hawakubaliani na hiyo sababu ya mtu kujiua na wao wanahongwa au inakuaje?Kei zinawatia kiburi
Sio mpuuzi mkuu, ukikaa na watu walio kwenye stage ya kuwaza kujinyonga ndo utajua hivi vitu ni real. Alikosa tu mtu wa karibu wa kumshauri. In hope Angekuwa na mwanamke wa kumliwaza na kumtia moyo asingefikia hukoSijui ni kwanini. But nathubutu kumuita mpuuzi.
Ulishawahi kunihonga? Ukute hujawahi honga hata siku moja unasikia story tu za vijiweni. Hakuna wahongaji siku hizi labda huko kwenuWewe unahongwa ndiyo maana kelele nyingi.
May beMkuu kuna kipindi life linapinda hatar had unatafuta kaz ya kuuza mandaz bado mambo hayakai poa, usimlaumu sana marehemu huenda amejaribu kila njia akashindwa, alaf kibaya zaid akakosa washauri wa karibu... nasikia jamaa ni yatima, hana baba wala mama
Amini hivyo tu mkuu, mim mwenyewe kuna kipnd life lilikuw tight had nkataman nifanye maamuz kama yake ila nkapata washauri mapema, mtu unaomba hata kaz ya kujitolea ili upate uzoefu na bado unakosa, haya maisha acha tu[emoji26][emoji26]May be. Lkn miaka 25 unakata tamaa ya maisha kihivyo, hata familia hajaanzisha Bado. Mimi sikubaliani na hiyo sababu labda Kama kuna mengine zaidi ya tuliyoelezwa.
Yaah alikosa mshauri wa karibu ambae anaelewa Nini maana ya depression...Sio mpuuzi mkuu, ukikaa na watu walio kwenye stage ya kuwaza kujinyonga ndo utajua hivi vitu ni real. Alikosa tu mtu wa karibu wa kumshauri. In hope Angekuwa na mwanamke wa kumliwaza na kumtia moyo asingefikia huko
Tena wasomi ndo hatari balaa nimemmendea mmoja ana nipiga danadana,mwisho ananiambia tatizo hueleweki una dau gani. Nikachokasana mkuu, huwa hawakosi hela ya kula hao, K zinagongwa hatar wanapata mkwanja, hata kaz hawakos kirahis kama sis[emoji1] [emoji1]
Jiueni tu jamani[emoji1787][emoji1787]Amini hivyo tu mkuu, mim mwenyewe kuna kipnd life lilikuw tight had nkataman nifanye maamuz kama yake ila nkapata washauri mapema, mtu unaomba hata kaz ya kujitolea ili upate uzoefu na bado unakosa, haya maisha acha tu[emoji26][emoji26]
kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke kukosa Kazi amejitakiaa... Hapo vipi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila la heri mkuuYaani maisha yangu mimi? Acha kabisa nife mwenyewe bora nitafute namna ya kuondoka naye. Najua wengi wata nishukuru.
Matumizi mabaya ya wapambe na marafiki mpambe wa kweli na rafiki ukimwambia sinywi naomba elfu 20 nikafungue genge ili nisiwaombe pombe tena aweza kupa hata laki moja bure Watu wanaonyweshana bure ni wafanyakazi na wafanyabiashara sababu wanajua mtu hata kama hela hana Leo kesho au mwisho wa mwezi atapata atawanywesha hadi wasahau kwao lakini sio jobless!!! Angekuwa mwanamke sawa unajua anakunywa bia za wanaume kupindukia ambazo atazilipa kwa mfumo wa kitandani. Hicho kidume jobless Nani akinyweshe bure?Kwani kila anaelewa anatumia pesa yake kununulia kinywaji? Wangapi wanashinda kwenye mabaa hawana hata sent ila kila siku wanakunywa na kulewa?
Acha kukalili Mkuu, Kwenye Mabaa na Vilabu Vya Pombe Kuna Wapambe Na Washikaji ambao huwaga wanagongeana Kirafiki tu na Watu wanalewa bila kuwa na pesa.
Yani Mpaka ukipitia hiyo hali ndo unaweza Muelewa marehemu nini alipitia...Amini hivyo tu mkuu, mim mwenyewe kuna kipnd life lilikuw tight had nkataman nifanye maamuz kama yake ila nkapata washauri mapema, mtu unaomba hata kaz ya kujitolea ili upate uzoefu na bado unakosa, haya maisha acha tu[emoji26][emoji26]
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua kwa kujichoma moto baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia, kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga (street vendor) kutokana na kukosa ajira, tukio liliopelea maandamano ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.