Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Kwani mbunge ndo anajenga barabara????
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Hapa ndipo utajua hawa mataga upeo wao wa kufikiri umefikia tamati kama sio kufa kabisa
 
Stupid!
Mtu anatikisa body mimaandamano amayo haiihusu wana Kawe ili apate promo, nanyi mizezeta mnakenua meno kumshangilka.
Kwa miaka 10 hajafanya lolote ku lobby financing ya barabara zetu halafu ninyi na ujinga wenu mnafikiri Halima hahusiki na mahandaki barabarani.
Heri mcheze naye ndombolo huko makao makuu yenu.
Thickheads!
Wewe ndiyo zezeta pesa za maendeleo zipo halimashauri ni pesa za walipa kodi na maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo ni lazima siyo Ombi, lakini kwa Akili zenu mbovu mmeamua kumkomoa makusudi mkazani watu wa kawe ni wajinga hawatajua kuwa Halima mdee anahujumiwa.
 
Usiwe na akili ya kuku.
Nani kasema mbunge anajenga barabara?
Tunasema mbunge lazima awe na ushawishi serikalini ili barabara ijengwe.
Kitu hicho, ushawishi, Halima hana!
Ushwishi wake Haima ni kuingi selo kuila baada ya miezi mitatu, kwa miaka 10 mfululizo.
Wewe ndiyo una Akili ya kuku umekariri vya waliokutuma kumshambulia Halima mdee pasipo kutafakari kwanza na ukajua kuwa utawala huu wa awamu ya tano ni utawala wa visasi kuwakomoa wapinzani kuwabambikia kesi kuwafanyia figisu figisu uonevu wa kila aina.
 
Hata ng'ombe tasa huchinjwa watu wale nyama.
Utasa wa maendeleo kwa miaka 10, mbunge aliyepo achinjwe tu!
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Usikariri kila ulilolishwa na waliokutuma, Tambua kuwa Akili ni nywele kila mmoja ana zake na wengi wanajua Halima mdee anakomolewa na CCM kwa kila hali.
 
Dawa yao hawa wapuuzi ni mfumo unaopendekezwa na Chadema tu. Yaani hela za jimbo husika zifanye maendeleo kwenye jimbo husika. Ndo mana wanabwabwaja ujinga tu humu Eti mbunge atoke kwa sababu Kuna barabara mbovu wakati mbunge wala hajengi barabara na wanakusanya fedha za walipa kodi wanaenda kujenga viwanja vya kimataifa vijijini kwao Chato huko!

nyie wapuuzi ndio daraja la ccm kutuumiza.na hatutapiga hatua hata nchi iwe chini ya chadema.

mbunge kazi yake nini sasa kama anapewa jimbo anajitetea sio kazi yake kuleta maendeleo???

wanaacha kazi za msingi huko bungeni kazi kutukana,kugoma na kuandamana kama watoto majimbo yanadoda huku,halafu wanakuja kuwadanganaya mandondocha,maana hamjui lolote.[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
wabunge wa ccm mnawatizama kwa kazi zao majimboni,ila wenu mnawaficha na hizi kauli za kitapeli.
 
Mleta uzi utakuwa unapigia debe sera za ubinafsi,ubaguzi na kijinga na u miongoni wa washabiki wa muasisi wa sera hizo hatarishi;yule anaesema kila siku majukwaani eti mkichagua upinzani sitaleta maendeleo kwenu .Mmeshiba hadi mmevimbiwa hadi mmesahau kuwa hakuna mwenye hati milki ya nchi hii bali ni yetu sote.2020 tunaenda kuzivunjilia mbali sera hizi hatarishi,za uoga na kibaguzi.
 
Halima Mdee ndio anakusanya kodi ? Gwajima mnamuonea kazi anayoweza Ni kula kondoo wake na kuwatifua tope , na kuchagua kondoo was kutafuna anajua kuchagua balaa .
IMG_20200920_151708.jpg
 
Kushawishi nini? Maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo ni lazima kwa walipa kodi siyo Ombi na tayari Halina mdee keshasema kero zote Bungeni lakini Serikali ya CCM ikaminya maendeleo kwa makusudi ili kuwakomoa wapinzani waonekane hawaleti maendeleo, CCM acheni kuwakomoa wapinzani kwa makusudi kisha mnakuja na maneno eti Gwajima ataishawishi Serikali kuleta maendeleo? Maendeleo ni lazima kwani ni pesa za walipa kodi na tayari Halima mdee keshayasema mapungufu mengi ya jimbo la kawe huko Bungeni,



Vipi kuhusu Halima kutoonekana kuwatembelea wananchi kuchukua kero na changamoto zinawakabili na pia kuwapa mrejesho wa yanayoendelea kutoka bungeni na kwa watendaji wengine wa serikali hilo nalo amehujumiwa?

Mbona hilo lilikuwa ndani ya uwezo wake au aseme kama walimhujumu asiwe anatembelea wananchi na kuwapa mrejesho aseme ni kwa namna gani alihujumiwa tuweze kufahamu ukweli.

Halima huonekana kwa wananchi jimboni kipindi hiki cha Campaign ya uchaguzi Mkuu kama hivi baada ya hapo ni kama atupae jongoo na mti wake hadi Campaign ya uchaguzi mwingine baada ya miaka 5.

Imagine!
 
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Usikariri kila ulilolishwa na waliokutuma, Tambua kuwa Akili ni nywele kila mmoja ana zake na wengi wanajua Halima mdee anakomolewa na CCM kwa kila hali.
Akili yako ndio imeganda.
zkung’ang’ania Halima mbovu hata baada ya miaka 10.
 
Wewe ndiyo una Akili ya kuku umekariri vya waliokutuma kumshambulia Halima mdee pasipo kutafakari kwanza na ukajua kuwa utawala huu wa awamu ya tano ni utawala wa visasi kuwakomoa wapinzani kuwabambikia kesi kuwafanyia figisu figisu uonevu wa kila aina.
Mkuu with all due respect una akili ya kuku.
Kuku anakunya na kugeuka kuchakura kinyesi chake aendelee kula.
Halima tumemchoka ni kinyesi cha kukikimbia.
 
Wewe ndiyo zezeta pesa za maendeleo zipo halimashauri ni pesa za walipa kodi na maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo ni lazima siyo Ombi, lakini kwa Akili zenu mbovu mmeamua kumkomoa makusudi mkazani watu wa kawe ni wajinga hawatajua kuwa Halima mdee anahujumiwa.
Zezeta anakula kinyese a.k.a wewe?
 
Wewe ni mjinga (mtu asiyeelewa jambo fulani na akieleweshwa, huondoa ujinga). Kujenga mabarabara na miundombinu mingine ni kazi ya serikali ya CCM ambayo inakusanya kodi kwa niaba yetu. Serikali ya CCM imeshindwa kufanya hivyo kwa miaka 60 ya uhuru wetu. Sasa tunataka tujaribu serikali ya chama kingine.
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Nani kakwambia kuwa wabunge ndio wanajenga barabara? Kama ni hivyo Ukonga zimejengwa? Ruangwa zimejengwa? Kongwa zimejengwa? We ulisikia wapi?!
 
Halima mdee kasemea kero zote Bungeni lakini Serikali ya CCM imemhujumu kwa kuzuia kupeleka pesa za maendeleo kwa makusudi ili aonekana hafanyi kazi, lakini Bungeni Halima mdee siyo mbunge lala lala sinzia gonga meza za ndiyo ndiyo kama wabunge wa CCM, ni mbunge msema kweli ingawa CCM inamhujumu sana
Akapige domo lake huko kwenu , sisi tunataka barabara.
Halima kashindwa hiyo kazi kwa miaka 10 sasa.
 
Usiwe na akili ya kuku.
Nani kasema mbunge anajenga barabara?
Tunasema mbunge lazima awe na ushawishi serikalini ili barabara ijengwe.
Kitu hicho, ushawishi, Halima hana!
Ushwishi wake Haima ni kuingi selo kuila baada ya miezi mitatu, kwa miaka 10 mfululizo.
Bora mm nina akili za kuku mana analiwa wewe zako za nyerere. Huhitaji ushawishi ili ujengewe barabara jimboni. Barabara zinajengwa kwa kodi na walipa kodi ni sisi! Yule mnyapara wenu unapita huko mikoani na kudanganya watu kwamba wasipochagua ccm hatapeleka maendeleo. Juha kabisa.bumbuli linaongozwa na mbunge wa Ccm madiwani wote Ccm mbona hakuna hata lami ya kwenda chooni? Tuseme wa le madiwani wote wa Ccm na mbunge wao hawana ushawishi kwa serikali? Unazungumzia ushawishi kama ville kujengewa barabara ni upendeleo? Hovyo kabisa wewe
 
Back
Top Bottom