Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Umasikini mkubwa kabisa ni Umasikini wa mawazo, Umasikini wa fikra, fedha sio
Msingi, fedha ni matokeo.
P
kweli kabisa,the poorest person in this world is not the person without 1 dollar to his or her name NO its a person who has no vision,no dreams, and no ideas, its not money that runs this world, its ideas that runs and rules this world, money is just a BY PRODUCT of ones ideas and vision,jeff bezos the richest guy in the world put his ideas to work, he created using those ideas Amazon, and in turn the profits he gets from amazon is just a by product of his ideas,zurkeberg, facebook founder started facebook in a dorm with very few dollars today he is among the richest people in this world, his ideas abaut facebook give him wealth, on and on, capital au mtaji is not an issue wakati wa kuazisa mrandi , issue ni what kind of ideas do you have
 
ulisema post ya kwanza amejiua sababu ana magonjwa ya akili,je unajua nini kimesababisha huo ugonjwa?...........hio kujiua ni wewe ndio uliyeuliza kama huna mtaji ujiue,nilikua nakuambia ujiue tu hakuna namna….lol
Siwezi kujiua kwa sababu hiyo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Police wamesomba waliokuwa wanapiga picha.

Habari kamili inakuja. Picha zimekataa kuupload. Ila nimeattach kwenye comment no 6 na 7.
Vijana wa Taifa la leo wana matatizo kweli, yani unasoma ili uajiriwe au ajira unaifanya kama malipo ya kusoma kwako!.

Nadhani kuna haja ya kutafakari kwa kina juu ya dhana ya kupata ajira pindi umalizapo masomo ya elimu ya juu, kwani haiwezekani kupata wote ajira ya kuajiriwa.
 
Vijana wa Taifa la leo wana matatizo kweli, yani unasoma ili uajiriwe au ajira unaifanya kama malipo ya kusoma kwako!.

Nadhani kuna haja ya kutafakari kwa kina juu ya dhana ya kupata ajira pindi umalizapo masomo ya elimu ya juu, kwani haiwezekani kupata wote ajira ya kuajiriwa.
Acha kujishebedua wewe. Wewe ulijiajiri? Unaposema vijana wa leo wana matatizo, tutajie ni lini au mwaka gani nchi hii ilitoa wahitimu wanaojiajiri?

Ficha aibu yako ushakuwa mtu mzima sasa.
 
Really sad

Kijana angejiajiri kwa kufungua blog ama YouTube awe analipwa na google ila kwa Bahati mbaya asingeweza kwa sababu kuna sheria mpya ni lazima ujisajili kwa milioni 2 unapoanzisha YouTube au blog yako (Hata shaffih dauda aliwekwa ndani kwajili ya hii ishu kwa kushindwa kuisajili TV yake ya YouTube)

Ajira siku hizi zipo kibao mtandaoni na watu wanapiga dollars za kutosha, mfano unaweza kuajiriwa na hii mitandao uwe website designer, software developer, programmer, graphic designer na hata kazi za kawaida kama kuwa mkalimani, mtoa ushauri wa mahusiano, Mwalimu wa somo flani n.k. Cha ajabu wabongo wengi wana uwezo wa kufanya hizi kazi mtandaoni ila cha ajabu mpaka muda huu navyoongea hapa bongo hakuna mfumo wa kuruhusu kupokea pesa kwa PayPal hapa bongo, Makampuni mengi sana yanayoajiri mitandaoni yanalipa kwa PayPal kitu ambacho kinakwamisha vijana wengi wenye taaaluma zao wasiweze kujiajiri mitandaoni kwenye fursa kadha na kadha

Mtu tangu azaliwe hajawahi kutumia computer ila kwavile kafaulu form 6 anaamua kuchagua degree ya computer science, SERIOUSLY!! Waungwana computer science inahitaji exposure na kuizoea computer kwa muda mrefu hata kabla hujachukua kozi ya computer science, kuna vitu kibao sana ambavyo kama huvijui utaishia kukariri tu ili upate cheti bila kujali ufanisi wa kiutendaji practical unaoangaliwa sana kama kigezo cha kupata kazi.

Rip
 
Acha kujishebedua wewe. Wewe ulijiajiri? Unaposema vijana wa leo wana matatizo, tutajie ni lini au mwaka gani nchi hii ilitoa wahitimu wanaojiajiri?

Ficha aibu yako ushakuwa mtu mzima sasa.
Binafsi nimejiajiri. Suala la kujiajiri ama kuajiriwa ni la mtu binafsi, ila sii lazima uajiriwe baada ya kuhitimu masomo ya elimu ya juu. Zipo kada ambazo ni muhimu kuajiriwa kama vile kada ya ELIMU & AFYA.

Tatizo la wahitimu wa sasa wanaona ajira kama malipo ya wao kuwa wamefika elimu ya juu, ila narudia tena na kusisitiza kuwa SII LAZIMA UAJIRIWE BAADA YA KUHITIMU MASOMO YAKO YA NGAZI ZA JUU.

Kuhusu suala la madai kuwa taifa letu halitoi wahitimu wasio jiajiri ni mindset za kumkatisha tamaa & kumrudisha nyuma muhitimu mwenye nia ya kujiajiri. Ukweli ni kwamba darasani unapewa basics za kukujengea uwezo wa kukua na kupanuka ki_maarifa na kufikiri ili kuweza kukabiliana na changamoto zilizopo kwenye jamii
 
Poleni wakuu kwa kufiwa,

Mi sina tatizo la yeye kujiua, ila njia aliyochagua kujiua. Si angejinyonga tu?

Hapo kasabahisha biashara za watu kusimama, Mall ya watu kuchafuka damu, mikusanyiko isiyo yalazima nk.

Pamoja na yote,
Vijana tuache tamaa ya kutaka vitu vikubwa, tujifunze uvumilivu.

Kuna watu wana matatizo ajira cha mtoto,
Ngoja niiishie hapa

RIP
Kaka huwezi amini Mall ilivyokuwa na utulivyu utadhani hakuna tukio limetokea. Yan biashara zimeendelea kama kwaida, wengine hawakujua hata kma tukio limetokea umo ndani.
 
Daaaahh inasikitisha sana......unemployment sio tatzo dogo ndugu zangu
 
A computer science graduate from the University of Dar es Salaam. Hiki ndio chuo Magufuri alikuwa anasema ni chuo bora Tanzania siku ile.

By the way hata mimi ni graduate wa UDSM, hii course ni computer science ipi?
 
Kwenye kampeni zao walisema wataondoa kodi za kero sijui walikua na maana gani mtaani kugumu sana tuache ushabiki kwakila jambo
Kwani unadhani kila jambo linafanyika ndani ya siku moja? Au unadhani matatizo yote ya Tanzania yatamalizwa ndani ya miaka 5? Ingekuwa matatizo yote yanamalizwa ndani ya muda mfupi kiasi hicho basi chadema yenye umri wa zaidi ya miaka 20 ingekuwa na jengo zuri la ofisi ya makao makuu na vitega uchumi. Hata Roma haikujengwa siku moja.
 
A computer science graduate from the University of Dar es Salaam. Hiki ndio chuo Magufuri alikuwa anasema ni chuo bora Tanzania siku ile.

By the way hata mimi ni graduate wa UDSM, hii course ni computer science ipi?
Nimeshawaambia hiyo sera ya kupinga kila kitu lissu msaliti amewaingiza chaka, ni incoherent. Ona sasa unakidharau chuo chake mwenyewe kwa sababu ya graduate mmoja ambaye amekuwa na tatizo. Unakiponda eti Magu alikisifia ni chuo bora ili usionekane kuwa unakubaliana na Magu. Kama chuo siyo kizuri basi na wewe graduate wake basi ni ovyo tu. Ikane hiyo degree ukasome kwingine.
 
Nimeshawaambia hiyo sera ya kupinga kila kitu lissu msaliti amewaingiza chaka. Ona sasa unakidharau chuo chake mwenyewe kwa sababu ya graduate mmoja ambaye amekuwa na tatizo. Unakiponda eti Magu alikisifia ni chuo bora ili usionekane kuwa unakubaliana na Magu. Kama chuo siyo kizuri basi na wewe graduate wake basi ni ovyo tu. Ikane hiyo degree ukasome kwingine.

Na wewe acha tabia za kike, Magu sio mume wako mpaka ukimbie kumkingia kifua kwenye mambo yasiyohitajika kukingiwa kifua, mambo hayo hufanywa na wanawake kwa waume wao tu.

unaweza onyesha wapi nimeiponda UDSM ?

Wewe kama hauoni ni jambo la kushangaza kwamba muhitimu wa computer science anakosa ajira katika dhama hizi utakuwa unatatizo kubwa sana na lazima linaendana na kuwa subiri ulete.

Au unabisha Magu hakusema UDSM ndio chuo bora nchini?
 
Back
Top Bottom