Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
mh wewe unasema wizaran yan mtaan unaweza kunyimwa hata Kazi ya kufyatua tofari
 
Kali jamani maisha ni magumu ukiangalia anadaiwa mkopo
Kila msomi aliyepewa mkopo anadaiwa mkopo, ila wote hawajirushi, kuna yule mmoja aliyejinyonga kwa kukosa mechi ya timu gani sijui kashasahaulika, huo ni msongo wa mawazo tu na watu wanajinyonga na kujiua kwa sababu nyingi sana,
 
Kila msomi aliyepewa mkopo anadaiwa mkopo, ila wote hawajirushi, kuna yule mmoja aliyejinyonga kwa kukosa mechi ya timu gani sijui kashasahaulika, huo ni msongo wa mawazo tu na watu wanajinyonga na kujiua kwa sababu nyingi sana,
Haya bhana
 
Wana Jf mtu nimeuliza swali jeupe nimepewa majibu ya pink, meus, mekundu ya njano vipi kwan mwenzenu hz taarifa ndio nimezisikia humu nilikuwa nahita kujua so sio mbaya, ahsante katoto kazuri
Amekufa,ilikuwa ishu ya ukosefu wa ajira ndo chanzo..
 
Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini hapa anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo la la Rocky City Mall na kufariki dunia.
Chanzo:Mwananchi.
Police wamesomba Picha zimekataa kuupload. Ila nimeattach kwenye comment no 6 na 7.
 
Computer Science Graduate wa Mlimani kashidwa hata kupata kazi ya kufundisha kwenye hivi vyuo vya Diploma na Certificates? maana vyuo vingi vinahitaji waalimu wa IT; sina uhakika kama hata walimu hawa wameshajaa kote.

Hapa hapo tuseme Bwana ametwaa? Unless kuna sababu nyingine lakini kama ni ya kukosa ajira si uamuzi sahihi.
hizo ndo product za UDSM chuo bora Tanzania!
 
Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.

nakuunga mkono, mimi mwenyewe kuna siku sikutamani iwe asubuhi kutokana na seke seke lake, nilitamani inikute mfu lakini Mungu ni mwema niliona mwanga, hivyo kujiua sio solution ya matatizo
 
Back
Top Bottom