wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
Atakuwa alijizaa mwenyewe eti?
Unaambiwa hana wazazi, sasa ivyo vigeregere alipigia wapi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa hana wazazi, sasa ivyo vigeregere alipigia wapi???
Usimbebeshe mzee wa watu dhambi za bure.....So sad aiseee....
Hizi damu zitamlilia Jiwe maisha yake yote...
Apumzikekwa amani kijana yatima...
Wazee wa kupoticize kila tukio at work.Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua kwa kujichoma moto baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia, kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga (street vendor) kutokana na kukosa ajira, tukio liliopelea maandamano ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Ina maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?Kuna siku atakuwa ni Mwanaoo... Labda awe wa kike kama wewe...!! Haya maneno yakumbukee...
Wewe unahongwa ndiyo maana kelele nyingi.Ina maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?
Aisee umezungumza madini ya gharama sana katika soko la busara na hekima......RIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.
Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.
Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Mbona hujawahi kunihonga mkuu?Wewe unahongwa ndiyo maana kelele nyingi.
wanaume tuna kazi sana...inabidi nipambane nilishe tumbo langu na la mwanamke wangu.Wanawake wengine laana tu yani...!!
Nyie mnao-politicise maswala ya kitaifa kwenye uzinduzi, mbona huwa mnaona sawa tu?Wazee wa kupoticize kila tukio at work.
Mkuu kuna kipindi life linapinda hatar had unatafuta kaz ya kuuza mandaz bado mambo hayakai poa, usimlaumu sana marehemu huenda amejaribu kila njia akashindwa, alaf kibaya zaid akakosa washauri wa karibu... nasikia jamaa ni yatima, hana baba wala mamaIna maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?
Kwani kila anaelewa anatumia pesa yake kununulia kinywaji? Wangapi wanashinda kwenye mabaa hawana hata sent ila kila siku wanakunywa na kulewa?Issue ni kuwa hizo hela alizokuwa akipata kwa nini aliamua kulewea badala ya kufungua hata genge, baba nitilie au muuza mitumba kwa nini alikuwa akilewea?
Kei zinawatia kiburiKwenye huu uzi wanawake wanajibu "easy" coz wao wana kitega uchumi chao, hawawezi kulala njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
siku hizi hata kufanya kazi bure wanakataaHivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Ina maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?
Inasikitisha sana watu wanaongea kimzaha mzaha eti kwanini asingejiajili
Mtaji angetoa wapi? Hata Desktop Computer yahitaji pesa.
Kusema kuwa Marehemu alikuwa ni Chizi ni kumkosea heshima.
Ukweli alikuwa na Depressions, Msongo wa Mawazo ulimsumbua Wanaojua Psychology watatuambia kuliko Hao waswahili hapo juu wanaodakia maneno bila kujua marehemu alipitia mangapi?
Kumjudge mtu bila kujua yamemsibu mangapi ni upimbi uliopitiliza. Musiisemee nafsi ya mtu huenda kuna yaliyomkuta zaidi ya hayo mliyosikia
La muhimu ni kumuombea tu uko aendako apate pumziko la amani kuliko kumkejeli kwa uamuzi aliochukua.