Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Jitahidi kuongea na watoto wenzio wenye upeo kama wako.
Kawe tunataka barabara, nothing short.

Halima ndani ya miaka 10 ameshindwa kabisa kushawishi serikali kujenga barabara kawe.
Mnampenda Halima, muiteni waimbie kwaya na lile lisauti lake.
Nadhani wewe ndio mwenye ufinyu wa akili. Hivi kwa miaka yote hiyo umeshindwa kujua nani anaesababisha yasiwepo maendeleo kwenye majimbo yanayoongozwa na wapinzani? Ni serikali ya CCM. Na Mara nyingi wamekuwa wakijinasibu waziwazi kuwa hawataleta maendeleo mkichagua upinzani. Kwa maana nyingine wanaforce mchague mgombea wanaemtaka. Naona hapa na wewe umenaswa kwenye huo mtego wa kijinga. Zinduka acha ufala!!!
 
Wafuasi wa Halima hawana cha kueleza katika mafanikio ya Kawe na ni nini Halima amefanya.
Kilichobaki ni kutukana na kuchafua mada ili wasomaji wasijue uozo wa Halima na alivyohopeless.

Halima ni janga la maendeleo.
Dawa yake ni kumng'oa tu.
 
..kama Kawe haina barabara huo ni uzembe wa ccm na serikali kuu.

..hatuwezi kudanganyika kwamba kawe kupata au kutokupata barabara ni suala la kimahusiano baina ya Halima Mdee na serikali.

..Gwajima ni tapeli na hapaswi kuchaguliwa mbunge.
Bado nasisitita , mfungwa mzoefu zHalima hawezi kuishawishi serikali kuwekeza Kawe, hata baada ya muda mreeefu kupewa ubunge.

Sasa mkuu tumchague kwa lipi?

Sura nzuri? HAPANA!
SAuti ya kumtoa nyoka pangoni? HAPANA kabisa!
Amewahudumia wananchi? HAPANA!

Sasa nyie wapambe wake mnamnadi kwa lipi?
Heri hata huyo Gwajima.
Okoa jahazi!
 
..walioshindwa hapo ni serikali ya ccm.

..kwa miaka 10 mlisema mnatekeleza ilani ya ccm.

..kama imeshindikana kutekeleza ilani ya ccm, basi uamuzi wa busara ni kuwapa nafasi cdm watekeleze ilani yao.
 
..walioshindwa hapo ni serikali ya ccm.

..kwa miaka 10 mlisema mnatekeleza ilani ya ccm.

..kama imeshindikana kutekeleza ilani ya ccm, basi uamuzi wa busara ni kuwapa nafasi cdm watekeleze ilani yao.
Nope!
Ni miwakilishi Halima!
 
Gwajima anatosha!
Tumpe kura Gwajima!
Halima ni spent force, na aendelee na kesi zake za chama chake.
Hata wiki hii alikuwa kwa Pilato pale Kisutu, Wana Kawe hatukumtuma maswala hayo.
Halima akatetee hayo yanayompa sifa kwa vichwa maji, kula bifu na mamlaka.
Sisi tunataka maendeleo ambayo miaka 10 ameshindwa kuishawishi serikali.
Gwajima atosha
Halima must GO!
 
Mleta mada umewahi tembelea majimbo haya machache ya mfano? Kibakwe, Kongwa, Bahi, Iramba, Itilima, Handeni, Kilindi, Namtumbo, Mvomero, Meatu, Busega n.k ambayo yametawaliwa na wabunge wa ccm na Nzi wa kijani tangu Shetani mweusi alipoitawala Afrika?
Au unaongelea tu Kwa 7bu umevembewa matobolwa ya Uyui na Bukene?
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke.
Hali ya jimbo la Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchague mtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Gwajima mbunge mtarajiwa wa Kawe. Katafute malimao kabisaaa, maana ndio imekwisha hiyo.
 
Kwani mbunge ndo anajenga barabara????
kazi ya mbunge ni kujenga barabara?
Hata mimi nimekuwa nashangaa sana na watu wanaopiga kelele kama hizi sehemu mbali mbali. Naona kama hawajui hata kama mbunge wao atakuwa analala bungeni na kuamkia ikulu kila siku, kama Rais na watu wake wa mipango hawataki kujenga mahali hawajengi tu, na hasa ikiwa sehemu zenyewe zina support kubwa kwa wapinzani.
 
Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.
Kawe ni mfano dhahiri.
Halima yupo pale kama picha, hanyanyui mdomo kutetea maendeleo ya barabara kwa miaka 10 sasa.
Kujidanganya ni kuwa ukichagua chama kinachotawala maendeleo yatakuja. Ni miaka hamsini na ushee sasa na Tanzania hadi sasa kuna watoto wanasoma shule katika mabanda ya mabovu, hawana vifaa vya kusomea, hawana vyoo wala maji. Kama kwa miaka 50 serikali iliyokuwa madarakani imeshindwa kufikisha maendele muhimu kwa kila mtanzani nchini, miaka mitano zaidi haitawasaidia chochote.

Viongozi watawala wa nchi hii hata hawaoni haya kuwa nchi kama Ruwanda ambayo ilijikuta vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka sio mingi iliyopita imeweza kujikusanya na kuweza kuibadilisha nchi na kuinua uchumi wa nchi na hali ya maisha ya wananchi wao.

Wananchi wenzetu wamekuwa vipofu kiasi kwamba wanashindwa hata kuona yaliodhahiri, itakuwaje mtu unakubali kuwa uendelee kuongozwa na majuha ambao kwa miaka zaidi ya 50 wameshindwa kuitoa nchi katika umasikini? Nashindwa kujua ni kwa nini mtu anawaridhia CCM ilhali kila mnapokwenda vijijini kwenu mnaona kuwa hakuna maendeleo yeyote.

Kwa miaka 50 ya utawala huu, ni aibu kwa viongozi hawa kusimama na kujisifia kuwa wamejenga reli, barabara, viwanja vya ndege na kusambaza maji na kuwa hayo ndio maendeleo waliyoyaleta, Aibu!!!
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke.
Hali ya jimbo la Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchague mtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.

Kabisa ndugu yangu tupo tayari kumpa kura gwajima. Tunashindwa kusubiri hiyo tarehe 28/10.
Tuliingia Chaka. Waswahili wanasema mjinga kwa kwenda kwa kurudia mwerevu.
 
Back
Top Bottom