Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Pole sana mdau,

1. It seems that you loves your chick madly (naweza muita chick sababu ya tabia ulizo ziweka wazi no need of apology for this reason )

2. Yes, unamthamini sana ila mdau wa Jf anakuzidi kete na umesema wewe ni serious man all the time (angalia udhaifu wako - wanawake wengi huchoshwa mapema na wanaume sampuli hii ji adjust kidogo)

3. Might be dame wako kapunguza au hana tena upendo na wewe (scenario mbaya sana yaani yupo radhi ku scroll down threads za mdau na kucheka kwa sauti Mpaka una notice furaha yake- she's desperate for something)

4. Kumhudumia mwanamke/mwanaume sio criteria ya ku win love hususan kwa vijana waleo. Unaweza ingia gharama Afu ukashindwa kumpa kitu kidogo tu basi ukapoteza juhudi zako

5. Dame wako yupo desperate ongea nae ujue nini anataka (like alikuambia tujaribu hii kama mdau wa jf basi ujue kuna vitu vingi humpi au haujajaribu kumfanyia might be wild stuff Na ukahofia labda atakuona mhuni au hutaki ku spoil upendo wako ila tambua mwenzako kajitahidi kujiweka wazi)

6. Unaweza mlaumu mdau jf au dame wako pia inawezekana chanzo/ Tatizo ukawa ni wewe mwenyewe

7. Unapo hudumia sehemu kumbuka unafanya investment so iangalie Vizuri hio investment unayoifanya

8. Hii tabia ya kujifanya romantic sana na kushobokea madame za watu ipo sana wadau tuwe makini

9. Hii tabia ya sapiosexual madame wengi muache mnadhalilisha wanaume zenu

10. Pole sana mdau, kuwa makini na huo uliouita uchumba ila kuna jipu kubwa hapo na wewe mdau Mungu anakuona!

Huyo dame wako ajitathmini pia kama anaweza kuishi kwa threads tamu.
 
Na mchumba wako lakini umemchimbia biti!? Maana unaweza ukagombana na mwanaume mwenzako kumbe mchumba wako ndio anawashwa washwa kumchokoza muhuni
 
Hayatuhusu. This is your private business. Usitupotezee muda wetu hapa. Tumechoka sasa.
 
Chamsingi we dili tu na mchumba ako maana utadili na wanaume wangapi? Huwezi jua utamfanyia huyo atakuja mwingine sijui utamfanyia tena. Focus na maisha yako kama umeona hiyo haendani na wewe tulia na maisha yako atakuja anayekupenda. Angekua mke umeoa hapo ningekupa ushauri mwingine. Utapoteza tu mda kudeal na wanaume. Mwisho unaweza pata madhara ya kujitakia. Some women are killers and most working with satans to kill the man kind. So watch out.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi kuridhiana mazee, mlaumu uyo girlfriend wako huenda akawa hatambui thaman yako so usijitese Kama hajaridhia kuwa na ww huwezi kufanya chochote
 
Muongo mleta thread mara nimemjua mchumba wangu kwa miez mitano hapohapo nilimlipia ada kipindi yupo chuo na kamaliza chuo miaka miwili iliyopita! Arrgggg which is which
Then atamfanya kama alivyomfanya sijui Nani 2015..INA mana yy ndio mwenye tatizo kma taarfa INA ukwel ..ila naona INA UKAKASI SANA
 
Ushauri wangu huyo jamaa muhuni aache kabisa mchezo huo wa kuvuruga ndoa za watu wengine. Mchezo wa kujifanya ni kijoo cha mtaa sio jambo zuri na zaidi ni kwamba mbona kuna akina dada wengine wengi tuu ambao wako free, kwanini asi deal na hao?

Ndugu yangu Chizi Maarifa kwanza pole sana na nakuomba u diclose identity ya huyo muhuni ili tumtafute na tumpe ushauri ili aache huo mchezo wake wa hatari.

Sent from my SHV-E310L using JamiiForums mobile app
 
Huyo mchumba wako anatumia namba gani tumrushie walau hela ya kujikimu? Inaonekana ni mtamu sana!
 
Wewe huyo huyo unasema umekua na huyo mchumba wako kwa miez mitano na ww huyo huyo unasema umemsomesha kwa miaka miwili mfyuuuu pambana na huba lako
 
Amuache ili uwe unajinasi eeh? Ndo shida ya kusomesha malaya
 
Kumbe ni GuDume! Jiandae kwa busha kilo 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…