mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Unataka watu wakojoe dagaa?hahahaha pole mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii theory wanaume wengi hawaielewagi.Mjomba mchumba huwaga hasomeshwi bhana utakuja kujinyonga bure man....
Sent from my SM-J106H using JamiiForums mobile app
Hayatuhusu. This is your private business. Usitupotezee muda wetu hapa. Tumechoka sasa.Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. Hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nilimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.
Mimi nina mchumba ambaye kwa sasa ni mwezi wa 5 nipo naye. Kazi zangu ni za safari safari sana, so kila wakati nakuwa safarini ili niandae mazingira mazuri ya maisha yetu ya ndo hasa ukichukulia ye mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa 2 sasa hana kazi. Yeye ana muda mwingi sana so anakuwa home na sometime mishe mishe zake ila ni muda sasa naona amezoeana na member mmoja humu ndani ambaye amekuwa mara nyingi akiuza sana chai na habari zake za ajabu ajabu. Ni mhuni na baradhuli tu huyo member wala si mtu wa staha hata kidogo mimi ni mtu mstaraabu sana na mpole.
Nilianza kuona kila mara huyo member akianzisha thread huyu mchumba wangu analike na anachangia sana na huwa akisoma anasoma anacheka mpaka machozi yanamtoka muda wote akiwa nami anajisahau anaaanza kusoma threads za huyo jamaa baadaye nikamwambia mi sipendi anavyokuwa occupied sana na huyo jamaa mpaka anajisahau anasema "ila wanaume wengine bwana yaani ukikaa na huyu kaka itakuwa mtu hata stress huana unacheka tu" hilo liliniudhi maana asili yangu mimi ni mtu ambaye nipo serious na sina sana stories hasa za kipuuzi puuzi kama za huyo member humu ndani za ngono na jinsi wanavyotendana na wanawake.
Siku moja kweli ananiambia hebu siku moja nasi tujaribu hii style ya .... nikashangaa katamka jina nikamwambia kwa upole kuwa kwa nini anakuwa obsessed na huyo jamaa mhuni na malaya?" akaniambia "aaah.. Nawe baby una mind vitu vidogo tu mtu mwenyewe hata simjui" juzi juzi hapa akawa ananambia unajua good girls wanapenda sana bad boys..sikutilia maanani lakini nlianza kuona mashaka pale nilipoona anasema anataka aonane na huyo mtuniliingia kwenye inbox texts zake jamiiforums nikakuta anawasiliana naye sana wanacheka wanataniana na sometime wanachat maneno mpaka huyu mchumba anasema ameloana hili lilinikwaza hasa anaposema "wee..naomba nikuone live maana una vituko sana"
Nimeamua kuwa hili suala niliweke wazi huyu dada mimi nlishamhudumia sana chuo mpaka amemaliza ni mimi nlikuwa natoa ada kumwonesha tu kuwa nipo serious pesa za kutoka kwa wazazi wake alikuwa anatumia kufanyia mambo yake na nilimruhusu nikamwambia basi aangalie kama anaweza zifanyia kazi flan ya kuzalisha, she didnt do anything progressive with the money.
Leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect najua kwa nini nasema hivi na simtishii...yeye si mwanaume?ajaribu tu kumgusa huyu mchumba wangu kimapenzi atanifahamu kuna post iliwekwa humu kama sikosei mwaka jana..Kuna mtu alifanywa kitu kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.
Nimetoa tu hili kama angalizo.
Then atamfanya kama alivyomfanya sijui Nani 2015..INA mana yy ndio mwenye tatizo kma taarfa INA ukwel ..ila naona INA UKAKASI SANAMuongo mleta thread mara nimemjua mchumba wangu kwa miez mitano hapohapo nilimlipia ada kipindi yupo chuo na kamaliza chuo miaka miwili iliyopita! Arrgggg which is which
Huyo mchumba wako anatumia namba gani tumrushie walau hela ya kujikimu? Inaonekana ni mtamu sana!Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. Hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nilimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.
Mimi nina mchumba ambaye kwa sasa ni mwezi wa 5 nipo naye. Kazi zangu ni za safari safari sana, so kila wakati nakuwa safarini ili niandae mazingira mazuri ya maisha yetu ya ndo hasa ukichukulia ye mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa 2 sasa hana kazi. Yeye ana muda mwingi sana so anakuwa home na sometime mishe mishe zake ila ni muda sasa naona amezoeana na member mmoja humu ndani ambaye amekuwa mara nyingi akiuza sana chai na habari zake za ajabu ajabu. Ni mhuni na baradhuli tu huyo member wala si mtu wa staha hata kidogo mimi ni mtu mstaraabu sana na mpole.
Nilianza kuona kila mara huyo member akianzisha thread huyu mchumba wangu analike na anachangia sana na huwa akisoma anasoma anacheka mpaka machozi yanamtoka muda wote akiwa nami anajisahau anaaanza kusoma threads za huyo jamaa baadaye nikamwambia mi sipendi anavyokuwa occupied sana na huyo jamaa mpaka anajisahau anasema "ila wanaume wengine bwana yaani ukikaa na huyu kaka itakuwa mtu hata stress huana unacheka tu" hilo liliniudhi maana asili yangu mimi ni mtu ambaye nipo serious na sina sana stories hasa za kipuuzi puuzi kama za huyo member humu ndani za ngono na jinsi wanavyotendana na wanawake.
Siku moja kweli ananiambia hebu siku moja nasi tujaribu hii style ya .... nikashangaa katamka jina nikamwambia kwa upole kuwa kwa nini anakuwa obsessed na huyo jamaa mhuni na malaya?" akaniambia "aaah.. Nawe baby una mind vitu vidogo tu mtu mwenyewe hata simjui" juzi juzi hapa akawa ananambia unajua good girls wanapenda sana bad boys..sikutilia maanani lakini nlianza kuona mashaka pale nilipoona anasema anataka aonane na huyo mtuniliingia kwenye inbox texts zake jamiiforums nikakuta anawasiliana naye sana wanacheka wanataniana na sometime wanachat maneno mpaka huyu mchumba anasema ameloana hili lilinikwaza hasa anaposema "wee..naomba nikuone live maana una vituko sana"
Nimeamua kuwa hili suala niliweke wazi huyu dada mimi nlishamhudumia sana chuo mpaka amemaliza ni mimi nlikuwa natoa ada kumwonesha tu kuwa nipo serious pesa za kutoka kwa wazazi wake alikuwa anatumia kufanyia mambo yake na nilimruhusu nikamwambia basi aangalie kama anaweza zifanyia kazi flan ya kuzalisha, she didnt do anything progressive with the money.
Leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect najua kwa nini nasema hivi na simtishii...yeye si mwanaume?ajaribu tu kumgusa huyu mchumba wangu kimapenzi atanifahamu kuna post iliwekwa humu kama sikosei mwaka jana..Kuna mtu alifanywa kitu kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.
Nimetoa tu hili kama angalizo.
Amuache ili uwe unajinasi eeh? Ndo shida ya kusomesha malayasema wewe maana nikisema mimi itaonekana..... sisi wengine bwana .... anyway.. mi namshauri tu amwache huyo mwanamke ili aende kwa ambaye anaweza mlowesha hata kwa maneno. amwache tu salama na hana sababu ya kufikiria kumfanyia huyo jamaa jambo baya... kwa nini amfanyie hivyo? amwache tu ili huyo dada awe analiwa kwa amani kabisa na huyo mshkaji asiyejulikana hapa.
Kumbe ni GuDume! Jiandae kwa busha kilo 50angalia sana. tena nakwambia angalia sana. we unadhani ni mwanaume sana kuliko wengine. si ndiyo? nakwambia jiangalie watu kunyamaza usituone kama mafala. jiangalie maana utakuja kujilaumu sana hapo baadaye.... we si mbabe? unajua sana mapenzi? unajua kuchat na wanawake? haina shida bro. mi sijui matusi..ila endelea tu . endelea sana tu.