Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Amfifiro ameshindwa kuwajengea waumini wake kanisa zuri kwa miaka karibu 20 licha ya kukusanya sadaka wanasalia kwenye mabati hadi leo hii ndio ataweza kuleta maendeleo Kawe? charity starts at home
Amfifiro is worh trying.
Halima has wasted her chances!
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Huyo kashindwa kujenga kanisa ndio aweze kujenga barabara,wanaccm akili zenu kama nabii tito kazi kurusha trakoo tu
 
Una akili ya mtoto wa kuku, chicken.
Reasoning capacity zero.
Nani kasema mbunge anajenga?
Na ni mbunge gani anajenga?
Mijitu msio na akili mnatuchosha sana.

Uwezo wako wa kufikiri na imani ikiishia kwenye matako ya nabii tito, basi tumia matako yako kumpigia kampeni Halima.

Tunataka mtu, mbunge, mwenye ushawishi na lobbyist wa kuishawishi serkali kujenga mabarabara, shule na zahanati Kawe.
Ushawishi huo Halima hana, na baada ya miaka 10 hana cha kuonyesha mafanikio yoyote ya ushirikishwaji , ushawishi wala matokeo ya lobbying ili serikali iwekeze Kawe.

Mnampenda Halima hamieni nyumbani kwake , nyie wenye akili haba kama zake, mkale maandazi.
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Tatizo ni yue anayewabagua watanzania, mwanza msibomoe nyumba zao hao walinipa kura
 
Nenda Kongwa kwa Ndugai, Spika wa Bunge lililopita uone Maji wanayokunywa Wananchi wake.
 
Dawa yao hawa wapuuzi ni mfumo unaopendekezwa na Chadema tu. Yaani hela za jimbo husika zifanye maendeleo kwenye jimbo husika. Ndo mana wanabwabwaja ujinga tu humu Eti mbunge atoke kwa sababu Kuna barabara mbovu wakati mbunge wala hajengi barabara na wanakusanya fedha za walipa kodi wanaenda kujenga viwanja vya kimataifa vijijini kwao Chato huko!
Unafikiri jimbo la kawe linaweza kujiendesha?
Ama kweli taab kwelkwel
Fedha za mfuko wa jimbo zinageuka kuwa fedha za kushughulikia makesi yao huko kisutu wanasahau nini matumizi stahiki ya hizo fedha kutatua kero za majimbo yao,
Mdee atawachelewesha kupata maendeleo wana KAWE mkataeni, Jaribuni mtu mwingine, akishindwa nae makataeni😯😯😯
 
Huyo Mdee is a liability!
 
Barabara mitaro iko mingi sana hata majimbo yanayoongozwa na CCM. Tuanzie huko!!
 
Unafikiri jimbo la kawe linaweza kujiendesha?
Ama kweli taab kwelkwel
Fedha za mfuko wa jimbo zinageuka kuwa fedha za kushughulikia makesi yao huko kisutu wanasahau nini matumizi stahiki ya hizo fedha kutatua kero za majimbo yao,
Mdee atawachelewesha kupata maendeleo wana KAWE mkataeni, Jaribuni mtu mwingine, akishindwa nae makataeni😯😯😯

..fedha za mfuko wa jimbo ni fedha za serikali. mbunge hawezi kuzitumia kwa mambo binafsi hata siku moja.

..matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo huamuliwa na kamati ya madiwani ambayo mbunge ni mwenyekiti.

..na mkurugenzi wa halmashauri ndiyo mdhibiti wa fedha hizo, kwa maana zinapokelewa na kutolewa na ofisi yake.
 
Asante kwa kunikosoa na nimepata kuelewa
Kama zilifika kawe, nani alikuwa anakwamisha utekelezaji wa fedha hizo katka ujenzi wa KAWE? Kwa nn Temeke na kwingineko kuna ng'ara tu? Nisaidie mkuu
 
Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.
Kawe ni mfano dhahiri.
Halima yupo pale kama picha, hanyanyui mdomo kutetea maendeleo ya barabara kwa miaka 10 sasa.

Kama ni kunyanyua mdomo tu mbona wengi hunyanyua na hali iko vile vile miaka nenda rudi?? Tafuta sababu nyingine ya kumpigia kampeni Gwajima! Lakini usijaribu kuonesha kuwa kusema tu “nahitaji barabara” basi zitajengwa!!!
 
Asante kwa kunikosoa na nimepata kuelewa
Kama zilifika kawe, nani alikuwa anakwamisha utekelezaji wa fedha hizo katka ujenzi wa KAWE? Kwa nn Temeke na kwingineko kuna ng'ara tu? Nisaidie mkuu

..Kwanza, lazima uelewe kwamba fedha siyo nyingi.

..Pili, hugawiwa kidogo kidogo ili kuwezesha maeneo mengi kupata chochote.

..Kama unaona Temeke inang'ara kuliko Kawe basi elewa kwamba wa kulalamikiwa ni serikali kuu, siyo mbunge.

..Na Halima Mdee ameweka hapa matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo la Kawe.

Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Ulichoandika kinapaswa kiandikwe na mtu ambaye hajaenda shule. Wewe Unafahamu majikumu ya Mbunge kweli?? Mbunge sio mfadhiri wa Jimbo, Mbunge sio Mkusanya Kodi ya Serikali.

Kazi ya Mbunge ni kuwakilisha wananchi waliomchagua Bungen, Mbunge ni Mtunga Sheria, Mhamasishaji wa Maendeleo ktk eneo lake na kazi Nyingine ya Mbunge ni Kuishauri na Kuisimamia Serikali. Kama unafwatilia Kwa ukaribu, Halima James Mdee katimiza Majukumu haya Kwa Kiwango cha Juu kabisa kupita Waziri Mkuu au Ndugai.

Hivyo, tafuta hoja za Msingi za kushawishi wapigakura wa Kawe wakuunge Mkono na sio huu utopolo uliouandika.
 
Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.
Kawe ni mfano dhahiri.
Halima yupo pale kama picha, hanyanyui mdomo kutetea maendeleo ya barabara kwa miaka 10 sasa.
Kwa Unachokisema basi Shauri watu waipigie Kura wagombea wa CDM mana CCM ndio inaenda kuwa Chama Cha Upinzani, au wewe huoni viashiria hivyo??

Pia hoja kama zako hutumika Kwa watu ambao hawajaenda Shule na wasio na exposure. Tumeona Majimbo mengi yanayoongozwa na CCM Kwa jinsi ufukara ulivyoshamiri.

Mfano, JPM alivyokuwa Kilosa, aliponda Sana Mbunge wa pale akidhani ninwa CDM, wananchi wakamwambia Mbunge wa Pale sio wa Upinzani ni wa CCM. JPM ilibidi apoteane. So ukosefu wa Maendeleo ktk Jimbo Fulani hauna uhusiano na chama anachotoka Mbunge. Ni kuwa anayekusanya Kodi Hana Utaratibu mzuri wa kugawanya fedha zinazokusanywa Ili kuwe na usawa ktk kuleta Maendeleo.
 
Hii wKulaumiwa siyo mbunge
Je halmashauri ya kinondoni haina mkurugenzi, haina mkuu wa wilaya? Haina mkuu wa mkoa, haina watendaji na wadiwani

Tumekuwa na serikali inayokomoa wananchi wake pale wanapo fuata mfumo wa kidemocracy ambao hauwafurahishi watawala
 
Back
Top Bottom