Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

So sad aiseee....

Hizi damu zitamlilia Jiwe maisha yake yote...

Apumzikekwa amani kijana yatima...
Usimbebeshe mzee wa watu dhambi za bure.....

Kwani akitoa ajira unadhani watu wote watapata.......huyu kama amejiuwa kwa kukosa ajira anaweza hata jiua akisalitiwa na mkewe......

Madogo kibao ajira hawajapata wameamua tu kutulia home wacheki series tu maana no way out sasa mbona huyu anazingua....
 
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua kwa kujichoma moto baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia, kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga (street vendor) kutokana na kukosa ajira, tukio liliopelea maandamano ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Wazee wa kupoticize kila tukio at work.
 
Kuna siku atakuwa ni Mwanaoo... Labda awe wa kike kama wewe...!! Haya maneno yakumbukee...
Ina maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?
 
Najilazimisha kumhurumia ila roho inakataa.
Awekwe anapostahili.
 
Ina maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?
Wewe unahongwa ndiyo maana kelele nyingi.
 
RIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.

Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.

Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Aisee umezungumza madini ya gharama sana katika soko la busara na hekima......

Nakuunga mkono kwa asilimia zote....
 
Ina maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?
Mkuu kuna kipindi life linapinda hatar had unatafuta kaz ya kuuza mandaz bado mambo hayakai poa, usimlaumu sana marehemu huenda amejaribu kila njia akashindwa, alaf kibaya zaid akakosa washauri wa karibu... nasikia jamaa ni yatima, hana baba wala mama
 
Issue ni kuwa hizo hela alizokuwa akipata kwa nini aliamua kulewea badala ya kufungua hata genge, baba nitilie au muuza mitumba kwa nini alikuwa akilewea?
Kwani kila anaelewa anatumia pesa yake kununulia kinywaji? Wangapi wanashinda kwenye mabaa hawana hata sent ila kila siku wanakunywa na kulewa?

Acha kukalili Mkuu, Kwenye Mabaa na Vilabu Vya Pombe Kuna Wapambe Na Washikaji ambao huwaga wanagongeana Kirafiki tu na Watu wanalewa bila kuwa na pesa.
 
Ulitegemea baada ya kutoa watu WENYE VYETI FEKI kwenye makampuni ajira zingekua bwerere,hakuna bwanaa,sijui waliostaafishwa walienda kum ‘tengeneza’ Rais wetu????😂😇😇😂😂😇😂,,,,,NYIE WENYE MAMLAKA YA KUMSHAURI RAIS,MNAFANYA VIBAYA KUTOMWAMBIA RAIS HALI HALISI HUKU MTAANI,ANANUNUA MANDEGE BADALA YA KUINVEST IN PEOPLE UKIFIKIRIA HAYO MANDEGE YALIYOTANGULIA HATA SIJUI YAMEFANYA NINI,LOL
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utamuuliza siku hiyo akiwa kwenye Jeneza...! Marehemu hajafanya sawa lakini usimkashifu na kumdhihaki...
Ina maana Kama ni mwanangu ndio nione sawa. Nitalia yeye kufa lkn sitakubaliana na sababu yake ya kujiua. Kukosa ajira??? Hata maandazi ameshindwa kuuza?
 
Inasikitisha sana watu wanaongea kimzaha mzaha eti kwanini asingejiajili

Mtaji angetoa wapi? Hata Desktop Computer yahitaji pesa.

Kusema kuwa Marehemu alikuwa ni Chizi ni kumkosea heshima.

Ukweli alikuwa na Depressions, Msongo wa Mawazo ulimsumbua Wanaojua Psychology watatuambia kuliko Hao waswahili hapo juu wanaodakia maneno bila kujua marehemu alipitia mangapi?

Kumjudge mtu bila kujua yamemsibu mangapi ni upimbi uliopitiliza. Musiisemee nafsi ya mtu huenda kuna yaliyomkuta zaidi ya hayo mliyosikia

La muhimu ni kumuombea tu uko aendako apate pumziko la amani kuliko kumkejeli kwa uamuzi aliochukua.


Mie siwez katu kumlaumu marehem aisee..depression ni ugonjwa mbaya sana sa ana..huyu alifikia point of no return...Dah ..inaumiza sana sana ...nimeingia kwenye viatu vyake nimefit...sijapwaya..kuna watu asbh anaamka hana ht 100..ht hizo saidia fundi wanapeanaga wao kwa wao..hawakujui hipewi ng'o
 
Back
Top Bottom