Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

uchumba rasmi mpaka kukamilisha taratibu zote ni miezi mitano kinyume na hapo alikuwa ananifahamu mama yake na ndugu zake kaka na dada zake. sina sababu ya kudanganya au kukosea ku present hili suala.kuna watu wana uchumba kauli hata miaka 7 na baadaye wanatimiza taratibu nyingine.
Yani upo nae yapata miezi mitano sasa, afu unadai umemsomesha chuo, chuo kipi au short course za computer, au wakati unamsomesha alikuwa dada ako sio mchumba. Najaribu kutafakar tu hapa si kwa ubaya, inaweza ikawa ukweli usemacho lakini presentation yako ni nonsense na haina mantiki.

Wanawake acheni usenge mjue tukiwapa hela wakati mwingine twalala njaa ili uridhike then mnatuyumbisha kiakili hadi tunakuja JF kuanzisha thread. Acheni ujinga
 
sema wewe maana nikisema mimi itaonekana..... sisi wengine bwana .... anyway.. mi namshauri tu amwache huyo mwanamke ili aende kwa ambaye anaweza mlowesha hata kwa maneno. amwache tu salama na hana sababu ya kufikiria kumfanyia huyo jamaa jambo baya... kwa nini amfanyie hivyo? amwache tu ili huyo dada awe analiwa kwa amani kabisa na huyo mshkaji asiyejulikana hapa.

Hii ya leo kali

Wewe upo nae kimwili unashindwa kumpa raha unakuja kumtishia anayempa maneno matamu JF eeeeeeh

Ukiachwa usimlaumu mtu maana hata mchumba atakuona wewe bomu kweli kweli sasa hivi
 
Hv Dada kwel inawezekana wanaume wote tukawa na maneno matamu katika level moja? Si kuna kuzidiana ? Nyie wanawake mnatutesaga sana mjue
 
angalia sana. tena nakwambia angalia sana. we unadhani ni mwanaume sana kuliko wengine. si ndiyo? nakwambia jiangalie watu kunyamaza usituone kama mafala. jiangalie maana utakuja kujilaumu sana hapo baadaye.... we si mbabe? unajua sana mapenzi? unajua kuchat na wanawake? haina shida bro. mi sijui matusi..ila endelea tu . endelea sana tu.
sema wewe maana nikisema mimi itaonekana..... sisi wengine bwana .... anyway.. mi namshauri tu amwache huyo mwanamke ili aende kwa ambaye anaweza mlowesha hata kwa maneno. amwache tu salama na hana sababu ya kufikiria kumfanyia huyo jamaa jambo baya... kwa nini amfanyie hivyo? amwache tu ili huyo dada awe analiwa kwa amani kabisa na huyo mshkaji asiyejulikana hapa.
 
mkuu... wimbo mbaya haimbiwi kutishiwa mtu mzima... mi nmeshavuka sana MAJI YA SHINGO BILA PUMBU KULOA zaidi ya mara 100. nadhani utakuwa umenielewa.

angalia sana. tena nakwambia angalia sana. we unadhani ni mwanaume sana kuliko wengine. si ndiyo? nakwambia jiangalie watu kunyamaza usituone kama mafala. jiangalie maana utakuja kujilaumu sana hapo baadaye.... we si mbabe? unajua sana mapenzi? unajua kuchat na wanawake? haina shida bro. mi sijui matusi..ila endelea tu . endelea sana tu.
 
[emoji15] [emoji23] [emoji23] Mkuu [emoji23] daah sio siri umeumia sana, ila mmhh sio poa anavyofanya aisee.
ANGALIZO
Vijana wenzangu tuachane na swala la kukimbizia wake za watu bhaana, mambo ya kuwekana roho juu( kama Ndugu yangu hapa) sio mpango kabisa.
 
angalia sana. tena nakwambia angalia sana. we unadhani ni mwanaume sana kuliko wengine. si ndiyo? nakwambia jiangalie watu kunyamaza usituone kama mafala. jiangalie maana utakuja kujilaumu sana hapo baadaye.... we si mbabe? unajua sana mapenzi? unajua kuchat na wanawake? haina shida bro. mi sijui matusi..ila endelea tu . endelea sana tu.
nilishamema mwanzoni ni GuDume tuu huyu, masta umeona sasa povu la mwenye mchumba wake?
 
Ili kuepusha hayo yooote mkuu mnunulia sim ya tochi huyo mchumba wako halafu safar zote safir nae uone kma ataku chit tena
 
ukimfatilia sana huyo mwenza wako,huta jiumiza sana,je uko chuo unajua alikuwa na nani na wewe safari zako ukienda unajua hupo na nani.kosea maisha sio kuoa.
kuwa huru angalia mbele kama umewekeza kama pesa za desi hapo.changa mbuga kaka.kuepusha ya mbele uko usoni
 
Back
Top Bottom