Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Comrade hapa umeshapanic 🤣Hv yule mwenyekiti aliye lewa akitokea nyumba ndogo usiku akaanguka,akavunjika akasema kavamiwa,Bwana yule anagombea Jimbo gani
Comrade hapa umeshapanic 🤣Hv yule mwenyekiti aliye lewa akitokea nyumba ndogo usiku akaanguka,akavunjika akasema kavamiwa,Bwana yule anagombea Jimbo gani
Hata asipo leta endeleo hata moja lazima tumchague tu na atashinda, maendeleo ashindwe kuleta babu yenu lawama ziende kwa mdee! Kwa hiyo hayo maflyova ya ubungo kubenea ndo alishawishi yajengwe?H
alima is a failure as far as maendeleo ya Kawe yanahusika.
Hatukumchagua akachezee selo.
Anaweza chezea selo na lupango hata asipokuwa mbunge.
Apishe watu serious na maendeleo ya Kawe.
Yaani hata pasingekuwa hata mtaro mie nitamchagua tu sababu nafahamu fika Mdee ni kiongozi mzuri wa kike kupata kutokea Tanzania, ila shida ni ubaguzi ulioasisiwa na serikali ya awmu hii, tena bahati nzuri wanahubiri hadharani kuwa hawatapeleka maendeleo majimbo na kata za upinzani! kazi ya mbunge sio kujenga barabara kwa mshahara wake, kazi yake ni kuhakikisha fedha za maendeleo zinazopelekwa kwa wananchi wa jimbo lake zinatatua shida za maendeleo ya jimbo! Sasa kama fedha haikupelekwa tena kwa makusudi tu sababu ni jimbo la mpinzani, hata angekuwa nani hawezi fanya chochote hayo mengine tunazusha bure!Kajitahidi kuwekwa ndani tu kwa ajili ya itikadi ya chama chake.
Kimaendeleo Kawe upuuzi mtu.
Mkaone Temeke, Tandika na Kijichi ndio mtaelewa.
Maana take ni kuwa Ile Shana ya maendeleo hayana chama.Ina uzalendo maslahi ndani take,maanayake ni kuwa sii halisi.Ile no kichaka Cha kuwarubuni wasio elewa kificho kilichokuwa ndani yake.Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Chagueni tasa muishi naye.Atawasidia zaidi!Hata asipo leta endeleo hata moja lazima tumchague tu na atashinda, maendeleo ashindwe kuleta babu yenu lawama ziende kwa mdee! Kwa hiyo hayo maflyova ya ubungo kubenea ndo alishawishi yajengwe?
Kilaza ni wewe kushabikia mtu failure lililokaa miaka kumi , nawe waendelea kulishabikia tena kama zezeta.Wewe ni kilaza!Suala la usambazaji maji,umeme,barabara,elimu,huduma za afya,etc ni wajibu wa serekali kupitia kodi zetu
Kiongozi asiyeleta maendeleo chanya kwa watu wake ni failure.Yaani hata pasingekuwa hata mtaro mie nitamchagua tu sababu nafahamu fika Mdee ni kiongozi mzuri wa kike kupata kutokea Tanzania, ila shida ni ubaguzi ulioasisiwa na serikali ya awmu hii, tena bahati nzuri wanahubiri hadharani kuwa hawatapeleka maendeleo majimbo na kata za upinzani! kazi ya mbunge sio kujenga barabara kwa mshahara wake, kazi yake ni kuhakikisha fedha za maendeleo zinazopelekwa kwa wananchi wa jimbo lake zinatatua shida za maendeleo ya jimbo! Sasa kama fedha haikupelekwa tena kwa makusudi tu sababu ni jimbo la mpinzani, hata angekuwa nani hawezi fanya chochote hayo mengine tunazusha bure!
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
OK! Tufanye umeshinda maana siuoni uelewa wako katika kujua chanzo kama ni Mdee au yule anayezuia fedha zispelekwe kawe!Kiongozi asiyeleta maendeleo chanya kwa watu wake ni failure.
Chukua picha ya Halima na uibusu kila asubuhi ikikupendeza.
Miaka 10 tuliyoipoteza wana Kawe inatosha.
Kila nikumuwaza gwajima najikuta naiwaza misikiti tuHuyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.
Kwani bajeti anaipanga mbunge? Mbona munakuwa mambumbu nyie? Hamumuoni Mdee anavopiga kelele kila siku? Basi chagua huyo tapeli mpaka anajiita Nabii na kufufuwa watu. Soo ignorant.Kawaulize wana Ubungo, tujuacho wana Kawe huku ni upupu mtupu kimaendeleo.
Stupid!Kwani bajeti anaipanga mbunge? Mbona munakuwa mambumbu nyie? Hamumuoni Mdee anavopiga kelele kila siku? Basi chagua huyo tapeli mpaka anajiita Nabii na kufufuwa watu. Soo ignorant.
Kwanza huna adabu hata kidogo na I dont care how old you are, you must be a child of a notorious hooker. Stupid are your parents who failed to raise you and teach you to respect others.Stupid!
Mtu anatikisa body mimaandamano amayo haiihusu wana Kawe ili apate promo, nanyi mizezeta mnakenua meno kumshangilka.
Kwa miaka 10 hajafanya lolote ku lobby financing ya barabara zetu halafu ninyi na ujinga wenu mnafikiri Halima hahusiki na mahandaki barabarani.
Heri mcheze naye ndombolo huko makao makuu yenu.
Thickheads!
Akili kama hizi kuwa JF ni hasara kwa platform. Nenda Manispaa ya Temeke kaulize hizo barabara za Tandika, Sandali, na Kijichi kama ni miradi iliyioshawishiwa na mbunge wa Temeke. Ukitoka kule nenda Manispaa ya Kinondoni ukaulize zile barabara za Manzese kwa Mfuga mbwa, Tandale na huko ndani ndani kama zimeshawishiwa na mbunge wa Kinondoni.Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Good! Jinga sana hilo jamaa!Kwanza huna adabu hata kidogo na I dont care how old you are, you must be a child of a notorious hooker. Stupid are your parents who failed to raise you and teach you to respect others.
Secondly nani kakwambia kuwa Mh Halima Mdee ameshindwa ku lobby ujenzi wa bara bara Kawe. Munashindwa kuonesha bunge live halafu mudanganye wapumbavu wenzenu kuwa wapinzani hawaongei chochote. Kuna clips zaidi ya 100 huyo bumpy head wenu anasema wazi wazi kuwa hawezi kujenga miundo mbinu majimbo ya wapinzani. Obviously siamini anachosema ukweli ni kwamba CCM hawana nia na uwezo wa kuleta maendeleo popote ndani ya Tanzania ukitowa Chattle Royal District.
Thirdly watu wa Kawe sio wajinga kama wakaazi wa Ugogoni kumpa kura a porno star na tapeli. Wewe kwa akli zako hizo finyu ulizorambishwa kwenye skull yako hiyo umpigie kura mtu anayeaminisha watu kuwa anafufuwa watu? Are you serious? You must be f*cking dumb!
Watu mnaopenda kung'angania vilaza walsioonyesha matunda yoyote lazima mna matatizo ya kupenda kuishi madongo kuinama.Akili kama hizi kuwa JF ni hasara kwa platform. Nenda Manispaa ya Temeke kaulize hizo barabara za Tandika, Sandali, na Kijichi kama ni miradi iliyioshawishiwa na mbunge wa Temeke. Ukitoka kule nenda Manispaa ya Kinondoni ukaulize zile barabara za Manzese kwa Mfuga mbwa, Tandale na huko ndani ndani kama zimeshawishiwa na mbunge wa Kinondoni.
Ukimaaliza uje sasa utujibu, kwa mara ya mwisho ni lini ulihudhuria kikao cha mbunge au ulifika ofisini kwake au kwa katibu wake kuhoji vitu unavyohoji hapa. Utujibu pia ni lini ulifika kwa Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni au kwa Meya wa Kinondoni ambaye ni kada wa CCM ukahoji haya. Ukumbuke ofisini kwa meya una haki yab kwenda kuuliza haya! na meya ni mwakilishi wako wa karibu zaidi hata kabla ya mbunge, hasa kwenye haya unayoshoboka hapa!
Ukimaliza nenda kwa jamaa yako "mkono wa baunsa' umwambie sisi wana Kawe hatuko tayari kuongozwa na tapeli, kama unampenda kaishi naye kwako!