Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Ndo tunataka utuonyeshe hayo masilahi chanya ya taifa, yaliyosababishwa na hoja zake, maana huku kawe tunaona ni ovyo tu, afu wewe unakuja hapa na kutuambia masilahi ya taifa 😂😂? Hakuna mbunge pale.
Kura yako usimpe wacha kelele. Unamuonea wivu mwanamke mwenzako?
 
Kama ni kunyanyua mdomo tu mbona wengi hunyanyua na hali iko vile vile miaka nenda rudi?? Tafuta sababu nyingine ya kumpigia kampeni Gwajima! Lakini usijaribu kuonesha kuwa kusema tu “nahitaji barabara” basi zitajengwa!!!
Halima ni waste paper, good kwa kuchambia tu.
Hafai, hafai , hafai.
 
Ulichoandika kinapaswa kiandikwe na mtu ambaye hajaenda shule. Wewe Unafahamu majikumu ya Mbunge kweli?? Mbunge sio mfadhiri wa Jimbo, Mbunge sio Mkusanya Kodi ya Serikali.

Kazi ya Mbunge ni kuwakilisha wananchi waliomchagua Bungen, Mbunge ni Mtunga Sheria, Mhamasishaji wa Maendeleo ktk eneo lake na kazi Nyingine ya Mbunge ni Kuishauri na Kuisimamia Serikali. Kama unafwatilia Kwa ukaribu, Halima James Mdee katimiza Majukumu haya Kwa Kiwango cha Juu kabisa kupita Waziri Mkuu au Ndugai.

Hivyo, tafuta hoja za Msingi za kushawishi wapigakura wa Kawe wakuunge Mkono na sio huu utopolo uliouandika.
Miye sijaenda shule.
Lakini tasa wa maendeleo kwa miaka 10 sihitaji elimu kumtambua.
Nyie mlioenda shule ni wamalofa zaidi kushabikia jitu lisiloweza kushawishi maendeleo.
Malofa nyie!
 
Kwa Unachokisema basi Shauri watu waipigie Kura wagombea wa CDM mana CCM ndio inaenda kuwa Chama Cha Upinzani, au wewe huoni viashiria hivyo??

Pia hoja kama zako hutumika Kwa watu ambao hawajaenda Shule na wasio na exposure. Tumeona Majimbo mengi yanayoongozwa na CCM Kwa jinsi ufukara ulivyoshamiri.

Mfano, JPM alivyokuwa Kilosa, aliponda Sana Mbunge wa pale akidhani ninwa CDM, wananchi wakamwambia Mbunge wa Pale sio wa Upinzani ni wa CCM. JPM ilibidi apoteane. So ukosefu wa Maendeleo ktk Jimbo Fulani hauna uhusiano na chama anachotoka Mbunge. Ni kuwa anayekusanya Kodi Hana Utaratibu mzuri wa kugawanya fedha zinazokusanywa Ili kuwe na usawa ktk kuleta Maendeleo.
Pambaf!
Hatupigii chama, tunapigia kura maendeleo.
Kyela huko mbunge wa CCM Mwakyembe kapigwa chini kwa vile watu hawakuridhika na uwezo wake wa kuleta maendeleo licha ya miaka 15 ya ubunge.

Halima, ndala ndefu yeye kutwa yuko kigodoro cha kuandamana kwa siasa za chama chake huku wananchi wa Kawe hawana barabara.
Mna shauriwa mkamsaidie kukata viuno huko chamani kwake, huku hatumtaki.

Ameshindwa kushawishi na kulobby kwa serikali kuleta maendeleo Kawe.
 
Kama ni kazi ya wabunge kujenga kujenga barabara basi ange wapongeza Kubenea na Mnyika kwa kujenga fly over jimbo la Ubungo na barabara ya njia 8 jimbo la Kibamba
Mkuu naona unabishana kama mtu uliyekula madawa ya kulevya.
Nimefuatilia arguments zako hazina mashiko.
Inaelekea una mapenzi tu na Halima.
Kitu gani usichoelewa hapa, mtu kakaa miaka 10 bila maendeleo ya kujivunia.

Mtu akishindwa kuishawishi serikali kuwekeza jimbo lako mnamuweka wa nini?
Kwani dhahabu huyo Halima.
Kyela wamefanya kweli, kwa kutoridhishwa na uwezo wa serikali kuwekeza Kyela, Mwakyembe wamemfutilia mbali, tena wana CCM wenzake.
Itakuwa Halima Mdee?
Mna mapenzi naye kayafanyeni huko sirini!
 
Kama ni kazi ya wabunge kujenga kujenga barabara basi ange wapongeza Kubenea na Mnyika kwa kujenga fly over jimbo la Ubungo na barabara ya njia 8 jimbo la Kibamba
Mkuu una ufinyu mkubwa wa kudadavua mambo.
Mwakyembe wa CCM kule Kyela wananchi wamemtosa mapema asubuhi kwa kutoridhika na ushawishi wake kuleta maendekeo Kyela.
Halima hana lolote la mafanikio kutokana na ushawishi wake serikalini.
Haja lobby kitu chochote na kikatekelezwa.
Sana sana kafungwa hovyo kama furushi la kibaka, na manufaa yake wana Kawe hatuyaoni.

Sasa wewe Halima Mdee kakupa nini kikutekenyeshajo hadi unamshabikia kama huna akili nzuri.
 
Sawa tuseme Halima hafai. Sasa wapongeze Kubenea na Mnyika kwa fly over na barabara ya njia nane.

Bora aendelee Halima kuliko hilo tapeli la kiimani. Sasa hivi limerudi kwa askofu liliomtukana kula maharage. Askofu la misukule fake hilo. Mara treni mara ndege lakini yote ni utapeli mtupu. Lina aibika sasa hivi mpaka linarudi kujikomba kwa bashite.

CCM wametawala Inji hii takriban miaka 60 sasa
 
Sawa tuseme Halima hafai. Sasa wapongeze Kubenea na Mnyika kwa fly over na barabara ya njia nane.

Bora aendelee Halima kuliko hilo tapeli la kiimani. Sasa hivi limerudi kwa askofu liliomtukana kula maharage. Askofu la misukule fake hilo. Mara treni mara ndege lakini yote ni utapeli mtupu. Lina aibika sasa hivi mpaka linarudi kujikomba kwa bashite.
Katika ufunguzi wa miradi tajwa Kubenea lazima atakuwepo kama atakuwa mbunge, hilo halina mjadala.

Kumshambulia Gwajima kibinafsi ni kukosa hekima.
Nikama vile vile nikisema Halima mbovu wa sura na anafaa kuingia kwaya ya chama chake tu, na lile lisauti baya kama minyororo insyovutwa kuzimu.
 
Kama ni kazi ya wabunge kujenga kujenga barabara basi ange wapongeza Kubenea na Mnyika kwa kujenga fly over jimbo la Ubungo na barabara ya njia 8 jimbo la Kibamba
Your level of thinking ni single stage, huwezi ku extrapolate.
Sasa hapo nikiongelea lobbying its beyond your understanding.
 
..kwa hiyo mnadhani Gwajima hataleta utapeli aliokuwa akiufanya kanisani?

..sasa hivi Gwajima anaahidi kupeleka wananchi Marekani na Japan. Good luck with that.
Mbunge wa CCM ana nafasi nzuri zaidi kukubalika serikalini akiomba maendeleo, hasa barabara.

Mpende Halima, chagua Gwajima kwa maendeleo, huo ndo ukweli usiopingika.
 
Jibu lako halina mashiko.
Unaulizwa Kawe unajibu Chato!
Ukimpenda Halima aliyeshindwa kushawishi serikali kujenga barabara Kawe, nenda kanywe naye chai!
Amekupa jibu zuri tu, tatizo ni ubongo wako umeshindwa kuchakata jibu. Too much spoon feeding is bad for your mental health.
 
Amekupa jibu zuri tu, tatizo ni ubongo wako umeshindwa kuchakata jibu. Too much spoon feeding is bad for your mental health.
Jitahidi kuongea na watoto wenzio wenye upeo kama wako.
Kawe tunataka barabara, nothing short.

Halima ndani ya miaka 10 ameshindwa kabisa kushawishi serikali kujenga barabara kawe.
Mnampenda Halima, muiteni waimbie kwaya na lile lisauti lake.
 
Mbunge wa CCM ana nafasi nzuri zaidi kukubalika serikalini akiomba maendeleo, hasa barabara.

Mpende Halima, chagua Gwajima kwa maendeleo, huo ndo ukweli usiopingika.

..kama Kawe haina barabara huo ni uzembe wa ccm na serikali kuu.

..hatuwezi kudanganyika kwamba kawe kupata au kutokupata barabara ni suala la kimahusiano baina ya Halima Mdee na serikali.

..Gwajima ni tapeli na hapaswi kuchaguliwa mbunge.
 
Back
Top Bottom