STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
NA MIAKA HII MACHIZI TUTAKUA WENGI MNO MAANA SIO KWA VIWANDA IVI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu nadhani hawajawahi pigwa na maisha... Wao wanajua kula na kulala tu! Hawajawahi pata majukumu yanayozidi uwezo na huna kituu aisee... Acha mkuuUnakosea sana kusema hivyo mkuu
Hiyo ni topic nyingine. Watu wengi wangejiua kama ndio hivyo. ni kwamba uvumilivu wake umeishia hapo ila hakupaswa kuchukua uamuzi Kama huo. Hela ya pombe alikuwa anapata wapi?Maisha magumu kwa sababu gani?
Ila wewe uko sawa...Wee jamaa kama ni mwanaume bhasi utakuwa na matatzo ya akili...!!
Hujui ninayopitia ndugu, ila option ya kujiua haitakuwepo.Kuna watu nadhani hawajawahi pigwa na maisha... Wao wanajua kula na kulala tu! Hawajawahi pata majukumu yanayozidi uwezo na huna kituu aisee... Acha mkuu
Huwezi jua hiyo hela ya pombe labda alikopa??? Ungekuwa umekabili hali ngumu bhasi ungeelewa kuwa kuna watu hawana uwezo wa kukabili stress kali so wanaona kifo ndo solution.. Ungeelewa hali aliyokuwa nayo marehemu mpaka akafikia hatua hiyoo..Naweza kuwa nimekabili hali ngumu kuliko hata huyo jamaa.
Yani yeye hata hela ya pombe alikuwa nayo..
Na elimu alikuwa nayo... So tumaini pia lilikuwepo.
We unaonaje..??[emoji849]Ila wewe uko sawa...
Mkuu, humu kuna viingereza ukisoma unaweza sema wewe ndo ulikuwa hupendi shule..kumbe 😀😀😀😀😀Si anajidai yuko vizuri kichwani, hayo matakataka ndiyo nini sasa,[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji40][emoji40][emoji40]
Usiseme haitakuwepooo sema kwako labda...!! Japi kifo sio solution ilaa mpaka mtu anafikia hiyo hatua acha mkuu... Ebu tema mate chiniHujui ninayopitia ndugu, ila option ya kujiua haitakuwepo.
Naweza kuwa nimekabili hali ngumu kuliko hata huyo jamaa.
Yani yeye hata hela ya pombe alikuwa nayo..
Na elimu alikuwa nayo... So tumaini pia lilikuwepo.
Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.Usiseme haitakuwepooo sema kwako labda...!! Japi kifo sio solution ilaa mpaka mtu anafikia hiyo hatua acha mkuu... Ebu tema mate chini
Usiniambie etiii. "Ningekuwa nimekabili hali ngumu" hujui historia yangu.Huwezi jua hiyo hela ya pombe labda alikopa??? Ungekuwa umekabili hali ngumu bhasi ungeelewa kuwa kuna watu hawana uwezo wa kukabili stress kali so wanaona kifo ndo solution.. Ungeelewa hali aliyokuwa nayo marehemu mpaka akafikia hatua hiyoo..
Mkuu, humu kuna viingereza ukisoma unaweza sema wewe ndo ulikuwa hupendi shule..kumbe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa bongo mkuu au??duuhHivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Mkuu, huwa nazibadili tu .ninazo picha za chui mkubwa nyingi sana so naanglia tu inayofaaHaha!mkuu what happened na ile avatar ya zamani?
Aaha kumbe bhasi inawezekana kujiua maana tatzo la akili haliji hivi hivi... Huwa inaanza kama stress inachanganyikiwa mwisho wa siku unaona kifo ndo solution.. Mtu hajiui kwa stress za siku moja japo hiyo pia inawezekana..Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.