jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Wote wako na haki.
Muhubiri wa neno la Mungu, mkazi wa wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, aitwae Evod Medson, amedai kuwa amejikuta kwenye hali ya sintofahamu wakati akitoa mahubiri, baada mwanamke mmoja kumtaka akatishe mahubiri mara moja, kwa tuhuma kuwa mahubiri hayo yanaleta usumbufu kwenye biashara.
Katika tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea maeneo ya Kariakoo Jijini humo, Agasti 11, 2026, Evod amesema kuwa baada ya kutakiwa kusitisha mahubiri, aliondoka na kwenda sehemu nyingine, licha ya watu kadhaa kuonyesha utayari wakusikiliza mahubiri katika eneo hilo.
Aidha, Evod amesema kuwa hata kama angelikuwa kinyume na sheria za nchi kwenye eneo lile, waliopaswa kumuondosha ni viongozi wa eneo husika na sio kwa kufukuzwa kama ilivyotokea.
"...alikuwa anasema napigia wateja kelele, nikamwambia asubiri nimalizie kuhubiri, akafanya vurugu, nikaamua kuondoka" Evod.
Kadhalika, Evod amesema tukio hilo limempa sitofahamu zaidi ukilinganisha kuwa eneo lile ni stendi na kulikuwa na kelele nyingi za magari na purukushani nyingine, lakini mwanamke huyo akamnyooshea kidole yeye tu.
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/1BChj6dEtM/
Only if huyo Mtumishi anachokifanya ametumwa na Mungu na sio kutumwa na Mtu au kujituma mwenyewe, vinginevyo laana isiyo haki haimpati mtu.Namuonea huruma huyo mama,....pona yake aokoke vinginevyo kuna giza mbeleni
Hawa wahubiri kwa Kagame wanawekwa ndani.
Muhubiri wa neno la Mungu, mkazi wa wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, aitwae Evod Medson, amedai kuwa amejikuta kwenye hali ya sintofahamu wakati akitoa mahubiri, baada mwanamke mmoja kumtaka akatishe mahubiri mara moja, kwa tuhuma kuwa mahubiri hayo yanaleta usumbufu kwenye biashara.
Katika tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea maeneo ya Kariakoo Jijini humo, Agasti 11, 2026, Evod amesema kuwa baada ya kutakiwa kusitisha mahubiri, aliondoka na kwenda sehemu nyingine, licha ya watu kadhaa kuonyesha utayari wakusikiliza mahubiri katika eneo hilo.
Aidha, Evod amesema kuwa hata kama angelikuwa kinyume na sheria za nchi kwenye eneo lile, waliopaswa kumuondosha ni viongozi wa eneo husika na sio kwa kufukuzwa kama ilivyotokea.
"...alikuwa anasema napigia wateja kelele, nikamwambia asubiri nimalizie kuhubiri, akafanya vurugu, nikaamua kuondoka" Evod.
Kadhalika, Evod amesema tukio hilo limempa sitofahamu zaidi ukilinganisha kuwa eneo lile ni stendi na kulikuwa na kelele nyingi za magari na purukushani nyingine, lakini mwanamke huyo akamnyooshea kidole yeye tu.
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/1BChj6dEtM/
Aombe toba na rehema.Namuonea huruma huyo mama,....pona yake aokoke vinginevyo kuna giza mbeleni
Kazi gani ya uzalishaji unayofanya wewe?Taratibu tutaamka na kufanya kazi za uzalishaji.
Nimeipenta JF mpya.
Sawa ila neno la Mungu lazima lihubiriwe kwa hila au kwa wema,nakuhakikishia tendo alilolifanya huyo mama litamdai tu,yumkini huyo mtumishi asiwe na thawabu mbele za Mungu ila kwakuwa alipeleka neno la Mungu, somebody must be accountable for her actions.Only if huyo Mtumishi anachokifanya ametumwa na Mungu na sio kutumwa na Mtu au kujituma mwenyewe, vinginevyo laana isiyo haki haimpati mtu.
Ukitumwa na Mungu unapata kibali kisicho na makandokando,atakayeinuka kukupinga atakutana na upinzani kutoka kwa wale wanaobarikiwa na Injili unayowahubiria.
Mungu akikutuma anakupa Hekima ya kukusaidia kuepuka manung'uniko(malalamiko) halali. Ndio,kuna malalamiko halali kabisa,kwa mfano umeenda kuweka spika mahali ambapo kuna mjasiriamali huwa anapanga biashara yake au umeblock biashara ya mtu haionekani kwa wapita njia n.k.
Nimeshare uzoefu wangu wa kuhubiri Injili mitaani. Katika mitaa niliyotumwa na Mungu nikaihubiri Habari yake njema kote nilipata ushirikiano wa kutosha sana. Kwa kifupi wapo ambao hata sasa wananiuliza nitaenda tena lini wasijue kwamba kazi ya Mungu inaenda na majira . Majira husika yakipita yamepita!😀
Kosa la wahubiri wengi huwa wanajituma wao au wanatumwa na watu badala ya kusubiri waandaliwe na watumwe na Mungu mwenyewe,matokeo yake wanafanya jina la Mungu linatukanwa badala ya kutukuzwa!
Kuna tofauti kati ya kuifanya kazi ya Mungu na kufanya kazi na Mungu!
Muhubiri wa neno la Mungu, mkazi wa wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, aitwae Evod Medson, amedai kuwa amejikuta kwenye hali ya sintofahamu wakati akitoa mahubiri, baada mwanamke mmoja kumtaka akatishe mahubiri mara moja, kwa tuhuma kuwa mahubiri hayo yanaleta usumbufu kwenye biashara.
Katika tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea maeneo ya Kariakoo Jijini humo, Agasti 11, 2026, Evod amesema kuwa baada ya kutakiwa kusitisha mahubiri, aliondoka na kwenda sehemu nyingine, licha ya watu kadhaa kuonyesha utayari wakusikiliza mahubiri katika eneo hilo.
Aidha, Evod amesema kuwa hata kama angelikuwa kinyume na sheria za nchi kwenye eneo lile, waliopaswa kumuondosha ni viongozi wa eneo husika na sio kwa kufukuzwa kama ilivyotokea.
"...alikuwa anasema napigia wateja kelele, nikamwambia asubiri nimalizie kuhubiri, akafanya vurugu, nikaamua kuondoka" Evod.
Kadhalika, Evod amesema tukio hilo limempa sitofahamu zaidi ukilinganisha kuwa eneo lile ni stendi na kulikuwa na kelele nyingi za magari na purukushani nyingine, lakini mwanamke huyo akamnyooshea kidole yeye tu.
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/1BChj6dEtM/
uyo jamaa uwa anawachora sana wanaomzingua ashakutana sana na ivyo visa ,kuna siku alizinguliwa na polisi alitaka kuhubiri karibu na kituo cha polisiSema huyo muhubiri ni mtu mstaarabu sana,
The way alivyoihandle hiyo situation,he was very calm,
Big up sana kwake.
Muhubiri wa neno la Mungu, mkazi wa wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, aitwae Evod Medson, amedai kuwa amejikuta kwenye hali ya sintofahamu wakati akitoa mahubiri, baada mwanamke mmoja kumtaka akatishe mahubiri mara moja, kwa tuhuma kuwa mahubiri hayo yanaleta usumbufu kwenye biashara.
Katika tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea maeneo ya Kariakoo Jijini humo, Agasti 11, 2026, Evod amesema kuwa baada ya kutakiwa kusitisha mahubiri, aliondoka na kwenda sehemu nyingine, licha ya watu kadhaa kuonyesha utayari wakusikiliza mahubiri katika eneo hilo.
Aidha, Evod amesema kuwa hata kama angelikuwa kinyume na sheria za nchi kwenye eneo lile, waliopaswa kumuondosha ni viongozi wa eneo husika na sio kwa kufukuzwa kama ilivyotokea.
"...alikuwa anasema napigia wateja kelele, nikamwambia asubiri nimalizie kuhubiri, akafanya vurugu, nikaamua kuondoka" Evod.
Kadhalika, Evod amesema tukio hilo limempa sitofahamu zaidi ukilinganisha kuwa eneo lile ni stendi na kulikuwa na kelele nyingi za magari na purukushani nyingine, lakini mwanamke huyo akamnyooshea kidole yeye tu.
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/1BChj6dEtM/
Jina devi i.a mambo ya Juma... mahubiri yanawakera wale wasiopenda wokovu.Safi sana hii ni noise pollution ukitaka kuhubiri subiri jumapili nenda kanisani ukapige kelele..wadili na wale wengine ikifika ijumaa wanafunga barabara kuleta usumbufu kwa watumiaji barabara
Ndugu,jifunze kuhusu HUKUMU YA MUNGUSawa ila neno la Mungu lazima lihubiriwe kwa hila au kwa wema,nakuhakikishia tendo alilolifanya huyo mama litamdai tu,yumkini huyo mtumishi asiwe na thawabu mbele za Mungu ila kwakuwa alipeleka neno la Mungu, somebody must be accountable for her actions.