Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,635
Sijui huwa anawalipa nini lakini hizo sera zinafaa Temeke tu sisi huku tunajua mbunge hajengi miundo mbinu. Lakini pia kwani hukumsikia mkuu wa hilo genge akisema mkichagua mpinzani haleti maendeleo? Sasa unasemaje tusichague chama? Mbona mnajichanganya sasa?Hata hivyo hivyo bora mara elfu kuwa na huyo Halima kuliko hilo tapeli lililokubuhu.