Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
yani hadi mtu kujiuwa analaumiwa jiwe daaaaah.... kweli aliyeturoga kafa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa,the poorest person in this world is not the person without 1 dollar to his or her name NO its a person who has no vision,no dreams, and no ideas, its not money that runs this world, its ideas that runs and rules this world, money is just a BY PRODUCT of ones ideas and vision,jeff bezos the richest guy in the world put his ideas to work, he created using those ideas Amazon, and in turn the profits he gets from amazon is just a by product of his ideas,zurkeberg, facebook founder started facebook in a dorm with very few dollars today he is among the richest people in this world, his ideas abaut facebook give him wealth, on and on, capital au mtaji is not an issue wakati wa kuazisa mrandi , issue ni what kind of ideas do you haveUmasikini mkubwa kabisa ni Umasikini wa mawazo, Umasikini wa fikra, fedha sio
Msingi, fedha ni matokeo.
P
Tena msukuma mwenzakeJiwe anaambiwa vyuma vimekaza yy anagawa vitambulisho. Angalia sasa kijana mdogo kajiua.
Siwezi kujiua kwa sababu hiyoulisema post ya kwanza amejiua sababu ana magonjwa ya akili,je unajua nini kimesababisha huo ugonjwa?...........hio kujiua ni wewe ndio uliyeuliza kama huna mtaji ujiue,nilikua nakuambia ujiue tu hakuna namna….lol
Vijana wa Taifa la leo wana matatizo kweli, yani unasoma ili uajiriwe au ajira unaifanya kama malipo ya kusoma kwako!.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Police wamesomba waliokuwa wanapiga picha.
Habari kamili inakuja. Picha zimekataa kuupload. Ila nimeattach kwenye comment no 6 na 7.
Acha kujishebedua wewe. Wewe ulijiajiri? Unaposema vijana wa leo wana matatizo, tutajie ni lini au mwaka gani nchi hii ilitoa wahitimu wanaojiajiri?Vijana wa Taifa la leo wana matatizo kweli, yani unasoma ili uajiriwe au ajira unaifanya kama malipo ya kusoma kwako!.
Nadhani kuna haja ya kutafakari kwa kina juu ya dhana ya kupata ajira pindi umalizapo masomo ya elimu ya juu, kwani haiwezekani kupata wote ajira ya kuajiriwa.
Binafsi nimejiajiri. Suala la kujiajiri ama kuajiriwa ni la mtu binafsi, ila sii lazima uajiriwe baada ya kuhitimu masomo ya elimu ya juu. Zipo kada ambazo ni muhimu kuajiriwa kama vile kada ya ELIMU & AFYA.Acha kujishebedua wewe. Wewe ulijiajiri? Unaposema vijana wa leo wana matatizo, tutajie ni lini au mwaka gani nchi hii ilitoa wahitimu wanaojiajiri?
Ficha aibu yako ushakuwa mtu mzima sasa.
Kaka huwezi amini Mall ilivyokuwa na utulivyu utadhani hakuna tukio limetokea. Yan biashara zimeendelea kama kwaida, wengine hawakujua hata kma tukio limetokea umo ndani.Poleni wakuu kwa kufiwa,
Mi sina tatizo la yeye kujiua, ila njia aliyochagua kujiua. Si angejinyonga tu?
Hapo kasabahisha biashara za watu kusimama, Mall ya watu kuchafuka damu, mikusanyiko isiyo yalazima nk.
Pamoja na yote,
Vijana tuache tamaa ya kutaka vitu vikubwa, tujifunze uvumilivu.
Kuna watu wana matatizo ajira cha mtoto,
Ngoja niiishie hapa
RIP
Starved f*kNafikiri ni kosa kisheria kushea picha ya maiti mtandaoni.
Upeasant unaingilianaje na ethics?Ethics!!! Ethics!! Huwezi kupost picha ya binadamu kama hivi!! Hii nchi tuna peasants wengi sana
Nani angemlipa?Kwa elimu aliyokuwa nayo,angeenda ata shule ya kata akafundisha part time...na maisha yange songa,kuliko kuchukua maamuzi ya kujiua.
Kwani unadhani kila jambo linafanyika ndani ya siku moja? Au unadhani matatizo yote ya Tanzania yatamalizwa ndani ya miaka 5? Ingekuwa matatizo yote yanamalizwa ndani ya muda mfupi kiasi hicho basi chadema yenye umri wa zaidi ya miaka 20 ingekuwa na jengo zuri la ofisi ya makao makuu na vitega uchumi. Hata Roma haikujengwa siku moja.Kwenye kampeni zao walisema wataondoa kodi za kero sijui walikua na maana gani mtaani kugumu sana tuache ushabiki kwakila jambo
Nimeshawaambia hiyo sera ya kupinga kila kitu lissu msaliti amewaingiza chaka, ni incoherent. Ona sasa unakidharau chuo chake mwenyewe kwa sababu ya graduate mmoja ambaye amekuwa na tatizo. Unakiponda eti Magu alikisifia ni chuo bora ili usionekane kuwa unakubaliana na Magu. Kama chuo siyo kizuri basi na wewe graduate wake basi ni ovyo tu. Ikane hiyo degree ukasome kwingine.A computer science graduate from the University of Dar es Salaam. Hiki ndio chuo Magufuri alikuwa anasema ni chuo bora Tanzania siku ile.
By the way hata mimi ni graduate wa UDSM, hii course ni computer science ipi?
Nimeshawaambia hiyo sera ya kupinga kila kitu lissu msaliti amewaingiza chaka. Ona sasa unakidharau chuo chake mwenyewe kwa sababu ya graduate mmoja ambaye amekuwa na tatizo. Unakiponda eti Magu alikisifia ni chuo bora ili usionekane kuwa unakubaliana na Magu. Kama chuo siyo kizuri basi na wewe graduate wake basi ni ovyo tu. Ikane hiyo degree ukasome kwingine.
Lipi zuriKila kitu jiwe! Mbona akili zenu zinakua mgando kiasi icho!
-Nyie ndio mnaongez rahan kwenye hii nchi midom yenu haiishi kumuongea vibaya Raisi.