Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Labda kwa uchakachuaji siyo kwa sanduku la kura

[emoji3][emoji3][emoji3]

Halima miongoni mwa mambo yaliyomfanya watu kumkinahi na kumchoka ni pamoja na tabia yake ya kutelekeza wananchi mara tu baada ya uchaguzi Mkuu !

Yani akishapewa kura na kushinda Basi kuonana majaliwa [emoji108][emoji108] hadi kipindi cha Campaign ya uchaguzi Mkuu mwingine baada ya miaka 5

Yani ameshindwa hata kutembelea wananchi kujua changamoto na matatizo yanayowakabili , kuwapa mrejesho wa yatokanayo, kuwatia moyo wananchi, n.k

Hayo yalikuwa ndani ya uwezo wake wala hajazuiliwa na serikali [emoji108][emoji108]

Sasa mambo ya kumtupa jongoo na mti wake nani anayataka?!

Halima hata yeye mwenyewe nafsi yake inamshuhudia kuchoka na kuchokwa !

Aende huko Bawacha ambako nako Safari hii ni majaliwa kupata maana itategemea na mwandamo wa mwezi!
 
Niliwahi kuuliza humu hata kwa historia tu Je ni nani aliwahi kuwa mbunge wa Kawe kwa zaidi ya awamu 2?

Yani Halima uchaguliwe kwa mara ya 3 kwa value addition ipi/zipi ulizoleta jimboni?!

Labda neema hiyo atakuja kuipata Gwajima iwapo kama yeye naye hatajisahau na kuacha kushirikiana na serikali ktk kuleta maendeleo jimboni asipofanya kazi ya kuonekana naye atapigwa chini vile vile!
 
Na anaeamua kuzitoa hizo rasilimali ni nani? Mtoa hizo rasilimali asipotaka kuzitoa huyo mpigania anafanya nini? Kwa tabia za kiafrika jimbo likiwa la uoinzani basi maendeleo hayaletwi au huletwa taratibi mno kama ni fundisho. Amka Mtanzania!!!

Unaropoka tu. Arusha mbunge aliyemaliza muda wake chama gani ? Hujui kilichofanyika? Dar wabunge waliomaliza muda wao wengi chama gani ? Hujui nini kinafanyika pale?
Maeneo mengi tu hata Mbeya . Acha kuropoka na kupandikiza chuki ya kibaguzi. Acha kabisa
 
mim nau chungu sana hapa kuanzia msikti wa Londa sokon ukwaman yan kama tupo kijijin vumbi tupu.
leo nimepita shekilango.kumependeza sana nawaza yan vitu vyote hiv sisi wa kawe hapa nskitinin kwa meya kwanin hatuna lami.
 
Wewe ndiyo una Akili za kuku huna kumbukumbu kuwa Halima hushawishi vizuri lakini hukwamishwa na wajinga wenzako wa CCM kwa makusudi
Halima hawzi kitu.
Realpolitik imeshamuweka katika kapu la washindwaji.
Halima atamshawishi nani na alisha shawishi kwa mafanikio wapi kuwekeza Kawe?
Tupe mrejesho!
Halima is a dead horse!
Hafai!
Halima MUST GO!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Halima miongoni mwa mambo yaliyomfanya watu kumkinahi na kumchoka ni pamoja na tabia yake ya kutelekeza wananchi mara tu baada ya uchaguzi Mkuu !

Yani akishapewa kura na kushinda Basi kuonana majaliwa [emoji108][emoji108] hadi kipindi cha Campaign ya uchaguzi Mkuu mwingine baada ya miaka 5

Yani ameshindwa hata kutembelea wananchi kujua changamoto na matatizo yanayowakabili , kuwapa mrejesho wa yatokanayo, kuwatia moyo wananchi, n.k

Hayo yalikuwa ndani ya uwezo wake wala hajazuiliwa na serikali [emoji108][emoji108]

Sasa mambo ya kumtupa jongoo na mti wake nani anayataka?!

Halima hata yeye mwenyewe nafsi yake inamshuhudia kuchoka na kuchokwa !

Aende huko Bawacha ambako nako Safari hii ni majaliwa kupata maana itategemea na mwandamo wa mwezi!
Halima ni oppurtunist , hana chochote wala lolote.
Halima ni selfish na self centred, hajui kuishi na walalahoi.
A,ekaa miaka 10 na hana lolote la kuonyesha kama mafanikio.
Njia sahihi ni kumweka pembeni ili aendelee kuoambana na serikali.
Halima MUST GO.
 
Hivi nyinyi mataga buku saba Lumumba Ni wazima kweli vichwani ? Miaka kumi Halima Mdee ndio alikuwa anakusanya kodi ? Waulize waliokuwa wanakusanya Kodi kwa miaka kumi wamezifanyia nini? Pimbi mkubwa wewe .
 
Hakuna cha buku saba wala Mataga.
Halima ni tasa wa maendeleo, msipoliona hilo nanyi ni matasa kifikra.
Mnang’ang’ania ngombe tasa.
Mtachinjwa pamoja na Halima , siye tunataka maendeleo ambayo hayajaonekana miaka 10 sasa.
Halima MUST GO!
 
Labda kwa uchakachuaji siyo kwa sanduku la kura

Labda kwa uchakachuaji siyo kwa sanduku la kura

Kila mpenda haki anapaswa kukemea hadharani swala linalosemekana la uchakachuaji wa sanduku la kura.

Binafsi siungi mkono swala la wizi wa kura.

Sifa kubwa mojawapo ya Mungu ni Mungu mwenye Haki.

Mwenyezi Mungu anapendezwa na haki na anachukizwa na Udhalimu.

Simshauri Gwajima kukubaliana na hila au ghiliba za aina yoyote zitakazopelekea uchakachuaji wa sanduku la kura.

Viongozi wa dini , NGOs, wanaharakati, wananchi n.k huu ndiyo wakati wa kuzungumzia swala la haki kutendeka ktk maswala ya uchaguzi, Campaign, sanduku la kura na hatimae ktk kutangaza mshindi halali.

Madhara ya kutangazwa mshindi ilihali hujashinda kwa haki ni pamoja na kutokukubalika na wananchi na mbele za Mungu.

Hata ukijitahidi kuleta maendeleo makubwa kiasi kikubwa itakuwa kazi bure maana umepoteza kibali machoni pa Mungu na wanadamu.

Utatumia nguvu kubwa kupendwa na kukubalika na watu lakini bado watakukataa tu.

Tuyatafakali haya.
 
Unaropoka tu. Arusha mbunge aliyemaliza muda wake chama gani ? Hujui kilichofanyika? Dar wabunge waliomaliza muda wao wengi chama gani ? Hujui nini kinafanyika pale?
Maeneo mengi tu hata Mbeya . Acha kuropoka na kupandikiza chuki ya kibaguzi. Acha kabisa
Inategemea na maana gani unayoijua ni maendeleo? Anza na kamusi kisha vitabu na hata internet na jifunze nini maana ya maendeleo yao nchi na vipi maendeleo ya nchi na wananchi yanapimwa. Halafu rudi hapa na point za nguvu badala ya kushutumu kuwa nimeropoka.
 
Back
Top Bottom