Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #121
Mijinga ni ninyi mnaopenda kuishi kwenye vyoo vya passport size.Good! Jinga sana hilo jamaa!
Tuliostaarabika tunataka maendeleo.
Mijinga ni ninyi mnaopenda kuishi kwenye vyoo vya passport size.Good! Jinga sana hilo jamaa!
Jukwaa limeva,iwa na wale wa kutoka madongo kuinama na mbavu za mbwa.Natamani kusema "Akili zako hazina akili" ila nalazimika kusema "Hauna akili kabisa" maana hata chembe huna.
Anaekutia ukilema ndiye anaemnyima kipato babaako,then anajinadi na kukwambia babaako hana msaada wowote kwako,ona mimi nakuletea magongo ya kutembelea.
Kwa akili zako fupi,babaako anaenyimwa kipato na boss huyo anaekukata miguu unamuona hakusaidii kitu,ila huyo anaekukata miguu alafu anakuletea magongo unamuona ndiye bora.
Moja ya kazi ya mbunge ni kuwasilisha kero za wananchi,kama anawasilisha,na wakuu hawamtimizii kwa kuogopa kuwa watampa chati jimboni unadhani tatizo ni la nani?la muwakilishi au la wakuu?unadhani adui yenu ni muwakilishi au wakuu wanaowakata miguu ili kuwapa ukilema tegemezi?.
Nashawishika kuhoji elimu yako maana naona huwezi kuisaidia jamii kutatua changamoto.Kwa mawazo yako,kesho utakatwa na mikono ili waseme "tuliwaletea magongo,sasa mtupe tena mingine tuwape na mikono ya bandia,na mtaletewa isiyodumu ili uchaguzi mwingine waseme tuliwaletea lakin haikuwa imara,tuliemuagiza alifisadi,sasa tupe tena tuwaletee iliyo bora ambayo mtadumu nayo.kwa akili zako unaona umesaidiwa wakati ndio wanakulemaza.
All the best katika sanduku la kura ila ni upungufu wa akili ikiwa wew ni msomi ushindwe kujua tatizo ni nini.
Kumbe kazi yake ni kuropoka bungeni tu, eeh😂?Kwani mbunge ndo anajenga barabara????
Mkuu usihangaike na hawa nyumbu.Mijinga ni ninyi mnaopenda kuishi kwenye vyoo vya passport size.
Tuliostaarabka tunataka maendeleo.
Swala sio kuropoka bungeni,tunataka vitendo,hatukumchagua ili aende kukoroma Kama spika mbovu huko bungeni..!Una akili timamu wewe???? Kuna mbunge anayesimamia vizuri maslahi ya watanzania bungeni kwa hoja makini na murua Kama Halima Mdee???
Ukisema utaje wabunge wanaosimamia vizuri viapo vyao Bungeni kwa kuisimamia vizuri serikali Halima Mdee anakosekanaje kwenye 3 bora????
Rudi shule ukajifunze vizuri, sio kazi ya mbunge kujenga barabara, hilo ilaumu serikali ya Chama chako CCM kwa kukusanya kodi kutoka kwa watanzania na kupeleka chato kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa badala ya kujenga barabara kwenye majimbo.
Ndo mana Kichwa Tundu Lissu amekuja na Sera ya utawala wa majimbo kwamba rasilimali za jimbo husika na mapato yake yaendeleze kwanza jimbo husika
Asante mkuu!Mkuu usihangaike na hawa nyumbu.
Kutoa michango na hoja nzito kwa maslahi ya taifa ndo kuropoka??? Kweli CCM mmenyimwa akili!Kumbe kazi yake ni kuropoka bungeni tu, eeh😂?
Gwajima na mamilioni yote anayokusanya kwa ghiriba na wizi kupitia dini na kuuza poda ameshindwa kujenga kabisa ataweza kujenga barabara mkuu?Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Tatizo lipo kwa mkurugenzi wa halimashauri ya Kinondoni siyo mbunge kwani halima mdee husemea kila kitu Bungeni bali CCM huwahujumu wabunge wa upinzani kwa makusudi ili kuwakomoaKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Watetezi wa CCM mitandaoni wengi hushinda gheto kwa cyprian Musiba ndiyo maana utetezi wao hufanana kwa 100%Kutoa michango na hoja nzito kwa maslahi ya taifa ndo kuropoka??? Kweli CCM mmenyimwa akili!
Ndo tunataka utuonyeshe hayo masilahi chanya ya taifa, yaliyosababishwa na hoja zake, maana huku kawe tunaona ni ovyo tu, afu wewe unakuja hapa na kutuambia masilahi ya taifa 😂😂? Hakuna mbunge pale.Kutoa michango na hoja nzito kwa maslahi ya taifa ndo kuropoka??? Kweli CCM mmenyimwa akili!
Utayaonaje wakati wewe unaona sawa kujenga uwanja wa ndege kijijini chato???? Kama huna akili huwezi ziona hoja za Halima Mdee!Ndo tunataka utuonyeshe hayo masilahi chanya ya taifa, yaliyosababishwa na hoja zake, maana huku kawe tunaona ni ovyo tu, afu wewe unakuja hapa na kutuambia masilahi ya taifa 😂😂? Hakuna mbunge pale.
Acha braabraa, nataka unionyeshe hayo masilahi ya taifa, unayodai yamesabbishwa na hoja za mdee bungeni🖕.Utayaonaje wakati wewe unaona sawa kujenga uwanja wa ndege kijijini chato???? Kama huna akili huwezi ziona hoja za Halima Mdee!
Unataka nikuwekee humu??? Si umepewa bundle bure na pole pole? , haya ingia youtube alafu search michango ya Halima Mdee bungeni utaona.Acha braabraa, nataka unionyeshe hayo masilahi ya taifa, unayodai yamesabbishwa na hoja za mdee bungeni🖕.
Bado unarudi palepale, unataka nikaone michango yake bungeni (kelele zake), wakati Mimi nimeomba unionyeshe matokeo chanya ya huo uchangiaji wake nje ya bunge(maendeleo).Unataka nikuwekee humu??? Si umepewa bundle bure na pole pole? , haya ingia youtube alafu search michango ya Halima Mdee bungeni utaona.
Huyuhuyu Mla Kondoo!!!Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Nimekueleka ili ujifunze kutafuta vitu vya maana kwenye mitandao kwa bundle la bure unalopewa na hiyo Polepole!Bado unarudi palepale, unataka nikaone michango yake bungeni (kelele zake), wakati Mimi nimeomba unionyeshe matokeo chanya ya huo uchangiaji wake nje ya bunge(maendeleo).
Huna hoja, maswali yangu yako nje ya uwezo wa ubongo wako.Sasa rasimi nimekupuuza.Subiri zile hoja mserereko za nyumbu wenzako,userereke nazo.Nimekueleka ili ujifunze kutafuta vitu vya maana kwenye mitandao kwa bundle la bure unalopewa na hiyo Polepole!
Umesahau mkulu wetu alisema nini kule kwa Bwege na kule Musoma..!? Hapeleki maendeleo kwa wapinzani...Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Weweeh, hiyo usiifanye kuwa Chaka la kifichia upumbavu wa Halima yapo majimbo mengi tu yenye upinzani na maendeleo yanaonekana.Umesahau mkulu wetu alisema nini kule kwa Bwege na kule Musoma..!? Hapeleki maendeleo kwa wapinzani...