wilfred001
Member
- Sep 17, 2020
- 37
- 30
Gwaji huyu huyu anaekula kondoo wake??
Gwaji huyu huyu anaekula kondoo wake??
Mkipenda gwaji nendeneni kanisani kwake ila hafai kwa loloteMkimpenda Halima kanyweni naye chai.
Miaka kumi bado ni tasa, hafai!
Akili ikupande kichwani.…….... Unataka kuniambia kwamba majimbo yenye wawakilishi wa CCM yana hali nzuri kuliko yenye wabunge wa upinzani? Really? unaweza ukalisemea hili toka moyoni mwako?
Jimbo letu tangu nazaliwa tumeichagua CCM.....na hata kipindi hiki nadhani mbunge atapita bila kupingwa. Lakini naamini ni katika majimbo yenye ufukara kuliko majimbo mengi sana Tanzania. Hata kufikika halifikiki kwa sababu hatuna barabara. Kuna majimbo mengi sana ya wapinzani yana nafuu kuliko sisi! Sasa labda mtupe kigezo kingine... Maana tumeshakuwa malofa mpaka basi..
Kiukweli kama Jehanam ipo na uongo ni dhambi, basi bado naamini wanasiasa wengi sana watachomwa moto kwanza kabla yetu sisi walala hoi!
Mungu ibariki Tanzania.
Get it in your brain, after 10 years, TEN!We jamaa wa ajabu sana, unaniambia majimbo ambayo yanaendeshwa na ccm hivi zinakutosha kweli? Wabunge mmewanunua. Kazi yenu ni kurubuni wabunge wa upinzani na kuwanunua. Hao wanaitwa wabunge nusu upinzani na nusu ccm hawana maana kwa wananchi
Je hao mbuzi wanaokula hilo bango ni wa chadema au? Halima anakusanya kodi? Kama kuna wa kulaumiwa ni hao viongozi wa serikali ya ccm ambao wanaupendeleo na kutowajali wananchi wake. CCM miaka 53, lakini bado wanashindwa kutekeleza walicho kihahidi kwa wananchi.Heri hata Gwajima.
Halima Mdee kasugua kiti cha ubunge Kawe kwa miaka 10, hebu tupe hata kitu kimoja cha kijamii alichokifanikisha!
Ukimpenda sana gwaji nenda mkazurure nae mtaani mtafute kura ambazo hamtazipata, baada ya kunadi sera mnaaza kuzurura mtaani hata haeleweki anachokifanya ni niniAkili ikupande kichwani.
Naongelea Kawe na utasa wa maendekeo wa huyu Halima Mdee.
Mti usiozaa unamatwa na kutupwa motoni.
Miaka kumi bado hana faida.
Hamieni kwake kuonyesha mnavyompenda.
Kawaulize wana Ubungo, tujuacho wana Kawe huku ni upupu mtupu kimaendeleo.Kwa maana hiyo, Ubungo imejengwa na Kubenea?
Halima must GO!Je hao mbuzi wanaokula hilo bango ni wa chadema au? Halima anakusanya kodi? Kama kuna wa kulaumiwa ni hao viongozi wa serikali ya ccm ambao wanaupendeleo na kutowajali wananchi wake. CCM miaka 53, lakini bado wanashindwa kutekeleza walicho kihahidi kwa wananchi.
Hv yule mwenyekiti aliye lewa akitokea nyumba ndogo usiku akaanguka,akavunjika akasema kavamiwa,Bwana yule anagombea Jimbo ganiGwajima huyu-huyu muigizaji wa sinema za ngono?
Hii kazi babu yenu imemshinda sasa nchi tunamkabidhi Tundu lissu na chadema kwa ujumla.Huyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.
Gwaji ana laana ya mungu kwani hawezi kutumia nyumba ya mungu kula kondoo wak
Kama wewe ndo unatoa matokeo basi, lakini kama wananchi ndo wapiga kura, tuache muda useme.Halima must GO!
Halima Mdee kashindwa!Hii kazi babu yenu imemshinda sasa nchi tunamkabidhi Tundu lissu na chadema kwa ujumla.
Alishawahi kukusaga
Wananchi wanao tembea barabara vifusi sababu ya Halima Mdee?Kama wewe ndo unatoa matokeo basi, lakini kama wananchi ndo wapiga kura, tuache muda useme.
Kajitahidi kuwekwa ndani tu kwa ajili ya itikadi ya chama chake.Ni bora hata hiyo miaka 10 ya Mdee na maendeleo ya Kawe yanyoonekana! Kwanza amejitahidi sana kwani ni nani asiyejuwa ubaguzi uliopo ndani ya serikali hii ya awamu ya 5 katika kupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani?
Halima hakusanyi kodi, serikali ya magufuli imeshindwa kujenga barabara si jimbo tu la kawe bali mamia ya majimbo hapa tz hajajenga, babu yenu mitano imemtosha ampishe Tundu lissu sasa!Halima Mdee kashindwa!
alima is a failure as far as maendeleo ya Kawe yanahusika.Halima hakusanyi kodi, serikali ya magufuli imeshindwa kujenga barabara si jimbo tu la kawe bali mamia ya majimbo hapa tz hajajenga, babu yenu mitano imemtosha ampishe Tundu lissu sasa!