cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Yani upo nae yapata miezi mitano sasa, afu unadai umemsomesha chuo, chuo kipi au short course za computer, au wakati unamsomesha alikuwa dada ako sio mchumba. Najaribu kutafakar tu hapa si kwa ubaya, inaweza ikawa ukweli usemacho lakini presentation yako ni nonsense na haina mantiki.
Wanawake acheni usenge mjue tukiwapa hela wakati mwingine twalala njaa ili uridhike then mnatuyumbisha kiakili hadi tunakuja JF kuanzisha thread. Acheni ujinga
Fafanua kuhusu hicho kicheko!
Atakuwa gudume nini? [emoji124][emoji124][emoji124]
Hii ya leo kali
Wewe upo nae kimwili unashindwa kumpa raha unakuja kumtishia anayempa maneno matamu JF eeeeeeh
Ukiachwa usimlaumu mtu maana hata mchumba atakuona wewe bomu kweli kweli sasa hivi
Hv Dada kwel inawezekana wanaume wote tukawa na maneno matamu katika level moja? Si kuna kuzidiana ? Nyie wanawake mnatutesaga sana mjueHii ya leo kali
Wewe upo nae kimwili unashindwa kumpa raha unakuja kumtishia anayempa maneno matamu JF eeeeeeh
Ukiachwa usimlaumu mtu maana hata mchumba atakuona wewe bomu kweli kweli sasa hivi
sema wewe maana nikisema mimi itaonekana..... sisi wengine bwana .... anyway.. mi namshauri tu amwache huyo mwanamke ili aende kwa ambaye anaweza mlowesha hata kwa maneno. amwache tu salama na hana sababu ya kufikiria kumfanyia huyo jamaa jambo baya... kwa nini amfanyie hivyo? amwache tu ili huyo dada awe analiwa kwa amani kabisa na huyo mshkaji asiyejulikana hapa.
angalia sana. tena nakwambia angalia sana. we unadhani ni mwanaume sana kuliko wengine. si ndiyo? nakwambia jiangalie watu kunyamaza usituone kama mafala. jiangalie maana utakuja kujilaumu sana hapo baadaye.... we si mbabe? unajua sana mapenzi? unajua kuchat na wanawake? haina shida bro. mi sijui matusi..ila endelea tu . endelea sana tu.
nilishamema mwanzoni ni GuDume tuu huyu, masta umeona sasa povu la mwenye mchumba wake?angalia sana. tena nakwambia angalia sana. we unadhani ni mwanaume sana kuliko wengine. si ndiyo? nakwambia jiangalie watu kunyamaza usituone kama mafala. jiangalie maana utakuja kujilaumu sana hapo baadaye.... we si mbabe? unajua sana mapenzi? unajua kuchat na wanawake? haina shida bro. mi sijui matusi..ila endelea tu . endelea sana tu.
Jamaa kasema mchumba wake aliomba ile staili ya kuvunjwa miguu.nmegundua nyie watu mnaniombea mabaya sana..hamwoni kwua sasa ndo mnampa uthibitisho kabisa????????????????????????? nmewakosea nini mimi jamani mpaka mnaniombea mabaya hivi.......................