Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Rest in peace bro... i feel ur pain.. aluta continyua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu ngoja kwanza nizame kwenye upekuzi
Watu wakija humu kuomba ushauri wanaambulia kebehi na mizaha tu, matokeo ndo haya.Watanzania wenzangu naombeni mnisaidie kazi yoyote halali - JamiiForums
Naomba kuwasilisha link (sina uhakika kama ndie huyu muhusika)
Inasikitisha sana mkuuWatu wakija humu kuomba ushauri wanaambulia kebehi na mizaha, matokeo ndo haya.
Ukitembea namwanaume bila condom ni sawa sawa na kujiua, nahisi umeshajiua mara nyingi tuuKwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.
ok acha vijana wajimalize kama wanaona dawa ya kukwepa kuishi bila ajira hapa duniani ndio hiyo ila kiukweli ikinitokea mimi tamaa ya kuyakatisha maisha yangu sitafanya kama alivyofanya huyo dogo bali nitamuondoa mt...............kama huko ...........Watu wakija humu kuomba ushauri wanaambulia kebehi na mizaha tu, matokeo ndo haya.
Kuna watu nadhani hawajawahi pigwa na maisha... Wao wanajua kula na kulala tu! Hawajawahi pata majukumu yanayozidi uwezo na huna kituu aisee... Acha mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi sikia mwanamke amejinyonga kisa maisha magumu...!! Wanaume ndo kila siku sababu sio mapenzi tuu.. Mwanamke ulie nae akuchanganye.. kazi zinazingua..madeni kila konaa.. Familia yako wewe ndo tegemeo aiseee... Kuumbwa mwanaume means kuwa mwanajeshi..Vitani kila mudaaHasa hasa huyu anaejiita demi, utakuta ni slay queen anaekula na kujamba kwa wazazi wake..akishatoa kunduchi kwa madanga yake mawili na kupewa hela ya kula bhaaas maisha kwake anayaona ni marahisi rikiboy
KwanzA Nani kakwambia kunywa pombe ni kujiharibu ??.Jaribu kuwa muelewa... tatizo sio bei ya pombe nimejiuliza tu kwa nini mtu uwe mlevi kisa huna kazi? Unawezaje kupata hata hiyo kazi wakati unajiharibu kwa ulevi? Kwa hiyo wewe unaona ilikuwa sawa anywe pombe sababu hana kazi na sababu pombe ni shilingi 500?
Uwongo.Inaanzia 500Kuna pombe za sh 100 zinaitwa wanzuki
Tatizo lako umejawa na Negativity kichwani Mwako. Fanya utafiti utakuja Gundua kuwa vijana wengi wa Kitanzania sio tu kwamba hawaajiriki bali hata kukopesheka hawakopesheki pia..Mtu ambae kama wewe ambaye hutaki kuamini kuwa ulevi ni tatizo ni tatizo pia.KwanzA Nani kakwambia kunywa pombe ni kujiharibu ??.
Mbona kuna watu wanakunywa pombe miaka nenda rudi na wako imara?? Acheni ujinga msijifiche kwenye sababu nyepesi.
Wapeni vijana ajira na wawezesheni wapewe mikopo kwenye taasisi za kifedha watimize ndoto zao, nchi nyingi zilizoendelea kwa kutojua hawawezi kuajiri kila mtu wanawasaidia vijana kwa model hiyo na sio Sababu uchwara kama zako
Ajira ajira ajiraAlly (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini hapa anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo la la Rocky City Mall na kufariki dunia.
Imeelezwa kuwa Musa alichukua uamuzi huo kutokana na kuwa na msongo wa mawazo, kukosa kazi.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Desemba 21, 2018 kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Advera Bulimba amesema tukio hilo limetokea leo saa saba mchana.
Bulimba amesema kijana huyo alionekana akiwa amelewa kupita kiasi na tangu Desemba 16, 2018 na alikamatwa na kuwekwa kituo cha polisi Kirumba, kilevi kilipopungua aliachiwa.
Amesema katika uchunguzi wa awali marehemu alibainisha kuwa alikuwa na msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa kazi licha ya kuwa na elimu ya juu.
Bulimba amesema baada ya polisi kumuachia alikwenda kunywa tena pombe na baadaye kujirusha kutoka ghorofa ya tatu na kukutwa na pombe kali na ugoro.
“Uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa kijana huyo amesema amejiingiza kwenye ulevi na asilaumiwe mtu yeyote.
Amesema amechukua uamuzi huo yeye binafsi, pia akidai yeye ni masikini hana baba wala mama,” amesema Bulimba.
Amesema mwili umehifadhiwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi licha ya kutotaja jina la hospitali hiyo.
Bulimba amesema, maandishi aliyokutwa nayo marehemu yalisomeka kwamba “yeye ana shahada sayansi ya kompyuta aliyoipata Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).”
Chanzo:Mwananchi.
Police wamesomba Picha zimekataa kuupload. Ila nimeattach kwenye comment no 6 na 7.
Usiombe yakukute makuu....... Ndio utajua dunia tambara bovu.....Ana matatizo ya akili asisingizie ajira
Toka shule zifungwe jf pamekuwa pa hovyoAu kapima akakutwa ana ngoma.