Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,442
- 5,746
Utasa umeanzia kwako ndio ukaja kwake. shameless huyo Gwajima ana nini zaidi ya utapeli?Na wewe unashabikia tasa lisilo zaa matunda ya maendeleo?
Jiulize shame iwe wapi?
Utasa umeanzia kwako ndio ukaja kwake. shameless huyo Gwajima ana nini zaidi ya utapeli?Na wewe unashabikia tasa lisilo zaa matunda ya maendeleo?
Jiulize shame iwe wapi?
Uteuzi umekufanya ujitoe fahamu ukizani kumshambulia Halima mdee kishamba shamba utapewa vyeoAkili yako ndio imeganda.
zkung’ang’ania Halima mbovu hata baada ya miaka 10.
Kaongea kila kitu Bungeni wewe hukuweza kumsikiliza kwa sababu tayari una chuki kubwa dhidi yakeAkapige domo lake huko kwenu , sisi tunataka barabara.
Halima kashindwa hiyo kazi kwa miaka 10 sasa.
Wewe ndiyo zezeta kumbambikia Halima mdee lawama bure wakati mtekelezaji wa maendeleo ni mkurugenziccm na meyaccm viongozi wako baada ya Halima mdee kuwakilisha kero zote Bungeni.Mkuu wewe si poyoyo tu, bali zezeta la uhakika.
Endelea kushabikia mtu aliyeshindwa kuleta maendeleo kwa miaka 10.
Huyo hajapata wazimu wa kozomewa kama huyo mvuta bangi wako wa chatoUnajuaje bangi nzuri kama wewe mwenyewe huvuti.
Chuki zako binafsi usilazimishe ziwe chuki za watu wengine huko jimboni kawe, Tambua kuwa wenzako ni tofauti na wewe kwani wao hufuatilia bunge wanajua ukweli wanafahamu Halima mdee siyo mbunge posho kama wabunge wa CCM, wanafahamu kuwa Bungeni hufikisha kero zote vizuri lakini Tatizo hukwamishwa na Serikali kwa makusudi ili aonekani hafanyi kitu mpate kisingizio cha kumbambikia uzushi kama unavyofanya sasa.YES!
Habari ndiyo hiyo!
Kule Kyela wamepiga chini jamaa anaitwa Mwakyembe na bla bla zake.
Halima lazima apigwe chini!
Atajenga hiyo mitaro kwa sadaka? wewe ngojea kwenda Alabama sisi Tutaendelea na HalimaKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
KAMA DARESALAAM MNALALAMIKA HAKUNA MITARO YA BARABARA BASI HAKUNA FAIDA YA KUENDELEA KUWA NA CCM -KAMA DAR IPO HIVO JE MIKOA YA MBALI IKOJE? CCM MMEFELI MBAYA ..KAZI KUTAMKA MAENDELEO MIDOMON MWENU LKN NYIE WENYEWE MNALALAMIKIA MTARO TU. KAZI KUKOPA CHINA TU NA KUTULETEA MAENDELEO YA MKOPO JK 10YRS DENI TAIL10 NA XXM 5YRS DENI TAIL 20+
TAIL 20 IN 5YRS=TAIL 2 IN EVERY 1YRS DAUUUUUUU ISGOIN TO BE CHITANZANIA LIKE CHIZAMBIA
Utasa umeanzia kwako ndio ukaja kwake. shameless huyo Gwajima ana nini zaidi ya utapeli?
Uteuzi umekufanya ujitoe fahamu ukizani kumshambulia Halima mdee kishamba shamba utapewa vyeo
Kaongea kila kitu Bungeni wewe hukuweza kumsikiliza kwa sababu tayari una chuki kubwa dhidi yake
Wewe ndiyo zezeta kumbambikia Halima mdee lawama bure wakati mtekelezaji wa maendeleo ni mkurugenziccm na meyaccm viongozi wako baada ya Halima mdee kuwakilisha kero zote Bungeni.
Huyo hajapata wazimu wa kozomewa kama huyo mvuta bangi wako wa chato
Chuki zako binafsi usilazimishe ziwe chuki za watu wengine huko jimboni kawe, Tambua kuwa wenzako ni tofauti na wewe kwani wao hufuatilia bunge wanajua ukweli wanafahamu Halima mdee siyo mbunge posho kama wabunge wa CCM, wanafahamu kuwa Bungeni hufikisha kero zote vizuri lakini Tatizo hukwamishwa na Serikali kwa makusudi ili aonekani hafanyi kitu mpate kisingizio cha kumbambikia uzushi kama unavyofanya sasa.
Atajenga hiyo mitaro kwa sadaka? wewe ngojea kwenda Alabama sisi Tutaendelea na Halima
Wa
bunge hawajengi barabara, lakini wabunge wenye akili na ushawishi wanajenga zaidi ya barabara.
Hizo ni logic za watoto wa Form II.Kwahiyo Majaliwa, Mwita Waitara na Ndugai hawana ushawishi?!
Naunga mkono hoja, Wana Kawe, twende na Gwajima.Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Mdee hawezi kazi ya kuleta maendeleo, ni kwamba hafai.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
We si umesema wabunge ndio wanao jenga barabara? Sasa hao wameshindwaje kujenga barabara majimboni kwao tena ni hoi bin taabani kuliko huko Cow Way. F2 ni elimu kubwa sana mkuu. We unafikiri elimu ni madarasa mengi au vyeti vingi?Hizo ni logic za watoto wa Form II.
Binadamu ana masikio mawili, punda ana masikio mawili, kwa hiyo binadamu ni punda.
Utajaza!!!
Naunga mkono hoja, Wana Kawe, twende na Gwajima.
Uchaguzi 2020 - Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi
P
Gwajima ndo habari ya mujini.Naunga mkono hoja, Wana Kawe, twende na Gwajima.
Uchaguzi 2020 - Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi
P
All in all, Halima ni expired product.We si umesema wabunge ndio wanao jenga barabara? Sasa hao wameshindwaje kujenga barabara majimboni kwao tena ni hoi bin taabani kuliko huko Cow Way. F2 ni elimu kubwa sana mkuu. We unafikiri elimu ni madarasa mengi au vyeti vingi?
Elimu ni uwezo na kuna tofauti kubwa kati ya akili na elimu. Unaweza kuwa na elimu halafu ukawa huna akili. Ndiyo maana mtu anaweza kuwa na Phd (sija sema Phd fake ya maganda ya korosho) lakini ukimsikiliza anavyo ongea ma maamuzi yake utagundua wa darasa la saba yupo vizuri zaidi
All in all, Halima ni expired product.
Hawezi kazi, hana mvuto, mtu wa wajela jela, mali mbofu.
Hana faida kwa jamii.
Really?Poorly argued
Really?
Only poor minds will fall for a 10 year expired product!
Ninyi na Halima mnazuia maendeleo ya Kawe.
Ukiona mtu anatetea uozo usio leta maendeleo, basi he must be from a very poor background.
Ni ya kijinga au si ya kijinga mnaonyesha uzuzu na ufala ule Mkapa aliuita ulofa!Hoja ya kijinga sana! Unawezaje kuzuia maendeleo? Maendeleo yapi yamezuiwa? Mbona basi Ukonga na Ruangwa kusiendelee zaidi ya Kawe? Unajua for how long Job has been there? Je kuna maendeleo gani kule? Hoja zako dhaifu sana. Temeke kumeendelea? Na dalili ya mtu asiye kuwa na hoja ni kuanza kumshambukia mtu binafsi. Wapo wabunge wapo majimboni kwao over 15 years now. Nenda lafanye research huko kama kuna maendeleo zaidi ya Ubungo au hiyo Kawe yako ubayo hangaika nayo