EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Hahahaaaa.....Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.....Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
Angalia unacho jisifia kama kinaendana na ujana wakoKwa lip
Masela hawana roho mbaya,watamsindikiza tu katika safari yake ya mwisho. Kikubwa katika hizo 50,000/= atumie vizuri maana masela hawaachi kuuliza alizifanyia nn[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha ha ha ha ha ha akili za kisukuma ni butu?Hongera sana mkuu. Ila, pole kwani tutakumiss siku si nyingi. Usimalize hiyo 50 mkuu. Uweke na za ubani. Mbona akili za kisukuma ni butu hivi?? Weupe wa ngozi haubadili nyama. Nyama nyingine ngumu mno hailiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Masela hawana roho mbaya,watamsindikiza tu katika safari yake ya mwisho. Kikubwa katika hizo 50,000/= atumie vizuri maana masela hawaachi kuuliza alizifanyia nn[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Si unajua bado mpya sijamuuliza lakin usihofu nitakuuliziaYakikukuta maseka hatuto kutupa usisite kitugongea fegi na viwalo...tupo hata kukuzika ukienda na umeme.....pia jaribu kuniangalizia kama ana mdogo wake wa kike bhana na mm tuunge undugu
Nitakutumia badae jombaa maana sijamupiga picha then nimechek kwenye profile WhatsApp yake nimekuta kaweka picha yangu nilitaka nikuchukulie huko nikutumieMbona hautumi izo picha jombaa, tusio na bahati tufaidi hata kwa macho tu
Umetumia maneno makali haaaaa nimesoma mpaka mwishoKwa aliemaliza kuusoma huu upumbavu pole.