Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Duuuhhh pole MKUUU sanaa!!!.. Sema nn ,, achana naye !!!.

Humu hamna muoaji sana sana kakutana na mtumiaji , siunajua bado anataman naye alale namwanamme alokutana naye mtandaoni ???.

Sasa kwakua keshakuonyesha rangi yake halisi ,ACHANA NAYE ,FANYA MAISHA ...WASCHANA NIWENGI SANA ,KUNA WAPEMBA ,,KUNA WARANGI , KUNA WAIRAQ+WAARUSHA ,, KUNA HAWA WADODOMA WEUPE !!!.... SASA UNALALAMIKIA *DEMU MPUMBAVU* ASOJIELEWA ?????? .



aahhh bana BE A GENTLEMAN BANA ,,,MIMI NAAMIN WEWE NIBORA SANA ,,USIKATE TAMAA HUKO NJE KUNA MWANAMKE KILA SIKU ANAPIGA MAGOTI AKIOMBA WALAU SIKU MOJA UMSALIMIE TUUUU...SEMBUSE KADEMU KAJINGA JINGA AKO NDO KAKUSUMBUA ?????? YAAAN KADEM USIKUTE KANAWANAMME KIBAOOOOO ,KABAYAAAAA ,,,, IRREGULAR SHAPE ,, NDO KANAKUUMIZA ???? ALAFU NAHISI NIKABAYA MAANA HUMU JF HUMU ??? [emoji57] [emoji23]


KWELI WANAUME TUNATOFAUTIANA ...
 
Nilifikiri mke kumbe mchumba,tafuta mchumba mwingine.
 
Nimeelewa neno moja tu "ONYO".angalizo:-siku nyngne kataza badala ya kutoa onyo,maana unaemuonya yumo humu.si umkataze tu.ndo tatizo la kuwa na kibamia ama koroboi yenye mafuta kidogo,wakat jiran ana umeme.unaishi kama bima ya gari,maana haibanduki kwa kioo lakin inasaidia kwa matatizo hayo hayo ya gari.kizur unakula na mwenzio maana hujawaumba wewe hawa waja.mie nakukataza acha kutuonya wakat wewe mwenyewe haujajionya.Mugabe mkubwa weee
 
Aya ya pili mstari wa kwanza mkuu.. Pia aya ya tano yote. Mbona hizi Aya zinakinzana?? Kwa ushauri tu utakufa kwa jaka moyo,tafuta maisha mengine.
 
Dah, mwanaume mwenzangu naumia kitu kimoja tu ambacho umesahau VP? Kuhusu adamu na hawa VP kuhusu Samson na Delila sasa nakupa pole kwa kuunguza pesa hawa wanawake hawaeleweki atakuja kukuuza kwa being rahisi ukiwa usingizi kama Samson tena kwa jamaa Huyo huyo unae mlalamikia cha msingi mjaze mimba mapema usepe umwachie mtoto anakuja kulea na pesa zako ulizomsomesha we tafuta mwingine Hugo tayari ameshakua hopeless

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Halafu wewe mchizi maarifa mbona unaanza kuifokea dunia kisa mwanamke kitchetche?
Haujataja hata hiyo profile ya mme mwenziyo, ama huyo mwanamke ili tujaji.
Sa'sisi hiyo beef yenu unavyotuhusisha nayo inatuhusu nini?
Kiuhalisia wewe ni mtu dhaifu sana. Halafu unaonekana huyo mwanamke ulimfosi kukupenda kwa hila ya kuingilia majukumu ya wazazi wake ya kumsomesha! Hakuna penzi hapo, ni jeuri ya pesa.
Nani alikwambia mchumba anasomeshwa? Jukumu lako wewe ni kuoa na kutunza. Sasa hadi leo haujamuoa unangoja nini?
Nani alikwambia mchumba anachungwa? Yupo huru kubadilisha uamzi na kuweza kuolewa na mwanaume yeyote iwapo utaonekana unamzebeza na kisheria hauna mamlaka yoyote juu take.
Nikikwambia haufai kuoa huyo mwanamke, utasema ninakuvunjia adabu? Vijana wa siku hizi mbona mnaingiza uzungu sana kwenye mahusiano ya kiunyumba?
Huyo mwanamke umeanza naye vibaya na mwisho wenu utakuwa nu mbaya pia.


Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Njemba ya JF imeshavunja harusi ya Maharusi watarajiwa! Chezeya JF! Ungeimalizana na mke mtarajiwa badala ya kuja humu kuanika haya.

 
Tuko wawili my dear!!!
Kuna uzi kule nimekuita. Njoo tu connect dots my dear
Nishawawaza wahusika wanaolalamikiwa,tena anae lowa kwa sms za jf kajianika kule njoo haraka[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna uzi kule nimekuita. Njoo tu connect dots my dear
Nishawawaza wahusika wanaolalamikiwa,tena anae lowa kwa sms za jf kajianika kule njoo haraka[emoji125][emoji125][emoji125]
KUMBE we nae mbea ivi mweeeeee....monicca fala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…