UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Mkuu, ebu niambie wanakofanya biashara bila kulipa kodi, ningependa kuhamia huko.Mtu unasoma Computer ukifungua Blog wanataka uilipie Kodii... Ukifanya biashara online wanataka Kodiii.. Mwisho wa siku Unaanza kuiba sasa na kutuma zile msg za mpesaa sijui Ile hela tuma kwenye namba hii.. Non sense...
Gongo ya buku jero mtu yuko chakalihela ya Pombe alikua anapata wapi kila siku
Mbona wakina mkwawa walijiua, nao ni kizazi cha sasa?Kuna kitu nina niambia kizazi cha sasa kina madhaifu na uwezo mdogo sana wa kudeal na magumu ya maisha.....
Sasa kama vijana wameanza ku'commit suicide katika umri huu mdogo unategemea nini kitaendelea baadae katika maisha....
Dah serikali kupitia wizara ya ustawi wa jamii na maendeleo ya jamii hebu tafiti zianze mara moja kujadili mustakabali wa hii jamii....
Kwani lazima u-comment upuuzi hayo matatizo ya akili umempima wewe ni doctor?Kuna sababu gani yakua na Serekali?Bado haijustify sababu zake za kujiua. Ni km vile aliamini ni lazima apate ajira. kwani hakuwa akiona wenzake wanaomaliza chuo wanakosa ajira? Ndio maana nikasema alikuwa ana matatizo mengine..yawezekana ya kiakili yakapelekea yeye kujiua.
Hivi mkuu ina maana hujui kitu kinaitwa mtaji ?anaweza kuwa na mawazo lakini pesaRIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.
Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.
Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Mkuu, ebu niambie wanakofanya biashara bila kulipa kodi, ningependa kuhamia huko.
kwanini mzee baba?Mkuu hiyo avatar poa sana!
Umasikini mkubwa kabisa ni Umasikini wa mawazo, Umasikini wa fikra, fedha sioHivi mkuu ina maana hujui kitu kinaitwa mtaji ?anaweza kuwa na mawazo lakini pesa
Kwenye kampeni zao walisema wataondoa kodi za kero sijui walikua na maana gani mtaani kugumu sana tuache ushabiki kwakila jamboMkuu, ebu niambie wanakofanya biashara bila kulipa kodi, ningependa kuhamia huko.
Kwenye kampeni zao walisema wataondoa kodi za kero sijui walikua na maana gani mtaa kugumu sana tuache ushabiki kwakila jambo
Kwahiyo ulitaka ajiajiri vipi wakati fedha ni changamoto ?Umasikini mkubwa kabisa ni Umasikini wa mawazo, Umasikini wa fikra, fedha sio
Msingi, fedha ni matokeo.
P
Kiongozi nadhani hawalijui hili kama sehemu tu ya kufanyia field practical/ ya kujitolea tu inakuwa ni shida kuipata sembuse hiyo ya kujishikiza? hivi wadau wanapolalamika kwamba ajira zimekuwa ngumu wenzetu hawa sijuwi hawaoni hali halisi ilivyo.We unachukulia easy sana haya maisha eeh! Leo hii aliesoma na ku graduate degree hana tofauti na mtu wa la saba. Kazi hamna lazima u hustle sana kupata chochote kitu. Ikibidi kwa kazi ambazo sio proffession yako kabisa
Nadhani niliona hiyo mechi Sergio Ramos(kama sikosei),alipokula mweleka baada ya chenga kali ya mtaalam Messi😂kwanini mzee baba?
Mungu mlaani Magufuli na kizazi chakeKama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Police wamesomba waliokuwa wanapiga picha.
Habari kamili inakuja. Picha zimekataa kuupload. Ila nimeattach kwenye comment no 6 na 7.
acheni maneno ya kejeli huwezi jua kesho yako ikoje au itakuajeShetani amemzidi akili
swadakta kabisa huyo mtu ni hatari sanaNadhani niliona hiyo mechi Sergio Ramos(kama sikosei),alipokula mweleka baada ya chenga kali ya mtaalam Messi😂