Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Ila huyo jamaa ana bahati sana, hadi anapga na story na dem wamtu hadi analoa,, wakati mimi PM hata sijibiwi.. .duuuh!!
 
Wachumba hawasomeshwi japo ujumbevumemfikiavmhusika nawewe pokea ujumbe huo
 
GUDUME pigAAA KAAZI....kesi ntaamuaa mimiii.....niceguy vs badboyz....teh teh teh....naacheeeka kwa dharauuuu
 
Mwny tatizo ni huyo mchumba....WalA sio mchukua demu.....kwani hakuna wachumba wengine......Au mpaka cku akikundikumana ndio utajua hafai.....
 
Elekeza nguvu kwenye tz ya viwonder, mapenz yameshakushinda.
Huu mchezo hautaki hasira
 
Mkuu umelipa ada ya chuo kwa miezi mitano yote tangu muwe marafiki na uchumba halafu mtu anataka kula?

Ila mimi nadhani wewe ndo mwenda wazimu kama siyo chizi maarifa
 
Mwny tatizo ni huyo mchumba....WalA sio mchukua demu.....kwani hakuna wachumba wengine......Au mpaka cku akikundikumana ndio utajua hafai.....
Yuko na bint kwa miezi mitano sasa,amemaliza chuo miaka miwili iliyopita,amemgharamia elimu yake ya chuo. Mmh hii kahawa ya pale tandamti
 
Yuko na bint kwa miezi mitano sasa,amemaliza chuo miaka miwili iliyopita,amemgharamia elimu yake ya chuo. Mmh hii kahawa ya pale tandamti
Ndio shida ya kuingilia majukumu ya baba mkwe..mchumba hasomeshwi.....
 
Mkuu, kupiga biti haisaidii..wewe piga chini...fanya kama ulijenga nyumba hifadhi ya barabara na Magu akasema, ibomolewe.

Sent from my SM-J710GN using JamiiForums mobile app
 
Mchumba!!!!!! .wengine wake zetu wamo humu na wanalike tu thread Kwa kwenda mbele na Wanawapm kabisa majamaa.umeambiwa Humu ID ni fake. Hata mchumba wako akiliwa ameliwa Feki sio kiuhalisia. Acha wivu, Kwanza wanawake WA kizazi hiki huhitaji kuwa na wivu nao ni watandaawazi.
 
Nimepend tabia Ya Mke wako ningepnd kumfaham samahn lakin ni ombi na mim niwe kweny list yako yakutafutw maan police wamekua wazemb xaiv

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
 
Uchumba tu unapigiwa, ukiweka ndani je !?
 
Yaani kama kuna mwanamke anaamini story za humu ni mjinga kweli!!!
Upoteze mtu wako wa future sababu ya hadithi za kusadikika???? Ongea na huyo mchumba wako tu hamna namna ingine, zaidi wazidi jichoresha tu
Mi inafika kipindi nikipna story za majaa fulani wawili huwa sisomi. Ujinga mwingi usio na mfano. Hana akili huyo dada,kama aliweza kutumbua ela alizoambiwa afanyie kitu cha maana ndio atamuona bwana ake wa maana??? Hajielewi yaani we dada unaelalamikowa hpa an mwanaume wako ni hujielewi na huna akili nzuri
 
Daah tabia zake kama za kuku wa kienyeji,hata ukimtupia mchele lazima afukue chini.teh teh teh
 
Sikujua ka kuna wanawake wajinga hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…