Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mwende direct sisi hatumjui na hatuna msaada.
 
Duh kumbe mtu mwenyewe ni GuDume

Mkulu raha ya mwanamke ni kumpa raha so kama anakupenda muache apate raha Kwa gudume Au mpe hizo style anazotaka maisha yaendelee
 

Kama mke analiwa itakuwa huyo kinuka mkojo?...sikiliza wewe huyo demu hata uchumba hakuna...na unajua gharama nyingine nani anagharimia? Huwezi kumtisha mtu,,mademu wengi hawapendi watu walio formal wanapenda bad boys...ndiyo maana huyo hata ukimuoa atagongwa sana nje na ma bad boys....pole sana kwa kuchelewa kuliona hili....na mimi lazima nikugongee huyo demu wako...unaleta Mkwara? umeshaambiwa siku zote ukimlipia masomo demu lazima itakula kwako...siku zote ndivyo ilivyo.....huyo huwezi kumuoa hata kidogo...
 
nmegundua nyie watu mnaniombea mabaya sana..hamwoni kwua sasa ndo mnampa uthibitisho kabisa????????????????????????? nmewakosea nini mimi jamani mpaka mnaniombea mabaya hivi.......................
hahaha [emoji23][emoji28] wanaona ww ndo mwenye story nyingi za ulozi.
 
Ni mke wako? Ama mchumba wako? Kama ni mchumba unajulikana kwao?? Kama sio basi huna Uhuru to that extent cha msingi kaa naye huyo bibiye akuelewe kuwa hupendi vinginevyo utakuwa unatka kujijengea uhalali kisa tu ulilipa ada!
 
Ila hata mimi napenda sana Mwanamke mwenye Nyege nyingi maana unamla kupita maelezo sio kama wale Nyege za mbali unabembeleza hadi mboo inasinyaa kama uchumi wa Tanzania...

kidume lengwa kishajulikana na huyo mdada vipi tumjue me pia nishamhusudu...

mdada mlengwa naomba uje pm
 
Umeongea vema kiongozi kama ana masikio atakusikia
 
tukisema tupige kura nina uhakika huyo jamaa atakuwa ni GuDume maana huyu jamaa kwa sounds za mitaa namkubali sana. ila kama anafanya hivyo aache tu amwachie jamaa mchumba wake katoka naye mbali. bro gudume nakuomba mwache tu tu huyo dada... kwa asilimia 98 nahisi ni wewe na kama si wewe atakuwa general galadudu au genty.... maana nyie ndo watu wa stories za mikasi sana. hasa ukianza simulia stories zako za kuwachanja dada zetu.... kuna wanawake kweli wanapenda wanaume wahuni kama wewe... wapo. nami nafaham hilo.ila kama jamaa anakuomba usimnanii mwanamke wake mwachie tu bro. we unaweza pata mwingine. au wengine.
 
Tumeacha baba
 
Mkuu ila mwenye tatizo ni huyo mchumba ako ebu kaa nae chini umwambie usivyopendezwa na tabia yake halaf gharama gani unataka urudishiwe kila siku wanaume humu mnaambiana mchumba hasomeshwi yaan gharama zako jihesabie umetoa sadaka pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…