Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Una akili timamu wewe???? Kuna mbunge anayesimamia vizuri maslahi ya watanzania bungeni kwa hoja makini na murua Kama Halima Mdee???Kawaambie hivyowana Kawe, Halima ameshindwa kuiamsha Serikali jimboni Kawe.Gwajima nina uhakika ataiamsha Serikali.
Ukisema utaje wabunge wanaosimamia vizuri viapo vyao Bungeni kwa kuisimamia vizuri serikali Halima Mdee anakosekanaje kwenye 3 bora????
Rudi shule ukajifunze vizuri, sio kazi ya mbunge kujenga barabara, hilo ilaumu serikali ya Chama chako CCM kwa kukusanya kodi kutoka kwa watanzania na kupeleka chato kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa badala ya kujenga barabara kwenye majimbo.
Ndo mana Kichwa Tundu Lissu amekuja na Sera ya utawala wa majimbo kwamba rasilimali za jimbo husika na mapato yake yaendeleze kwanza jimbo husika