Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #161
Kama hujaelewa muulize mwenzio mwenye sera za maboga chamani kwenu!Umetema yai (,ngeli),unajua English mkuu.hongera sana
Kama hujaelewa muulize mwenzio mwenye sera za maboga chamani kwenu!Umetema yai (,ngeli),unajua English mkuu.hongera sana
Shame on you ungekuwa umeona yule raia wa kawaida kamuuliza swali dogo tuu huyo Gwajima na hakuweza kulijibu zaid ya jasho kumtiririka kama amekamatwa ugoni.Huyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.
Ohooo.., hii mada tayari iko nje ya uwezo wako.Mada Ni kuhusu Halima mdee na Jimbo lake ka kawe, kwakua mnamnasibu hapa kuwa ni mchapakazi.Ok, hayo majimbo yapo tangu day one ya utawala wa CCM. Na yapo yenye hali mbaya kabisa... unapomsema Halima wakati yapo majimbo MENGI sana ya CCM tangu kuundwa kwake na hayana maendelo unayoyataka kutuamisha na UJINGA TU... Kauli ya Rais aliyoisema ambayo unashindwa namna ya kuikana haiwezi pita bila kuitaja...
Na wewe unashabikia tasa lisilo zaa matunda ya maendeleo?Shame on you ungekuwa umeona yule raia wa kawaida kamuuliza swali dogo tuu huyo Gwajima na hakuweza kulijibu zaid ya jasho kumtiririka kama amekamatwa ugoni.
Hana alijualo zaidi ya kuibia waumini sadaka basi
Rudisha tu hela ya bundle kwa polepole. Kama anakutegemea wewe mwambie ameleta kilaza kuja kufunika hoja humuUnajitahidi ili kuweza kuendana na maswali yangu Ila ubongo wako Ni mzuri Sana.
Sina haja ya hoja zake bungeni, hilo la kuongea hata wauza sumu za mende kule mitaani wanaweza.Swali langu ni kwamba, hoja zake zimeleta athari gani chanya kwa raia wa jimboni kwake🤔?
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Uhusiano upo kwani kuchukua pesa za walipa kodi bila idhini ya bunge kwenda kujenga chato Airport ni matumizi mabaya ya madarakaMkuu unaota nini?
Ni dhahiri mizania ya kufikiri ina matatizo.
Uwanja wa Chato unauhusiano upi na nia yetu ya barabara Kawe.
Laiti ungejua, ungeniomba hata ajira, au hata hela ya chai Kama huna.Mimi sio nyumbu Kama weweRudisha tu hela ya bundle kwa polepole. Kama anakutegemea wewe mwambie ameleta kilaza kuja kufunika hoja humu
Siwezi kuomba hela kwa kilaza wa namna yako!!! Bora nife njaaLaiti ungejua, ungeniomba hata ajira, au hata hela ya chai Kama huna.Mimi sio nyumbu Kama wewe
Utabaki masikini.Siwezi kuomba hela kwa kilaza wa namna yako!!! Bora nife njaa
Halina mdee ni mtetezi mzuri Bungeni hufikisha kilio chote vizuri pasipo kuchuja, Tatizo lipo kwa mkurugenziccm kutekeleza mapendekezo yakeHalima hajaiambia serikali ijenge barabara jimboni kwake???? Kweli wewe kilaza wa Lumumba
Ni bora kuliko kumtegemea kilaza wa namna yakoUtabaki masikini.
🤣🤣🤣🤣 Elimu yako ni ya makaratasi, haijakusaidia, ndio maana bado unailaumu serikali, ukidhani Kuna mtu atakuletea hela mfukoni, pambana kutafuta hela.Ni bora kuliko kumtegemea kilaza wa namna yako
Kushawishi nini? Maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo ni lazima kwa walipa kodi siyo Ombi na tayari Halina mdee keshasema kero zote Bungeni lakini Serikali ya CCM ikaminya maendeleo kwa makusudi ili kuwakomoa wapinzani waonekane hawaleti maendeleo, CCM acheni kuwakomoa wapinzani kwa makusudi kisha mnakuja na maneno eti Gwajima ataishawishi Serikali kuleta maendeleo? Maendeleo ni lazima kwani ni pesa za walipa kodi na tayari Halima mdee keshayasema mapungufu mengi ya jimbo la kawe huko Bungeni,Nikiwaweka kwenye mizani ya ushawishi Gwajima anaweza kushawishi serikali na wadau wengine kutatua changamoto za Kawe.
Sidhani Kama Mdee anaushawishi, zaidi anakera anaopaswa kiwashawishi.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Nitapataje hela wakati sera ya serikali yako imeharibu uchumi. Kulikuwa na kampuni ya Kenya ilikuwa inakuja kununua mazao huku nilipo, Magufuli wenu kaharibu mahusiano na Kenya ile kampuni hawaji tena. Huku nilipo wote tumefirisika na bank wamechukua Mali zetu! Sasa Tatizo ni nyie CCM na mtu wenu au sisi???🤣🤣🤣🤣 Elimu yako ni ya makaratasi, haijakusaidia, ndio maana bado unailaumu serikali, ukidhani Kuna mtu atakuletea hela mfukoni, pambana kutafuta hela.
Tatizo la kawe ni Serikali kuu kuminya maendeleo makusudi kumkomoa Halima mdee siyo mbunge kusemea kero BungeniAnatakiwa tuchague mtu anayeelewa.
Halima mashindwa.
Halima mdee kawasilisha kero zote Bungeni lakini mtekelezaji wa miradi ni mkurugenziccm wa CCM ambaye huwakomoa wapinzani kuminya maendeleo kwa makusudi ili mdee aonekane haleti maendeleoHeri hata Gwajima.
Halima Mdee kasugua kiti cha ubunge Kawe kwa miaka 10, hebu tupe hata kitu kimoja cha kijamii alichokifanikisha!
Sio nyie mliokuwa mnashinikiza serikali ifunge mipaka yake wakati wa CORONA🤔?Nitapataje hela wakati sera ya serikali yako imeharibu uchumi. Kulikuwa na kampuni ya Kenya ilikuwa inakuja kununua mazao huku nilipo, Magufuli wenu kaharibu mahusiano na Kenya ile kampuni hawaji tena. Huku nilipo wote tumefirisika na bank wamechukua Mali zetu! Sasa Tatizo ni nyie CCM na mtu wenu au sisi???
Halima mdee kasemea kero zote Bungeni lakini Serikali ya CCM imemhujumu kwa kuzuia kupeleka pesa za maendeleo kwa makusudi ili aonekana hafanyi kazi, lakini Bungeni Halima mdee siyo mbunge lala lala sinzia gonga meza za ndiyo ndiyo kama wabunge wa CCM, ni mbunge msema kweli ingawa CCM inamhujumu sanaHalima Mdee kashindwa!