B49
Member
- Sep 20, 2018
- 75
- 119
unaweza kumzuia mtu asijiue?Kwanini wanawajengea wasukuma maghorofa hapo ukingoni ilitakiwa pazibwe RIp kijana mdogo
Fikiri kabla ya kusema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kumzuia mtu asijiue?Kwanini wanawajengea wasukuma maghorofa hapo ukingoni ilitakiwa pazibwe RIp kijana mdogo
Matatizo ya akili Pia yanaweza kusababishwa na kukosa ajiraAna matatizo ya akili asisingizie ajira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 974787ndo huyu hapa!
mh wewe unasema wizaran yan mtaan unaweza kunyimwa hata Kazi ya kufyatua tofariHivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Ngoja nimuulizeJamani sijui nini kijana wawatu kapata na kajirusha kutoka ghorofa ya tatu jamani nimejiuliza sijui nini kimetokea jamani .
Kimeniuma couze bado ni mdogo sana.
Jamani mnadhani nini haswa kimemsibu?
Mkuu nimeshafahamishwa na wadau kua ni kitu kisichowezekana. Sikua najuamh wewe unasema wizaran yan mtaan unaweza kunyimwa hata Kazi ya kufyatua tofari
HayaNgoja nimuulize
Kila msomi aliyepewa mkopo anadaiwa mkopo, ila wote hawajirushi, kuna yule mmoja aliyejinyonga kwa kukosa mechi ya timu gani sijui kashasahaulika, huo ni msongo wa mawazo tu na watu wanajinyonga na kujiua kwa sababu nyingi sana,Kali jamani maisha ni magumu ukiangalia anadaiwa mkopo
Haya bhanaKila msomi aliyepewa mkopo anadaiwa mkopo, ila wote hawajirushi, kuna yule mmoja aliyejinyonga kwa kukosa mechi ya timu gani sijui kashasahaulika, huo ni msongo wa mawazo tu na watu wanajinyonga na kujiua kwa sababu nyingi sana,
Amekufa,ilikuwa ishu ya ukosefu wa ajira ndo chanzo..Wana Jf mtu nimeuliza swali jeupe nimepewa majibu ya pink, meus, mekundu ya njano vipi kwan mwenzenu hz taarifa ndio nimezisikia humu nilikuwa nahita kujua so sio mbaya, ahsante katoto kazuri
Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini hapa anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo la la Rocky City Mall na kufariki dunia.
Chanzo:Mwananchi.
Police wamesomba Picha zimekataa kuupload. Ila nimeattach kwenye comment no 6 na 7.
hizo ndo product za UDSM chuo bora Tanzania!Computer Science Graduate wa Mlimani kashidwa hata kupata kazi ya kufundisha kwenye hivi vyuo vya Diploma na Certificates? maana vyuo vingi vinahitaji waalimu wa IT; sina uhakika kama hata walimu hawa wameshajaa kote.
Hapa hapo tuseme Bwana ametwaa? Unless kuna sababu nyingine lakini kama ni ya kukosa ajira si uamuzi sahihi.
Comment ingine bhanaJamani kumbe alijiangushapo mwenyewe jamani
Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.