Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Masela hawana roho mbaya,watamsindikiza tu katika safari yake ya mwisho. Kikubwa katika hizo 50,000/= atumie vizuri maana masela hawaachi kuuliza alizifanyia nn[emoji1] [emoji1] [emoji1]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hongera sana mkuu. Ila, pole kwani tutakumiss siku si nyingi. Usimalize hiyo 50 mkuu. Uweke na za ubani. Mbona akili za kisukuma ni butu hivi?? Weupe wa ngozi haubadili nyama. Nyama nyingine ngumu mno hailiki
Ha ha ha ha ha ha akili za kisukuma ni butu?

Ha ha ha ha ha ha kwahiyo ule utafiti wa 60% ni vichaa ni kweli?
 
Huu muda wa wanafunz kurud nyumban saa 14:30 imekua ni changamoto sana.
 
Chukua hiyo elfu hamsini uliyopewa ukanunue kitanda hata cha kamba usilale chini tena!
 
Kweli usimupeleke ghetto. Halafu kukuzidi umuri sio mbaya. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Masela hawana roho mbaya,watamsindikiza tu katika safari yake ya mwisho. Kikubwa katika hizo 50,000/= atumie vizuri maana masela hawaachi kuuliza alizifanyia nn[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yakikukuta maseka hatuto kutupa usisite kitugongea fegi na viwalo...tupo hata kukuzika ukienda na umeme.....pia jaribu kuniangalizia kama ana mdogo wake wa kike bhana na mm tuunge undugu
Si unajua bado mpya sijamuuliza lakin usihofu nitakuulizia
 
Hizi niakili kwelii,,,una umri gani? Unaelimu gani? Unajishughulisha na nini? Mpaka uage marafiki wa mtaani kwa elfu hamsini
Kuna vitu viizur sana nitapata kutoka kwa huyo mtoto siyo hiyo elf hamsini tu boss
 
Hahahahahaaaaa dah nimecheka sana.
Nilidhani mtu anataka kujiua nikafungua harakaharaka nije kuokoa uhai kwa ushauri kumbe....
Daaaaaamn
Dada nifa kujiua tena mwenzio niko na kitu cheupe
 
Mbona hautumi izo picha jombaa, tusio na bahati tufaidi hata kwa macho tu
Nitakutumia badae jombaa maana sijamupiga picha then nimechek kwenye profile WhatsApp yake nimekuta kaweka picha yangu nilitaka nikuchukulie huko nikutumie
 
Kwa aliemaliza kuusoma huu upumbavu pole.
 
hahahahahaaaaa burudani nyingine ni replies za mwenye mada yake...daaaah
Siku yangu imeisha vizuri kabisa.
I love JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…