Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Maisha magumu kwa sababu gani?
Hiyo ni topic nyingine. Watu wengi wangejiua kama ndio hivyo. ni kwamba uvumilivu wake umeishia hapo ila hakupaswa kuchukua uamuzi Kama huo. Hela ya pombe alikuwa anapata wapi?
 
Naweza kuwa nimekabili hali ngumu kuliko hata huyo jamaa.

Yani yeye hata hela ya pombe alikuwa nayo..

Na elimu alikuwa nayo... So tumaini pia lilikuwepo.
Huwezi jua hiyo hela ya pombe labda alikopa??? Ungekuwa umekabili hali ngumu bhasi ungeelewa kuwa kuna watu hawana uwezo wa kukabili stress kali so wanaona kifo ndo solution.. Ungeelewa hali aliyokuwa nayo marehemu mpaka akafikia hatua hiyoo..
 
Si anajidai yuko vizuri kichwani, hayo matakataka ndiyo nini sasa,[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji40][emoji40][emoji40]
Mkuu, humu kuna viingereza ukisoma unaweza sema wewe ndo ulikuwa hupendi shule..kumbe 😀😀😀😀😀
 
Usiseme haitakuwepooo sema kwako labda...!! Japi kifo sio solution ilaa mpaka mtu anafikia hiyo hatua acha mkuu... Ebu tema mate chini
Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.
 
Huwezi jua hiyo hela ya pombe labda alikopa??? Ungekuwa umekabili hali ngumu bhasi ungeelewa kuwa kuna watu hawana uwezo wa kukabili stress kali so wanaona kifo ndo solution.. Ungeelewa hali aliyokuwa nayo marehemu mpaka akafikia hatua hiyoo..
Usiniambie etiii. "Ningekuwa nimekabili hali ngumu" hujui historia yangu.

Labda hapo mwisho ndio nimekuelewa. Kuwa watu tunatofautiana kwenye swala la ustahimilivu.
 
Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Hapa bongo mkuu au??duuh
 
Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.
Aaha kumbe bhasi inawezekana kujiua maana tatzo la akili haliji hivi hivi... Huwa inaanza kama stress inachanganyikiwa mwisho wa siku unaona kifo ndo solution.. Mtu hajiui kwa stress za siku moja japo hiyo pia inawezekana..
 
Back
Top Bottom